Kipimo kimojawapo cha ustaarabu wa binadamu ni matumizi sahihi ya choo hasa katika maeneo ya umma. Matumizi ya vyoo katika sehemu kubwa ya nchi yetu bado ni duni sana, ukiingia katika vyoo vingi...
Ok. Historia yangu Kwa ufupi sana nimezaliwa sgd kukua sgd na shule halafu then dar miaka karibu Sita halafu kituo cha kazi kusini. Sasa kumekuwepo mada nyingi za kupapondea kusini.
Kipi hakipo...
Epuka kutema mate ovyo ovyo kwenye tundu la choo.
Hata ukipiga msuaki epuka sana kutema mate kwenye tundu la choo/bafuni.
Usipende kuongea chooni/bafuni.
Usipende kukaa mda mrefu choo/bafuni...
MGOGORO mkubwa wa kugombea umiliki na uendeshaji wa kanisa la Biblia Tanzania Kaskazini umeibuka huku baadhi ya viongozi wa kanisa hilo wakifukuzwa na kusimamishwa kutoa huduma za Kiroho...
1. Kubandika kitu na kukisahau halafu ukaenda dukani. Masufuria yetu yenyewe kwa sasa ni mepesi sana dakika kumi ukijisahau ukatoka unaweza kurudi kukuta chakula kimeungua chote. Sasa baada ya...
Wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga katika Soko la Simu2000, jijini Dar es Salaam wameanza mgomo asubuhi ya leo Jumatatu Julai 8, 2024 kwa kufunga barabara, huku wakiimba nyimbo za...
MWANAFUNZI ALIYEPATA AJALI UWANJA WA TAIFA ATELEKEZWA BILA MSAADA WA UVCCM ..!
Mwanafunzi Emmanuel Jackson Malima mwenye umri wa miaka 17 anayesoma kidato cha nne (Form IV) Shule ya sekondari ya...
Kwa heshima na taadhima, ndugu zangu Makolo,
Nakuja hapa kuwashauri mlifanyie kazi wazo la hekima la Mr. Manguruwe
Huyu shabiki wenu, ametoa offer ya kuweka mzigo pale Msimbazi ili timu iweze...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema kama Waziri mwenye dhamana ya Elimu nchini hatoingilia mamlaka za Vyuo Vikuu zinapochukua hatua mbalimbalu za kinidhamu katika...
Sio mtu amekuona tu upo upo anakwambia "mwanga lutila kuna elfu 7 saba hapa twende ukanilimie bustani"
Hizi ni dharau , sababu amekuona upo upo hueleweki kwa unafanania na kufanya hizo kazi...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mkakati wake maalum wa kuzuia vitendo vyote vya kihalifu katika jiji la Dar es Salaam. Tarehe 28 Juni 2024 lilimkamata na...
Naomba nieleweke kwa uzuri kabisa, isionekane nimeamka na kuamua kuchoose violence kwa ndugu zangu waslamu, hili swala limetokana na tabia moja ambayo naamini inafanywa na waislamu naiona haiko...
Wasichana wa ki-islamu wamekamatwa wakiwa wamefungiwa kwenye nyumba Dodoma inayosadikika kuwapa elimu ya dini leo 19-02-2024.
Wapo zaidi ya mabikra 200, wanakula na kunywa bure kwa siri kubwa...
Salaam Aleykum
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nasikitika kusema kwamba siku chache zijazo kutatokea ajali ya ndege kubwa ya abiria ambayo itasababisha vifo vya watu ikiwemo watoto wadogo...
Wakuu kama huwezi sema apa nitumie private message kunipa hata 'round figure' ya mshaara atakaoanzia kijana atakayefuzu mafunzo ya JWTZ akijiunga kwa elimu hizi;
1. Form six.
2. Shahada moja...
Askari polisi jamii Kata ya Sakina - Arusha ambaye alikuwa pia dereva toyo kwa jina la Goodluck William afariki dunia baada ya kuchapwa viboko 70 kama adhabu aliyopewa na wazee kutokana na mila za...
Wale wamiliki wa magari aina ya Passo tunahitajika kwa ajili ya mkutano mkuu wa chama.
SEHEMU: Msimbazi centre,
TAREHE: 28.12.2020
AGENDA: Namna ya kukabiliana na dharau dhidi yetu wamiliki...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila ameagiza kuondolewa majina 891 ya wafanyabiashara yaliyowekwa kwenye mtandao wa Shirika la Masoko Kariakoo mpaka pale vyombo vya dola...
MEYA wa Jiji la Arusha, Maximilian Iranghe amewataka wamiliki wa Makanisa na Misikiti mjini hapa,kufuata sheria za utunzani wa Mazingira na kuacha kuzalisha kelele chafuzi zinazobughudhi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.