Kama rais utafanikiwa kufuatilia nyendo na maisha ya wateule wako utashangaa !! Awamu hii Haina ufuatiliaji kwa wateule wako ! Haina ukali na usimamizi huru wa rasilimali za nchi ! Wewe unatafuta...
Habari wakuu,
Juzi niliota nikamuona jamaa mmoja ambaye ni mkuu wangu kwenye "kampuni" tunapofanya kazi yupo anaangalia navyopambania mchakato wangu wa kupata hela ananichek kwa jicho kama...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Santiel Eric Kirumba mnamo tarehe 9/7/2024 alishiriki kugawa Mitungi ya Gesi kwa Wakunga wa Shinyanga DC na Shinyanga Manispaa kuwahamasisha kutumia...
Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Mwl Nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote...
Nadhani ni wakati sahihi kwa watanzania wote waliowahi kumlaumu Nape kuhusu kampuni ya Starlink kumuomba msamaha na kuungama makosa yao. Hawakufanya vyema. Pamoja na mapungufu yake ni kuwa...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuna kuna baadhi ya Mafisa wa Halmashauri ya Kibaha Mji wamekuwa wakiwasumbua Wananchi wa Matuga, Kibaha Vijijini kwa kuwatishia ili kuwaondoa kwenye makazi...
Hebu leo tuwaangalie hawa jamaa,
Mifumo yetu ya kikodi ni mibovu mno yaani hakuna namna ambayo kodi itatoa ahueni kwa mwananchi wa kawaida hilo halipo. Angalia ukiagiza gari iliyotumika iwe...
Ukitaka kuamini haya angalia mpaka leo waafrika wanakimbilia zaidi nchi zipi bila kuhofia hata dini au rangi zao ? wanapewa zaidi misaada ukiachana na mikopo na nchi zipi ? kwanini mwafrika...
Sisi wakazi wa Matuga, Kibaha Vijijini tuna changamoto ya kusumbuliwa na Maafisa wa Halmashauri ya Kibaha Mji, wapo katika mchakato wa kutupora ardhi yetu kiasi cha kutumia Askari Polisi na Mgambo...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewatuliza wafanyabiashara zaidi ya 800 wanaodai majina yao hayamo kwenye orodha ya watakaorejea katika Soko la Kariakoo, walioandamana hadi ofisi ndogo za...
Wakuu heshima zenu.
Moja kwa moja kwenye mada husika.
Nataka kwenda South Africa kujaribu bahati yangu huko pia,maana uwanja wa nyumbani naona maji yananizidi kina kila uchwao...simaanishi kwamba...
Edward Awebwa (miaka 24) alishtakiwa kwa makosa ya kutumia lugha chafu na matusi, kusema kutakuwa na ongezeko la kodi, na kusambaza taarifa "zisizo sahihi" dhidi ya Rais Museveni na familia yake...
Hello!
Nikiwa kwenye corridor za umma takribani miaka 10 sasa nimejionea uzembe wa kiwango kikubwa sana. Watumishi wengi wa umma maadamu mshahara wao ni lazima wapate kila mwezi na posho zipo...
C&P
Rais @SuluhuSamia , haya anayoyaongea Rais @WilliamsRuto ndiyo tunayotaka kuyasikia kutoka kwako, sio mahubiri ya dini.
Tunataka kusikia umekataa kuidhinisha bajeti ya Bilioni 180+ kuhudumia...
Mteja akiwekeza fedha zake kwenye Hati fungane ( security Bond) mkikubaliana ulipwe Kila baada ya mwezi faida,Kuna changamoto mbili.
1) Ukiweka kwenye account Yako ya UTT Hela hazionekani kwenye...
Kuna wimbi la kuwauwa watoto wadogo na kisha kunyofoa viungo vyao, matukio hayo yamefanyika katika Jiji la DSM. Pia kuna tukio lilitokea huko Mkoani Kagera la kuuwawa mtoto mwenye ualbino!
Kuna...
Mteja ni mfalme,,,
Tumesemwa sana watoa huduma kuwa tuna lugha chafu, tunachezea simu muda wa kutoa huduma, muda wote hatuna change na mambo kibao. Sasa ngoja tuone upande wa pili wa wateja...
Acha kujifanya mtenda mwema katika maisha ya watu hao wanaokuzunguka hakuna anayekuwazia mema huu ni ukweli japo ni mchungu......
Maisha tuliofikia hivi sasa watu wanaotuzunguka maeneo ya...
Mwanaume, ukitaka kuoa jitahidi kama una pagala au una nyumba hujaimalizia, malizia mwenyewe usimshirikishe huyo mkeo unaye muoa au unayetaka kumuoa, mali alizokukuta nazo zibaki za kwako binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.