Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Sijafika Iringa mkoa naousikia mzuri sana mimi napenda kujua upande wa mito inayotiririsha maji mwaka mzima na vipi kuhusu majengo yaliyopo Iringa majengo ya kweli yamekwenda hewani. Naombeni...
1 Reactions
3 Replies
404 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na mamlaka zingine za kisheria tunaendelea kufuatilia kwa karibu matukio ya ubakaji na kulawiti kwa watoto wadogo ambapo tangu mwezi...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Mimba za utotoni Katavi zamkera samia, ataka watoto waachwe wakue Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wakazi wa Mkoa wa Katavi kuwaacha watoto wasome, wakue ili kuwaepusha na zahama ya kuzaa watoto...
0 Reactions
3 Replies
578 Views
Mimi ni msikilizaji mkubwa wa Clouds FM lakini ghafla nimeanza kusikiliza Crown FM pia Hapa Crown ndio naona kama kweli kuna Radio Nawatakia Dominica Njema 😄
7 Reactions
32 Replies
11K Views
Habar ya asubuhi JF, Kuna kiumbe kimoja pitapita zangu zangu huku na huku nikatitia kwenye mtandao wa Instagram nikakutana mtu anajiita Nabii KIBOKO YA WACHAWI Ulinzi wake umeniacha kwenye...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Hawa wanyama mkiacha wajichanganye unaweza kukuta kambale kazaa na mbuzi. nimekuta kwenye mitandao jogoo kampanda mbwa.
5 Reactions
27 Replies
801 Views
Habari wakuu! Kuna mdau jina lake halipo sawa kwenye mfumo wa ESS hivi anasolve vipi hii changamoto?
0 Reactions
7 Replies
454 Views
NAHITAJI MSAADA WA MAWAZO YENU KUHUSU KAZI YA UALIMU KWA MWALIMU MWENYE DEGREE Kazi hii ya ualimu inaweza ikakufanya ukawa tajili .? ukajenga ukawa na kwako.? In short, nahitaji changamoto za...
4 Reactions
31 Replies
972 Views
Shukran kwa serikali kwa kutoa mkopo kwa ngazi ya diploma lakin vigezo vimekuwa vigumu sana, Vipaumbele vya masomo UTOAJI WA MIKOPO 6.1 Maeneo ya Kipaumbele Mkopo utatolewa katika maeneo makuu...
5 Reactions
9 Replies
4K Views
Hawa vijana wanaomaliza shule siku hizi wanatufanyia sisi tuonekane hatukuwa serious wakati tunasoma Vijana wanafaulu hadi tunajiona sisi tulihurumiwa kupata vyuo 😂😂 Haya matokeo ya kidato cha...
6 Reactions
13 Replies
569 Views
Wakuu, heshima kwenu.! Kama ilivyo ada, JF ni kisima cha habari, stories, ucheshi na mengineyo. Ili kuifanya JF iendelee kuwa kisima cha taarifa, naomba nami leo ku-share mawili matatu kuhusu...
93 Reactions
120 Replies
17K Views
Wakuu habari, Je wakati mfalme suleman anao wake 700 na kuwa na mademu 300, amri za mungu hazikuwepo? Kwanini anakumbukwa kama mwana wa mungu licha ya kuwa mzinzi? Je ni ipi tofauti kati ya...
6 Reactions
28 Replies
778 Views
Huyu hapa ni yule anajiita Steve Nyerere. Yuko business class. Pia soma Bajeti ya kupeleka wasanii Korea ingenunua hata Mwendokasi moja itupunguzie shida Haya ndio makadirio ya gharama...
5 Reactions
73 Replies
12K Views
Kwa anaejua je supu Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo ni sawa au itamletea madhara naombeni mnifahamisge wanajamvi.
0 Reactions
11 Replies
240 Views
Kila mara mtu anapofariki Waswahili huwa hawakosi hii misemo, 1. Maisha ni fumbo, 2. Tumeumbiwa kifo, 3. Kifo ni kitendawili 4. Tunatembea na kifo 5. Mbele yake nyuma yetu( hii hata huwa...
5 Reactions
31 Replies
903 Views
Kipindi cha Nyerere, maadui wa nchi walikuwa watatu: ujinga, magonjwa, na umaskini. Ingawa hao maadui wangalipo, lakini huenda kuna adui mwingine kaongezeka: watumishi wa umma. Mbaya zaidi ni...
3 Reactions
20 Replies
759 Views
Habari wanaJF mim ni mwanafunzi nahitaji kujiunga na diploma mwaka huu, Ili nifanikishe ndoto zangu nahitaj mkopo wa diploma ili niendele na masomo yangu kwa ufanisi, maana nasikia mwaka Jana...
5 Reactions
7 Replies
373 Views
Wakuu za Jumapili Imenitokea mara tatu. Nimetokea kuwasahau watu hawa kabisa. Mmoja nikawa najaribu kuvuta kumbukumbu nimemwona wapi. Mwisho wa siku hawa watu hudhani ni makusudi kumbe sio. Wa...
1 Reactions
9 Replies
484 Views
Ndugu walimu wenzangu na wanufaika wote waliosomeshwa kwa fedha ya serikali yaani BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU (HESLB),,, Juzi Jumatatu tarehe 28.12.2020 niliomba LOAN STATEMENT ya deni langu...
31 Reactions
172 Replies
28K Views
Wengine kila asubuhi chai Mkate wengine hupendelea Viazi mviringo kila asubuhi na wengine kiporo cha wali. Mimi Kwa mazingira ninayokuwepo asubuh siwezi kukwepa Mihogo Kama mnavojua cassava Kwa...
6 Reactions
77 Replies
4K Views
Back
Top Bottom