Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wadau hamjamboni nyote? Siyo maneno yangu Bali nukuu kutoka Kwa Mtume Anthony Lusekelo "Uwezekano wa matajiri kuingia mbinguni ni 70% na uwezekano wa masikini kuikosa mbingu ni 99.9%, Mungu huwa...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Igweee! Ninawasalimu kwa jina la JMT! Leo nimepata wasaa wa kusafiri usiku kutoka mkoa x kuja y kwa takriban masaa 10 kuanzia 2000hrs to 0730hrs. Ni usafiri wa kawaida wanaita luxury bus, so...
15 Reactions
64 Replies
6K Views
Mkuu wa KKKT Askofu Dr Malasusa amewataka Watanzania kutunza Mazingira kwani hii Ndio Aden yetu tuliyorithishwa na Mungu wa Mbinguni Askofu Malasusa amesema Utunzaji wa Mazingira ni swala la...
2 Reactions
14 Replies
854 Views
Kifo kisikie tu ila Ikifika zamu ya kukabiliana nacho huwa ni kizaa zaa. Huwa nacheza ma game ya combat au frontlines heroes naona tu raha kuwaua maadui. Paah Paah napiga tu risasi kwenye simu...
1 Reactions
9 Replies
324 Views
Nisiongee mengi video ya interview yake pale star tv hio apo chini. === Lema aliulizwa na Aloyce Nyanda kuhusu ushoga katika kipindi cha StarTV amesema yeye anaamini katika biblia na kama dunia...
15 Reactions
606 Replies
24K Views
Habari JF , Kiuhalisia matibabu ni gharama sana na tukisema pesa tunazochangia zigharamie kila kitu Changamoto zinazojitokeza katika matibabu tunayopata hazita kwisha . Kuna kitu kinaitwa pesa ya...
1 Reactions
11 Replies
508 Views
https://www.youtube.com/watch?v=uqQyTKITO4M
0 Reactions
2 Replies
299 Views
Tukiachana na ule uzi wangu wa “Nilivyokwenda South Africa bila kuwa na ndugu wala rafiki” Leo nitawaelezea safari yangu ya kwanza nchini Botswana na nilioyaona na kujifunza huko. Kwa mara ya...
50 Reactions
46 Replies
8K Views
Kila niisomapo hii anwani Juu ya Msalaba wa Yesu Kristo naiona Amani duniani Nawatakia Dominica Njema 😄
2 Reactions
5 Replies
207 Views
Habari wanaJF, Watoto wengi hapa Tanzania wenye ndoto za kuwa marubani hukatizwa ndoto zao kwa kuwa ada ya urubani ni kubwa. Mtoto huyu afanye jitihada gani ili akamilishe ndoto yake?
4 Reactions
64 Replies
1K Views
Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ni kiongozi miongoni mwa viongozi pekee barani Afrika walioweza kuimarisha demokrasia nchini japo kuna baadhi ya madhaifu machache yaliyoweza kuripotiwa, mfano...
0 Reactions
4 Replies
406 Views
Ni utapeli mkongwe kidogo mpaka sasa bado unaendelea. Bima gani eti unalipwa mpaka pale utakapolazwa kuanzia siku tano? Tena ukitoka ndipo uanze kufuatilia. Watanzania wengi wako busy na kusaka...
2 Reactions
3 Replies
388 Views
Kikundi cha wafanyabiashara wanawake wa Karikakoo kinachojulikana kama Matumaini Mapya, kimekabidhi msaada wa viti 120 vyenye thamani ya zaidi ya Tsh milioni 8 katika kanisa la kipentekoste la...
1 Reactions
2 Replies
286 Views
-Tupe story ilikuwaje hadi rafiki yako mpendwa uliyo amini utafika naye mbali lakin mkashindwana. mimi nilimkopesha na simu zangu hakawa hapokei wala sms hajibu. #bakitumolo
1 Reactions
1 Replies
225 Views
Naomba kujua hiki ni nini nimekuta kwenye begi la mpenzi wangu.
2 Reactions
20 Replies
1K Views
wakuu Za jioni.......... Leo nimefikiria nimeona niwaulize na nyie, hivi kile tunachokionaga kinapaa angani Huku kinatoa moshi nyuma ni ndege au roketi??? Niko apa kuwasikiliza, Nawasilisha.
3 Reactions
19 Replies
418 Views
Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania. Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema: "THIS IS CAPTAIN...
26 Reactions
127 Replies
15K Views
Hivi kwanini jamii ya kitanzania mmetokea kutudharau sisi wahitimu wa Chuo Kikuu Huria? Tumekosea wapi jamani? Sisi mbona ni kama wahitimu wengine kutoka vyuo vingine vikuu? Yaani nimehudhuria...
5 Reactions
277 Replies
59K Views
Kazungula ni mpaka uliopo kati ya Zambia na Botswana hili eneo limetenganishwa na mto Zambezi. Kwa ukanda huu wa Nchi za SADC hakuna boarder post iliyojengwa kwa ubora na kila eneo la wasafiri...
6 Reactions
2 Replies
418 Views
Back
Top Bottom