Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habarini Wadau, CRDB benki kongwe na yenye Qateja lukuki hapa nchini inakera sana na sasa haiaminiki tena katika huduma yake ya SIMBANKING Wiki mbili zilizopita nilienda kwa Wakala ili kutoa...
0 Reactions
6 Replies
344 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa uchunguzi umebaini mpasuko wa ardhi na kuporomoka kwa tuta la barabara uliojitokeza katika eneo la Busunzu lenye urefu wa mita 200 haijatokana na...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Mim naitwa Maina ni mtanzania nisoma marekani chuo kikuu cha MIT nina umri.wa miaka 23. Sina muda mrefu kuingia humu JF. Nimekomaa kiakili ila si kimwili. Nilisoma Tanzania kidogo nikahamia...
4 Reactions
71 Replies
2K Views
Salaam. Katika kuadhimisha miaka 100 ya uwepo wake nchini Tanzania, Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies, yazidi kufanya makubwa, yazindua shindano la VIA, kuhamasisha usalama barabarani, yamwaga...
2 Reactions
2 Replies
429 Views
Wakuu, Uzito uliopitiliza, shape na nguvu za kiume na mambo ambayo yanasumbua sana watu na kuna baadhi wako radhi kufanya chochote ili atimize moja la hitaji lake hapo juu. Dawa hizo nyingi...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Tabora. Katika hali isiyo ya kawaida, Baraza Kuu la Waislamu (Bakwata) katika Kata ya Mtendeni, Manispaa ya Tabora, limeazimia kumuondoa katika...
0 Reactions
0 Replies
343 Views
Sio kwa husda wala kwa kukashifu mtu ila juzi baada ya kuona kule kwa mwamposa ile nyomi ya watu nikajiuliza pesa zote zile lazima mtoto wake kuja kuwa tajiri mkubwa. Tuje kwenye mada kuhusu huyu...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Mifereji ya Kawe stendi inatoa harufu mbaya sana, na ukizingatia kuna biashara zinafanyika zikiwemo biashara ya kuuza chakula. Harufu inayosambaa katika eneo hilo ni takribani siku 5 sasa, na...
0 Reactions
4 Replies
471 Views
Kipindi akiwa waziri wa mambo ya ndani,nchi ilikuwa shwari kabisa, Ongea yake kama mlevi ilimponza,lakn ndivyo alivyo,,popote alipo mbunge huyu,mwambieni mimi Pazia 3 nimemkumbuka,uongozi siyo...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wasaalam. Tangia nipewe hii elimu ya kuweka mfupa kwenye Kona za nyumbani kwangu!. Ile Hali ya kukabwa usiku na wachawi(majinamizi) imeisha kwakweli. Nawasilisha.
0 Reactions
2 Replies
368 Views
Anonymous (60b6)
Bado kuna shida kubwa sana ya madereva wa daladala kugeuzia njiani na kufaulisha abiria kwenye gari nyingine. Imekuwa kero na usumbufu mkubwa sana hasa kwa daladala zinazotokea Mipango kuelekea...
1 Reactions
10 Replies
718 Views
Wakuu, Kuna hizi blender za Kenwood ambazo maduka mengi tu mtaani wanaziuza Tena kwa bei rafiki kwelikweli, je hizi blender ni Kenwood kama Kenwood tunayoifahamu au mchina keshafanya yake? Na je...
3 Reactions
84 Replies
5K Views
Nimeshangaa sana jana nilikuwa beach nmoja wakati wa kulipa tukaomba kulipa hapa Zanzibar wakadai unakatwa asilimia 5 ya pesa unayolipa Kwa ñn agizo la bosi Leo nkaenda nyingine uwiiii mambo ni...
0 Reactions
1 Replies
237 Views
ELIM ELIMU YA SEKONDARI NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI Ukubwa wa Jimbo letu: Kata 21 zenye vijiji 68 na vitongoji 374 Idadi ya sekondari Jimboni mwetu: +26 za Kata zinatoa elimu +2 za...
1 Reactions
1 Replies
355 Views
Katika pitapita zangu kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, zaidi ya miezi mitano kuna jambo nimekuwa nikilichunguza ikiwa ni baada ya kukumbana nalo kwa mara kwa mara kwenye nyakati...
1 Reactions
14 Replies
967 Views
Watoto siku hizi wamekuwa kama PUNDA kwanini Waalimu wanawabebesha watoto mabegi mazito na makubwa kuliko hata kilo zao?? Je hakuna ratiba maalumu ya masomo? Hili tatizo lipo kwa ngazi zote...
21 Reactions
92 Replies
4K Views
Anonymous (832c)
Mimi ni mkazi wa Kawe, Dar es Salaam, nina imani Nchi yetu kwenye Sheria za ardhi kuna maeneo specific kwaajili ya ujenzi wa Makanisa na Misikiti, kwa habari za Misikiti wanajitahidi sana na...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Mi naish huku,aisee...na nazunguka sana Schengen,,aisee hawa wenzetu na ubaguz wao ila wana watoto wakal jaman...yaan wana watoto wakal..nikisema mademu wakal hiv mnaelewa..na hiz nywele zao bazo...
9 Reactions
18 Replies
909 Views
Niliwahi kwenda India Juni 2014 Narendra Modi akiwa Waziri Mkuu, mpaka Leo 2024 jamaa bado Ni Waziri Mkuu. Wajuvi imekaaje hii?
0 Reactions
5 Replies
301 Views
Kumekuwa na ongezeko kubwa sana na la kasi la wimbi la ushoga kwenye jamii yetu kuanzia kwenye familia, mtaani hadi mashuleni Mwalimu wa kiume anapofikia hatua ya kumshawishi mwanafunzi wake...
1 Reactions
10 Replies
987 Views
Back
Top Bottom