Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nisaidieni kujua makisio ya budget ya nyumba hii. NOTE: *Haina fence *Vyumba vya kulala 2 *Bati migongo mipana gauge 30 *Finishing ya skimming, vinyl, w.guard *Gypsum brd, tiles, sitting toilets...
1 Reactions
8 Replies
428 Views
Sisi watu wenye maisha magumu, acha tuteseke tu kwa sababu tumekosa akili na maarifa. Sisi ni masikini kwa sababu hatuna akili. Kwanza sisi utunzaji wa vitu hatujui, kupangilia budget hatujui na...
17 Reactions
57 Replies
11K Views
Tusijidanganye kwamba hakuna udini unaoanza kuibuka baina ya Watanzania, Tusiwaone viongozi wetu saa nyingine wanaudhuria misiba ya wadini kwao tofauti, au wanafuturisha huku wakiwa dini tofauti...
3 Reactions
80 Replies
5K Views
Mmekata umeme toka saa mbili asubuhi bila taarifa yoyote hadi muda huu hamjarudisha tuelewe vipi ?Mgao umeanza au?
2 Reactions
11 Replies
313 Views
Wakuu msaada kidogo hapa. Mimi nafanya biashara ya duka la vinywaji. Mwaka wa tatu huu. Leseni huwa Kila ikiisha naenda TRA na Halmashauri ku-renew. Sasa last time nimerenew itaisha mwezi wa 8...
2 Reactions
13 Replies
522 Views
Ni mikoa ipi ambayo ina hali nzuri ya hewa, isiwe na jua kali sana.yani mara nyingi iwe cool au warm.
4 Reactions
59 Replies
8K Views
Aisee mi nasema bwana ni kwamba mwaka huu mwanzoni nilipata mchongo wa kuwekeza sehemu kwenye kilimo. Nikachukua hela sehemu milioni 60 nikaanza kilimo, nimeambulia hasara ambayo sitakuja...
133 Reactions
982 Replies
121K Views
Ngome ya CCM ipo Dodoma, Tanga, na Pwani. Mikoa hii inathaminiwa na CCM, kwani wanapewa fadhila kwa kuwapa wabunge wao nafasi za uwaziri. Katika kipindi kijacho, tunaweza kuona viongozi kama...
0 Reactions
7 Replies
326 Views
Kama mjuavyo, viwanja ambavyo havijapimwa huwa havina barabara, hivyo ili kupata njia, inabidi busara zitumike. Mimi, kwa kiherehere changu, nikamega sehemu kidogo ya kiwanja changu kwa mbele ili...
10 Reactions
133 Replies
4K Views
Makanisani, Misikitini, masokoni, kila kona watu wanaogopa wanahofu na majini/mapepo na mizimu kana kwamba hakuna malaika. Ni mara chachr utasikia watu wanaamini wanapolala wako malaika...
4 Reactions
11 Replies
387 Views
Unamuona huyo mwanamke ulienae kwenye mahusiano, ana nafasi ya kufanikiwa kwa haraka kimaisha kuliko wewe. Wakati wewe unapambana mwenyewe hakuna anaekuja kukusaidia, hakuna anayejali kuhusu...
22 Reactions
39 Replies
2K Views
Vijana wawili ambao majina yao hayajafahamika wamechomwa moto wao na pikipiki waliyokuwa wakiitumia katika eneo la Shivaz katika kata ya Kaloleni Mkoani Arusha wakidaiwa kuiba simu Lilia Shayo...
11 Reactions
78 Replies
13K Views
Vijana wa gen-z wanazidi kuuliwa kwa kasi huko kenya japo maandamano kupungua na ruto kukubari kuvunja baraza la mawaziri. ila idara inayomlinda inaonekana kudili na wote walionekana kuwa mwiba...
1 Reactions
11 Replies
830 Views
Nazungumzia Addiction yoyote ambayo ilikuendesha kiasi kwamba ukaamini hautoweza kuacha lakini mwisho wa siku umefanikiwa kuacha.
12 Reactions
110 Replies
4K Views
Baadhi ya App za Mikopo zinatesa wananchi wanaandika wanakopesha kwa siku 100 lakini baada ya siku nane wanadai wananchi. Riba zao pia ni kubwa sana na ni mzigo kwa mwananchi wa kawaida.Serikali...
2 Reactions
4 Replies
374 Views
Ni Mch. Eliona Kimaro wa kanisa la K.K.K.T - DSM akimwaga madini adimu sana. Anasema, viongozi wengi wa nchi za Kiafrika ni wabinafsi na huogopa sana watu wenye akili (talented people) kwani...
10 Reactions
13 Replies
557 Views
Kwa Mujibu wa Utafiti wa “National Governance And Corruption Survey 2020” Jeshi la Polisi ni Taasisi Kinara kwa Rushwa nchini Tanzania kwa tasisi za Umma ikiwa na Alama 45.6%. Huu ni Utafiti...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Wakenya wanazidi kupaa kwenye vyombo vya habari kimataifa njinsi walivopinga kuhusu ongezeko la ushuru(tax) na matokeo yanaweza kuwa mazuri. Wenzetu wana umoja sana hakuna uchawa wa kusifia sijui...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Anonymous (5853)
Taasisi ya North Mara community trust fund. Iliyopo wilayani Tarime kuna mambo yanayoendelea yasiyo ya haki hasa kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali walio chini ya mpango wa maendeleo endelevu...
1 Reactions
4 Replies
342 Views
Vijana wa kikundi cha Kusakizya wilayani Mpanda mkoani Katavi ambao ni wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Serikali kupitia Halmashauri, wameeleza kuwa mkopo huo umewawezesha kupata...
0 Reactions
2 Replies
317 Views
Back
Top Bottom