Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
NJIA 10 ZA UHAKIKA ZA KUHARIBU MAISHA YAKO YA SASA NA YAJAYO BISHOP DICKSON CORNEL KABIGUMILA 1. Kataa kabisa kulipa gharama ya kumjua Mungu na kutembea naye kwa uadilifu! Daniel 11:32b, Ayubu...
15 Reactions
86 Replies
6K Views
UZINDUZI WA BIMA YA AFYA YA JAMII KIJIJI CHA MUNDINDI - WILAYANI LUDEWA Tunakushukuru kwa tukio la Uzinduzi wa Bima ya Afya ya Jamii ya Kijiji cha Mundindi- Kata ya Mundindi- Wilayani Ludewa...
0 Reactions
1 Replies
234 Views
Wote tunajifunza kulingana yaliyotangulia mbele ndio maana viongozi wakitumia sana kusema nchi ya amani na ujanja wa kusema tanzania ni wapore na wakilimu. Ila hawa fahamu kuwa mwendelezo wao...
1 Reactions
3 Replies
220 Views
Katika kipindi cha kabla ya enzi ya ukoloni, na hata ukoloni ulipoingia nchini Tanganyika, aina hiyo ya magari ndio yalikuwa vyombo vikuu vya usafiri nchini. Magari hayo hayakuwa ya kuwasha kwa...
1 Reactions
3 Replies
296 Views
Nimeona miradi mingi ya kiserikali kibinafsi inaanzishwa lakini hatimaye inakufa baada ya muda mfupi miradi hiyo inakuwa na shangwe kubwa mno lakini inafifia au kufa baada ya muda mfupi tu, tatizo...
0 Reactions
2 Replies
176 Views
Tanzania imepokea msaada wa nyongeza wa Yen za Japan milioni 548 sawa na shilingi bilioni 8.9 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa ukarabati wa Bandari ya Kigoma baada ya marekebisho ya mikataba...
0 Reactions
1 Replies
454 Views
Kuteki mambo kibinafsi ni hali ya ubinafsi uliopitiliza, au kwa lugha nyingine, umuhimu wa kibinafsi. Hii ina maana ya kujipa kipaumbele kuliko kitu kingine chochote. Na huo ndio mwanzo wa...
11 Reactions
26 Replies
774 Views
JF, Kwa heshima na taadhima ningependa kujua Nabii Mwamposa amefikaje fikaje hapo alipo na namna Mungu anavyoendelea kumtumia. Nadhani ni muhimu watumishi Hawa wawe wanatuwekea historia zao ili...
27 Reactions
581 Replies
77K Views
Kwanza nianze kwa kukiri kwamba watanzania ni watu wanaojituma sana kuhakikisha mkono unaenda kinywani na kujipatia maendeleo. Ila inasikitisha kuwa jitihada za watanzania wengi zinazimishwa na...
3 Reactions
4 Replies
485 Views
Huwa najiuliza hivi aliyeidhinisha ujenzi wa makao makuu ya Mwendokasi pale jangwani, Kando ya mto Msimbazi ambapo mvua ikinyesha panageuka kuwa makao makuu ya vyura na kambare ndiye huyohuyo...
2 Reactions
4 Replies
358 Views
Nakumbuka nikiwa mdogo jinsi nilivyotamani kuishi kwenye nyumba ya kifahari kama ambazo walikua wakiishi rafiki zangu ambao walikua watoto wa matajiri na wengi walikua waarabu..Baba zao walikua...
7 Reactions
5 Replies
676 Views
Mimi nimechezesha kamari za kichina slots machine kwa miaka mingi, ninachoweza kusema mashine hizi zinakusanya taarifa mbalimbali hasa hasa za hali ya kiuchumi kwenye maeneo yote ya nchi yetu...
9 Reactions
15 Replies
852 Views
Habarin za muda huu! Niende moja kwa moja ktk mada. Harusi ama Send-off n suala la mpango. Nina amini mpaka unaamua kuoa na kufanya harusi(sherehe) umejipanga. Ama mnaandaa sherehe ya kumuaga...
31 Reactions
47 Replies
4K Views
Hii ndoto nimeitafakari sana Na sijaielewa. Nimeota niko kwenye nyumba Fulani nzuri sana, ndio naamka kitandani. Nikaanza kujiuuliza hapa ni wapi? Nikaingia washroom, nikapuuh kisha nikasema...
1 Reactions
16 Replies
448 Views
Jana ika-pop up video ya live Tiktok mida ya jioni/usiku, zimejaa video za wadada kitandani wengine wakifanya biashara indirect huku wengine wakiwa tayari wamejiwekea price tag na zina viewers...
10 Reactions
37 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Tarehe 11 Julai 2024: Akizindua msimu wa pili wa kipindi maalum cha televisheni cha elimu ya fedha kwa umma cha zogo mchongo kinachoandaliwa na Benki ya CRDB, Katibu Mkuu wa Wizara...
0 Reactions
0 Replies
247 Views
Wasalaam, Watafsiri ndoto, watu wa Imani, manabii, wanajimu....n.k, naombeni msaada wenu. Ipo hivi..... Kuna aina ya ndoto nimekuwa nikiota kwa muda mrefu sana kwenye maisha yangu, over 7+...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Someni wenyewe hapo chini: ''Ndugu zetu wa damu wanajua wao kila jini ni shetani, kumbe kuna majini wengine waumini na wacha Mungu. na anasema mwenyezi Mungu (Sikuwaumba...
1 Reactions
18 Replies
799 Views
Salaam kwa wote, Ni kweli maisha yana changamoto nyingi hilo halina ubishi, Pia ni kweli tumeumbwa kila mmoja na uwezo wake wa kukabiliana na changamoto za maisha. Point yangu ya msingi ni...
8 Reactions
13 Replies
890 Views
Ripoti inaonyesha kuwa Kiashiria cha Demokrasia nchini Kenya kinaendelea kuwa nyuma ya Tanzania kwa miaka minne mfululizo kutokana na alama duni kwenye mchakato wa uchaguzi na wingi wa vyama...
0 Reactions
4 Replies
845 Views
Back
Top Bottom