Ili mgeni aweze kulala ndani ya eneo (mbuga) ya Ngorongoro kuna ada ya Serikali anatakiwa kulipa ambayo huitwa Camping fees (GRR).
Wanachofanya mamlaka ya Ngorongoro; Mgeni hata kama amelipia...
Pamoja na pilikapilika za utafutaji wa pesa ni muhimu ku enjoy life kila upatapo nafasi, siyo kila siku busy busy,
Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, wao muda wa kazi ni kazi inapigwa...
Hii kesi ya ulawiti ya Dkt Nawanda imeleta sintofahamu kubwa sana kama ukiyatazama mambo ya ulawiti na ushoga kwa jicho pana zaidi.
Watanzania karibia 99% ni watu wanaopinga sana ushoga, jambo la...
WABONGO NI WATU WA KUKUOMBEA MABAYA. DUA ZAO MBAYA NDIO MAFANIKIO YAKO.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kama huombewi mabaya jua bado unasafari ndefu ya kufanikiwa. Yaani bado haujakutana na...
Nimeshawahi kuchapisha bandiko mbalimbali yenye mlengwa wa kuhoji/kupinga vikali uwepo wa Mungu mkuu hoja zangu zilikuwa based on theories nadharia, ufahamu na akili/rational thinking katika...
Dar es Salaam
Mahakamani hakukosi vituko. Unaweza kusema hivyo, baada ya binti wa miaka 23, Lobi Daudi kukiri shtaka lake la kufanya vitendo vya ukahaba, huku akisisitiza kibarua chake katika dula...
Ingekuwa vipi kama dini hazipo, ni wapi watu wangepata maarifa na taratibu za kuishi kwa hekima? Ni wapi tungepata sheria na kanuni za kutatua changamoto za kiroho?
Naelewa bado dini zipo lakini...
watu wanatambua kuwa kuna vitu muhimu hua vinapimwa ili kuonesha uimara wa taasisi na vitu hivyo ni kama
Katiba
Structure ya uongozi
Sera
Imani na kiongozi bora
Ili chama kiweze kuishi muda...
Sijafahamu kama ninaishi katika hali halisi au katika eneo la kufikiria tu. Kuna tabia ya kuamka saa 8 usiku, saa 6 au saa 9, na sababu ikiwa ni ndoto – iwe mbaya au nzuri – huwa naamka.
Kwa...
Wananchi wametoa maoni kuhusu Jeshi la Polisi na kumwambia Waziri baadhi ya changamoto zilizopo ni viongozi kuwatetea wahalifu na wengine kutowahudumia wanapokuwa na uhitaji kwenye vituo vya...
Usibebe Mzigo Peke Yako
1. Usihifadhi hisia zako mbaya moyoni bila kushirikisha mtu.
2. Tafuta msaada unapohisi kuzidiwa na matatizo.
3. Ongea na marafiki au familia unapokutana na changamoto...
TABIA NA MAKUZI
Kuna hii tabia ambayo sio nzuri kwenye daladala. Kuna hawa wadada wakiingia na watoto wao wadogo wanataka kupishwa kwenye seat ila siku wakiwa na pesa za kuwalipia hao watoto wao...
Rais wa chama cha washauri wa bima Tanzania(TIBA), Okoth Oloo amesema kuwa Chama hicho kwa kushirikiana na wadau wengine kinatarajia kufanya mkutano wa nane mkoani Arusha utakaoweleta pamoja wadau...
Dar es Salaam. Sakata la ukamataji wanawake 36, wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya ukahaba limechukua sura mpya, baada ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo (DC), Hassan Bomboko kupewa notisi ya kuwalipa...
Leo au toka jana serikali haina mtandao. Malipo ya ada vyuoni kupitia control number ni shida siku nzima mtandao hauko hewani.
Kule CRDB napo ni shida hakuna mtandao. Nimelipa kitu flani...
Karibuni wakuu,
Ningependa kuanza kwa kusema
R.I.P Ruge Mutahaba,Mbele yake nyuma yetu.AMIN.
Leo nitazungumzia tatizo la matumizi ya umeme,ambalo kwa asilimia kubwa inawezekana wadau wengi wa...
Asubuhi hii barabara ya kuelekea Airport Mwanza jirani kabisa na Rock city mall, Isuzu Journey imeacha barabara na kuingia kwenye moja ya nyumbani zilizo jirani na Mall.
Chanzo ni boda asiye na...
Nyumba mbili au tatu,gari mbili au tatu akiba ya milioni 200 bank inatosha sana,tena sana. Kumbe pesa haziwezi kuzuia pre mature death.
Babu yangu mkulima wa mpunga kule Kizuramimba alikufa na...
Ahoji Stand ya Magufuli ilijengwa Kwa Ajili gani ikiwa Mabasi hayawezi.kuingia Stand?
My Take
Na Mimi nauliza Kwa nini Serikali ilijenga Stand ya Magufuli Kwa Mabilioni wakati Wenye Mabasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.