Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
The so called Pastors, know how to take fund in the name of sadaka from the faith-fools and make their fortunes here on earth. While lying to them that by doing so, they are investing for their...
0 Reactions
4 Replies
460 Views
Hivi nikinunua umeme natozwa VAT 18% je, Tanesco naye anawajibika kulipa TRA 18% ya umeme wote alio tuuzia sisi wananchi, kama ndio kwanini VAT inalipwa mara mbili kwa serikali kati ya watu 2...
0 Reactions
1 Replies
233 Views
"Tanzania ni miongoni mwa nchi chache katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambazo, askari na wananchi wana mahusiano mazuri kuliko nchi nyingine katika jumuiya hii, na wananchi...
0 Reactions
2 Replies
264 Views
Ukiumwa ndugu zako hawata kuchangia wala kukupa msaada wakidai hawana kitu, ila ukifa watasafiri kutoka mbali kuja kukuzika tena wakiwa na vitu kwaajili ya kumaliza kilio chako hizo pesa za...
7 Reactions
11 Replies
425 Views
Kwa ninavyofaham, barabara ya mwendokasi ya kuelekea mbagala ilishakamilika kwa 100% kwa zaidi ya mwaka sasa, lakini mpaka sasa haijaanza kutoa huduma. Badala yake, sasa imekua ndo barabara kuu ya...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Wakili wa kujitegemea Jebra Kambole amesema kuwa, hakuna kosa kisheria kwa mtu pale anapoamua kupiga picha akiwa na fedha zake. Wakili Kambole amesema hayo Julai 10, 2024 alipokuwa akihojiwa na...
0 Reactions
0 Replies
424 Views
Simba bob junior alivyovamiwa na Simba wenzake kumpoka utawala wa nyika habari ilivuma sana hapa nchini na wadau wakasikitishwa na kifo chake mno. Nadhani hali itakuwa tofauti sana kwa faru...
10 Reactions
67 Replies
3K Views
Salaam ndugu zangu: Leo asubuhi nimepita kwa bwana Millard Ayo, nikakutana na hii clip ya bwana Petro Magoti (mkuu wa wilaya ya Kisarawe) akieleza juu ya sheria pamoja na utejelezaji wake katika...
3 Reactions
32 Replies
11K Views
Naomba kujua je huko nchi zilizoendelea na penyewe watu bado wanapeana mimba zisizotarajiwa kwa sababu tu ya kunogewa na penzi au huko walishatoka hio level na kwamba Lazima mimba ipangwe. Huku...
1 Reactions
5 Replies
247 Views
This is too contradictory. Wanaojiita walikole wakiongozwa na KKKT wako radhi kumwabudu au kumheshimu mchungaji wao na kumuona Bikira Maria si chochote wala lolote. Naona hata yesu huwa anawashaa...
9 Reactions
181 Replies
3K Views
Habari wapendwa Imenichukua muda mrefu mno kuandika hii mada lakini imenisukuma tu niandike baada ya kuweka namba yangu kwenye thread fulani humu jamii forum nimepata simu zisizopungua 30 kutoka...
19 Reactions
170 Replies
29K Views
Inasikitisha kampuni kubwa kama hii watu wa mizigo badala ya kushusha wanaanza kuuliza watu mzigo wako ukohapa ndio wanashusha Aibu kubwa sana Mbadilike ati
1 Reactions
8 Replies
268 Views
Nikueleze ukweli Mimi USSR ni mbishi wa hizi drama za manabii feki ,licha ya kukulia katika familia ya kilokole ya TAG wazazi wangu wakiwa wazee wa kanisa Mimi na mambo ya miujiza ni mbingu na...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Hatimaye Serikali ya Tanzania imefanikiwa kuimarisha Mashirika yake matatu, TRC, Air Tanzania, POSTA, Wananchi tunasubiri TTCL na BRT. Hongera sana Serikali ya Tanzania kwa kufanikiwa kurejesha...
4 Reactions
43 Replies
1K Views
Ramadhan Ng’azi Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani alisema hayo kwenye redio ya Crown FM. “Tuliporuhusu bodaboda kuwa usafiri wa kubeba abiria tulikosea, utaratibu uliotumika haukuwa sahihi...
0 Reactions
4 Replies
416 Views
Nimeona ujumbe huu ukisambaa kwenye mitandao ya kijamii pamoja na picha husika, nikaona niusogeze hapa ili Wadau watie neno..... Mimi ni Dickson Ng'hily Mhariri wa Biashara na Mkuu wa Kitendo...
7 Reactions
29 Replies
11K Views
Umoja wa Ulaya (EU) umetoa €15 milioni (Sh43 bilioni) kusaidia shughuli za Biashara Ndogo na za Kati (SMEs) nchini Tanzania. Fedha hizi zitaunganishwa na mikopo kutoka Benki ya Uwekezaji ya Ulaya...
1 Reactions
6 Replies
224 Views
Habari za humu wana JF, Katika kupitia nyuzi mbalimbali humu jukwaani nimegundua watu wengi wamekuwa wakilalamika hususa kuzaliwa afrika na wengine wamefika mbali zaidi na kusema ngozi nyeusi...
8 Reactions
46 Replies
1K Views
Hali ilivyokuwa baada ya daraja kubomoka Sisi wakazi wa Mtaa wa Msumi, Kata ya Mbezi, Jimbo la Kibamba, Wilaya ya Ubungo tuna changamoto kubwa ya kutojengewa Daraja ambalo lilibomoka kutokana na...
0 Reactions
2 Replies
644 Views
Wakuu, Mabasi haya si mageni kwetu, baadhi yanabeba watoto wetu, wa jirani zetu na wengine watoto wetu ndio madereva kwenye magari haya, nina imani wote tutakubaliana kuwa magari haya hasa kwa...
5 Reactions
8 Replies
799 Views
Back
Top Bottom