Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kuna kipindi kinachofanywa na Crown FM cha Salim Kikeke cha mahojiano ambacho kikishafanyika huwekwa YouTube kwa kumbukumbu. Inavyosemekana mahojiano ya Kikeke na Afande Muliro wamechimbwa biti...
6 Reactions
4 Replies
700 Views
Uongozi wa mabasi yaendayo kasi DRT Mnaharibu heshima ya mradi na taswira ya serikali kwa utiririshaji wa maji machafu barabarani kuanzia mida ya saa 6:00 usiku Hadi saa 7:30 hivi. Ukweli ni...
3 Reactions
6 Replies
442 Views
Kuna Watanzania ndani ya CCM wanaamini kwamba ipo siku watakula teuzi, au kwamba watoto na ndugu zao watapata nafasi hizo na hivyo kufaidika kwa kodi za wananchi. Hali hii inaonyesha ujinga...
9 Reactions
19 Replies
586 Views
Wananchi 3,149 wa kijiji cha Mundindi kilichopo Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wametengeneza historia ya kipekee baada ya Serikali ya kijiji hicho kuwakatia bima ya afya wanakijiji wote ili waweze...
2 Reactions
10 Replies
629 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Wenye elimu mtuelimishe zaidi kuhusu ndugu yetu huyo aliyepata umaarufu baada ya kubahatika kutembelewa na Bwana wetu Yesu Kristo...
0 Reactions
8 Replies
396 Views
Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kwamba pamoja na maisha mazuri,Elimu nzuri,kazi nzuri na fahari ya Baba yake lakini vyote hivyo havijatosha kumpa Furaha binti wa Ruto ms Charlene baada ya kujitosa...
8 Reactions
78 Replies
4K Views
Baada ya kuishi mtwara kuna mambo nimejifunza nikiwa huku ambayo yamenifanya niseme dar kuna watu wanafiki sana.......... 1.mtwara boda boda ni buku popote uendapo atakuchaji buku na ndio boda...
16 Reactions
92 Replies
15K Views
Ama kweli Bongo hakuna wachekeshaji, na kama wapo basi ni wachache sana. Leo Mjanja M1 nimepitia baadhi ya kurasa za wachekeshaji wa Bongo na nimegundua kuwa wengi wanaojiita comedians hawana...
1 Reactions
8 Replies
312 Views
Orodha hii ya sanamu ndefu zaidi inajumuisha sanamu zilizokamilishwa ambazo zina urefu wa angalau 100 m. urefu katika orodha hii hupimwa hadi sehemu ya juu zaidi ya kielelezo cha binadamu (au...
2 Reactions
14 Replies
723 Views
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya bwana Juma Homela amewapongeza Wananchi wote na Viongozi wa ngazi mbalimbali Mkoani Mbeya Kwa kufanikisha Makusanyo makubwa ya Mapato ya ndani zaidi ya Bilioni 62...
4 Reactions
61 Replies
1K Views
Anonymous (4aa4)
Kwa muda mrefu sasa mto Nyakasangwe unaotenganisha wilaya ya Ubungo kata ya Msumi na Kinondoni kata ya Mabwepande kumekuwq na uchimbaji holela wa mchanga. Mara kadhaa wanachi kwa kushirikiana na...
0 Reactions
1 Replies
238 Views
Nahitaji msaada. Hii kitu imekuwa inanisumbua kwa muda mrefu. Mtu unawezaje kutambua namba ya simu ni ya mtandao upi. Najua inahusiana na namba 3 za mwanzo. Mnaweza kuorodhesha namba zote na...
4 Reactions
34 Replies
211K Views
Mnamo tarehe 7 Julai, 2024 OR TAMISEMI waliweka taarifa kwenye tovuti yao kuhusiana na wanafunzi waliochanguliwa kujiunga na kidato cha tano kwa awamu ya pili. Ndani ya taarifa yao kwenye tovuti...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kimombo anaitwa stag beetle. Mdudu huyu mwenye sentimita 5 (inchi 2) anachukuliwa kuwa mmoja wa wanyama wa gharama kubwa kutokana na aina zake tofauti na za ajabu. Ni adimu sana kupatikana ni...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Siku ya jumatatu nilipata kwenda uwanja wa CCM Kirumba, kisha nikaenda sehemu ya haja ndogo. Yaani Mazingira hayafai hata kidogo yaani vile vyoo vinavyozunguka ule uwanja ni vichafu sana na...
1 Reactions
3 Replies
203 Views
Anonymous (1feb)
Inawezekana hili ni jambo lisilosemwa ila ukweli huu hakuna mwenye nguvu ya kuupinga. Nalieleza hili kwa kuwasaidia watoto wakimaskini ambao hawana watu wakuwapigania(connection), na kuinusuru...
1 Reactions
2 Replies
312 Views
“Mimi natamani kwenda nje, na ofcourse lazima nitaenda nje na ukiuliza Nchi gani nitakuambia tudondoke state hapo (Marekani), Madam (Rais Samia) tupeleke zetu state, mpigie simu Mzee Biden mwambie...
3 Reactions
5 Replies
325 Views
Rafiki yangu mpendwa, Kwenye programu ya kujifunza na kuwekeza pamoja ya NGUVU YA BUKU, tunaamini kwamba KILA MTU ANAWEZA KUWA TAJIRI. Hilo tuna uhakika nalo kwa sababu kwa fedha ndogo ndogo...
0 Reactions
3 Replies
430 Views
Mwaka 2012 saa tatu usiku hivi, nikitembea pale Zakhem nikitafuta daladala za Chamazi. Na ule uharaka wa kutembea ghafla nikajikuta kama nimemkanyaga bwana mmoja (alijikanyagisha sikujua). Basi...
10 Reactions
52 Replies
1K Views
Anonymous (e80b)
Ofisi za NIDA katika wilaya ya Nachingwea zina matatizo na usumbufu mwingi sana, kuna watu wamepeleka form toka mwaka jana mwezi wa nane lakini cha kushangaza mpaka leo hawajapata namba zao na...
2 Reactions
3 Replies
612 Views
Back
Top Bottom