Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Viongozi wanapoongea na wananchi wanatakiwa kukumbuka kuwa kwenye taifa lenye utawala bora na utawala wa kidemokrasia MWANANCHI ndiye mwenye mamlaka na ameyakasimisha kwa SERIKALI ili imhudumie...
0 Reactions
5 Replies
484 Views
Hii mada inawahusu wanywaji tu. Tangia Serengeti ibadilishe bia ya Serengeti larger yenye makaratasi meusu na kutuletea nyingine yenye makaratasi ya njano sio tu imebadilishwa meoneko Bali pia...
3 Reactions
11 Replies
481 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amekemea utendaji usioridhisha wa watumishi wa afya katika maeneo ya kutolea huduma nchini kwa kuwa unaenda kinyume na maadili ya...
1 Reactions
5 Replies
533 Views
Dudu Baya awaasa viongozi wa kiimani na pia kuwasisitiza kujenga nyumba za ibada katika sehemu tulivu zenye nafasi ya kujenga madrasa, Sunday schools, misikiti na makanisa ambazo hazijapakana na...
2 Reactions
7 Replies
423 Views
Habari yako ndugu msomaji. HUU NI UZI AMBAO NILIUANDIKA MWAKA 2021 KATIKA STORIES OF CHANGES,ILA NIMEONA NIUTUPIE HUKU Katika mambo yanayolalamikiwa na jamii yetu hasa zama hizi basi ni kuwa na...
1 Reactions
7 Replies
572 Views
Nimepigiwa simu na namba ngeni, bila kujitambulisha kanambia nisaidie kumtafuta mtu fulani ambaye namfahamu, eti alikopa kwao pesa na kuniweka mie mdhanini. Nikamwambia mie sifanyi hizo kazi...
8 Reactions
28 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela amekabidhi magari matatu mapya kwa Wakuu wa Wilaya ya Geita, Mbogwe na Nyang’hwale yenye thamani ya zaidi ya Tsh. milioni 840. Akikabidhi magari hayo katika...
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Wadau nishaurini, Nilikabizi mafundi ujenzi kazi pamoja na funguo nilipofika kule kwa kushtukiza nikakuta mipira ya condom iliyotumika mle ndani, hii ina maana gani?
10 Reactions
45 Replies
2K Views
Maxence Melo Miaka 20 iliyopita ,bwana Melo alikuwa miongoni mwa wa waasisi wa mtandao wa Jamii Forum, mtandao uliokuwa ukiibua masuala ya rushwa na kusaidia kushinikiza uwajibikaji wa viongozi...
0 Reactions
2 Replies
325 Views
Hoja yenyewe ni 👇👇👇 " The key to confidence is walking into a room and assuming that everyone likes you" Niiweke kwa lugha nyepesi ambayo hata yule kilaza wa Bunda vijijini anaweza kuielewa 👉"...
8 Reactions
10 Replies
380 Views
Mathalani, muungwana amewasilisha hoja au maoni yake jukwaani, labda ni ya kisiasa, kijamii au kiuchumi, kitaifa au kimataifa. Anajitokeze muungwana mwingine ambae labda amechoka au amefikia...
4 Reactions
77 Replies
1K Views
RC Chalamila amewafokea na kuwatweza machinga wa Simu2000 mpk wakatia huruma. Wamama na akina baba watu wazima wakawa wanaambiwa "washenzi" na "wapumbavu" lkn cha ajabu machinga hao wakashindwa...
0 Reactions
5 Replies
380 Views
Kwasasa nipo mbali kidogo na Makazi yangu rasmi, huku kuna shughuli za kilimo once in a while uwa nakuja kucheki kinachoendelea. Nina chumba kidogo na sehemu ya kupaki pikipiki niyotumia kwendea...
3 Reactions
42 Replies
1K Views
Moja kwa moja MUNGU anakwenda kumkemea yeye (ibilisi) alaye afya zetu, biashara zetu ndoa zetu nk. Malaki 3:11. Inasema;... Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Nimesoma gazeti moja la jana nikasikitika sana sana. Kuna mume na mke wamekamatwa na heroine 11 kg, wamepigwa wote miaka 30 jela. Nikakumbuka kuna mchina alikamatwa na madawa akapewa adhabu ya...
2 Reactions
4 Replies
522 Views
Mchakato wa kutafuta Vazi la Taifa ulianza mwaka 2004, ambapo kuliundwa Kamati maalumu na aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo wakati huo, Dkt. Emmanuel Nchimbi lakini Mtindo...
2 Reactions
13 Replies
870 Views
Habari wakuu hope mtakua mnaendelea vema na weekend Nimekua najiuliza kwanini magari yanayobeba watoto wa shule yamekua katika Hali mbaya sana kiufanisi N:B sio lengo langu kuwafundisha wa husika...
2 Reactions
13 Replies
245 Views
King Kong III ninakujua fika Wewe ni Mjeda tena uko hapo Lugalo tafadhali Mkuu hebu niambie hili Neno kwa Kiswahili.
4 Reactions
5 Replies
471 Views
Siku ya jumatatu ya leo inasemekana kutokea tukio kubwa la kupatwa kwa jua, jambo hili ni zito ndugu zangu lakin wengi wetu tunaliona ni kama sehemu ya utalii. Ni moja kati ya dalili mbaya mno...
11 Reactions
67 Replies
3K Views
Niaje waungwana, Kwa wale wakongwe wenzang wa enzi zile za miaka ya 80s kurudi nyuma, na hasa wazawa halisi wa mkoa wa Dar es salaam nafikiri mnamjua au kumkumbuka mzee fulani kwa jina mzee...
0 Reactions
1 Replies
262 Views
Back
Top Bottom