Kuna jamaa moja anaitwa felix alton huwa anacheza mziki mzuri wa country n soul siku za jumapili ila natafuta simpati
Ni muda sikwepo
Nimetune redio zote sijapata
Atakuwa redio gani huyu...
Hivi ni sahihi kwa wakala kuomba simu yako ya mkononi kuangalia sms ya muamala kama imeingia? Binafsi mimi naona ni kuvunja privacy au taarifa za siri za mtu kwani sms ya muamala inaonyesha kiasi...
Wakuu ebu tulinganishe haya majiji mawili. Najua Dar level yake ni miji kama Nairobi au Adis Ababa.
Kuna watu wanaamini Kigali is better than Dar.
MAENEO YA KULINGANISHA
BIG PROJECTS
BARABARA...
Bajeti Kuu ya Serikali ya Tanzania mwaka wa fedha 2024/25 Jumla ya bajeti ya viburudisho, tafrija na kubadilisha samani (furniture) ofisi na nyumba za DCs, RCs, Mawaziri katika Serikali ni TZS 1.9...
Wakati wa utoto wetu kila mmoja akiulizwa una malengo ya kuwa nani basi atajibu mwalimu,daktari au mtu fulani.
Malengo yale ni upuuzi mtupu na wala hatutakiwi kuyazingatia kwa sababu malengo yale...
Nimekuwa na tatizo kidogo kuhusiana na mfumo wa ajira portal ie online application. Hapo wameweka namba za msaada kama ukihitaji kuwapigia. Lakini hizi namba huwa aidha hazipatikani kabisa au...
Kuna mda inabidi ujiulize sana ili swali sababu ni nchi yangu imepewa kila kitu lakini na hakuna kitu kama tunavoona geita na dhahabu.
Kuna nchi wale wasanii waliokwenda kule kutuletea ajenda yao...
Wazaramo na wandengereko sasa wamefikiwa, mambo ya kula vitoto vya miaka 12 sasa basi !
Ila bwana DC Magoti kuna swali huku, ni utamaduni wa Wazaramo na wandengereko msichana akifika miaka...
Hivi ni kweli Utafiti ulifanyika kweli ikaonekana mstaafu ukimpa hela yake yote atakufa mapema kuliko kikokotoo.. Nachoona kwa sasa wenye kikokotoo ndo wapo kwenye risk kubwa ya kufa kuliko...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu..
1. Nini wazingatie wanaotaka kununua gari kwa mara ya kwanza??
2. "Share experience" yako kuhusu kumiliki gari
Sisi wote binadamu Tubadilishane uzoefu mambo yafuatayo yanachukua watu zetu easy
1. Ajali, za magari, mitambo, umeme, gas,moto.
2. Pressure hio ndo zaidi
3. Mahoma homa ya maini na figo yamekuwa...
Hatua za kufa au kufariki
Kila kiumbe kitakufa.
Mwanadamu naye atakufa.
Kila kiumbe kina hatua yake ya mwisho na ndipo kinafikia kukufa.
Hakuna dawa ya kutokufa.
Ila zipo njia za kupunguza...
Ndugu wanajukwaa, leo familia ya Manji wamehitimisha msiba wa mpendwa wetu Yusuph Manji uliotokea Jumamosi ya wiki iliyopita kwa Dua maalumu iliyosomwa na viongozi mbalimbali wa kidini wakiongozwa...
Napenda kuuliza ivi lini serikali yetu itaachana na siasa kwenye mambo yanayohitaji ukweli:
Mfano mwanzoni wa mwaka huu Serikali ilitangaza ajira na bungeni wakasema kibari kutoka Rais kimepatikn...
Nyama choma ya kuku na ng'ombe zimekuwa biashara iliyoshamiri hasa katika vituo mbalimbali vya daladala hasa jijini Dodoma na Dar es Salaam yaan mtu yeyote anaweka meza njiani na ndoo ndogo...
Wasalamu, Ukitaka kwenda mikoa ya kusini kutokea Ifakara option ni mbili lazima uje Dar au upite Makambako Songea ambapo itakuchukua siku mbili.
Tofauti na kama ikipatikana barabara ya kupita...
Serikali ya Dr.Samia imetangaza Zabuni za Kimataifa Kwa Ajili ya kuanza Ujenzi wa Standi Kuu za Mikuu yaani Regional Bus Terminals Kwa Mbeya na Arusha sanjali na Standi ya Mkoa ya Tabora,Geita na...
Kama kuna utumwa wa akili unaoingia watu kwa Kasi siku hizi, basi ni hizi Imani kwa manabii;
✓ Unapofika utapigwa neno
(na Ukweli ni kwamba sio neno la Mungu kwa kumaanisha, Bali ni promo tu)...
Sanamu ya Askari bado tunayo licha ya ujenzi wa njia ya mwendokasi unaondelea Posta barabara ya Azikiwe
Maamuzi mazuri maendeleo yasifanye tukapoteza utambulisho wa Bongo Dar es salaam wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.