Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
MTATIRO ALIFUNGA KANISA LINALOKATAZA KINA MAMA WASIENDE KUJIFUNGULIA KLINIKI Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro, amelifunga kanisa la CHURCH OF GOD lililoko kijiji cha Mendo...
2 Reactions
12 Replies
746 Views
Jamaa yangu alitoka nje ughaibuni baada ya kuzamia takribani miaka 17, akaja na tabia za nje eti anafanya ubia partnership ya biashara na hawa waswahili ambao hawajawahi kuishi au kutoka nje ya...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
au nae ameshanusa kuwa mbio za mwakani 2025 zinaweza kuwa na kile kilichotokea Iran Watu wakamaliza Shughuli?
1 Reactions
8 Replies
490 Views
Keep Your Personal Life Private. 1. Don't advertise your happy marriage on social media 2. Don't advertise your kids achievements on Social media 3. Don't advertise your expensive buys on...
25 Reactions
40 Replies
2K Views
Umaweza shangaaa kama n mara ya kwanza. Ila najiuliza mbona n endelevu Wengine wanakimbia kuja kupimzisha kichwa wa enjoy watoe stress Ajabu ikifika saa saba mpaka 10 ama.11 asbh yaan unaskkia...
2 Reactions
4 Replies
579 Views
Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Ambureni kata ya Ambureni wilayani Arumeru baada ya Mwanamke mmoja ajulikanae Kwa jina la Manka kumshambulia kwa kipigo mwanamke ajulikanae Kwa jina la...
10 Reactions
68 Replies
12K Views
Hata vijiweni tu anzisha mada ya Usalama wa Taifa utaona kila mmoja atakavyotiririka. Hapa kila mmoja atakuwa na aidha jamaa, ndugu au jirani ambaye ni Usalama wa Taifa. Kila mmoja anataka kuwa...
30 Reactions
144 Replies
16K Views
Katiba inasema hivi au chalamila ana katiba yake mwenyewe inayomuongoza na ni kwanini viongozi wanaongea hivi na hakuna hatua zinazochukuliwa? "8.-(1) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi...
2 Reactions
2 Replies
180 Views
Kuna taasisi/makampuni/Mamlaka yaliyo chini ya serikali ambayo yanafanya kazi nzuri na kustahili pongezi.... Binafsi nimeangalia vigezo vikuu vitatu. Huduma kwa wateja Uzalishaji mapato Uharaka...
3 Reactions
4 Replies
833 Views
Raia wa UK. Anajulikana Kama Baba wa Uchawi. Katika Imani Yake na Waumini Wake Kulikuwa na 'Cake of Light', ni Keki Inayotengenezwa kwa Majimaji ya Sex na Damu ya Hedhi. Alikuwa Anajiona Anazo...
4 Reactions
3 Replies
459 Views
Habari JF? Siku hizi kumeibuka wimbi la kufungua Baa/ groceries na nyumba za ibada katikati ya makazi ya watu! Mwisho wa siku, zinageuka kuwa kero kwa kufungua sauti kubwa kwa wananchi...
5 Reactions
26 Replies
838 Views
Sawa Somo la Jiografia tokea Form One hadi Four ulipata A na pia kuna Mwalimu wako mwingine Blanca Shao nae alisema kuna Somo lake ulipata A. Hongera kwa Ufaulu huo ila GENTAMYCINE ( Mtani wako...
2 Reactions
2 Replies
322 Views
Tuvumiliane sisi wengine hatuna watu wa kushare nao visanga tunavyopitia in real life so tukiwa na dukuduku, huzuni na hata furaha sehemu ya kwanza tunayoifikiria kuwasilisha yaliyo moyoni ni hapa...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
UPDATES: Huduma ya kuwaombea Wajane Wagane na WaleaPweke inaendelea kufanyika muda huu Wadau hamjamboni nyote? Siku ya leo ambayo ni sabato takatifu kwa mujibu wa maandiko nimeamua kuabudu...
3 Reactions
53 Replies
1K Views
Hakuna kazi Rahisi, Kupata pesa inahitaji pesa. Kurisk pesa kiasi kwa mafanikio uko mbele sio kazi rahisi jamani… wenzangu na mie tunaobet tunaelewa hili kabisa. Unaweka mikeka 9 inapumua unaend...
4 Reactions
5 Replies
619 Views
Gazeti za jana zimesikitisha sana kwa yanayoendelea pale Kariakoo. RC wangu, wakati doll ikikagua yale majina, nikujuze tu kuwa mamlaka yako inaruhusiwa kuwaondoa viongozi wa Shirika la Masoko...
1 Reactions
5 Replies
441 Views
Niliwahi kusikia kuhusu utaratibu wa kurusha drone lazima uwe na kibali.Je hata nikiwa na drone ndogo za kupiga picha na video binafsi natakiwa kuwa na kibali? Naomba elimu kidogo kama si kosa...
0 Reactions
1 Replies
263 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kuna kauli nimeisikia Leo kutoka Kwa Msemaji imenishangaza japo sipingani nayo! Ametoka mfano kuhusu suala la wanaume muonekano wao Fedha na Mali na masuala ya NDOA...
0 Reactions
3 Replies
193 Views
Mwaka 1998 nakumbuka nilikuwa nipo maeneo ya Kijitonyama mida ya saa 4 asubuhi hivi siku ya Ijumaa kama nitakuwa nakosea na ndio mara yangu ya kwanza kusikia bomu likilindima mpaka kutingisha...
3 Reactions
7 Replies
460 Views
Kwa wale waliomaliza Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam mwaka 2004 hasa kitivo cha elimu mlisoma naye. Waliomaliza Jitegemee sekondari kuanzia 2001 mtakuwa mnamfahamu. Wale wa kazi maalum mtakuwa...
10 Reactions
43 Replies
5K Views
Back
Top Bottom