Shirika la Masoko ya Kariakoo linautangazia umma orodha kamili ya majina ya wafanyabiashara wenye sifa na vigezo vya kurejeshwa sokoni Kariakoo baada ya ujenzi wa soko jipya na ukarabati wa soko...
BAHATI
Mfano: Kuzaliwa katika familia ilio na mafanikio kupelekea kupatiwa mtaji, kurithi mali au kujiungana na biashara ya familia.
Mfano: Mara paap unachimba kisima eneo la nyumbani kwako...
Serikali ilisema kuwa mradi mkubwa wa umeme ukikamilika yaani Stigler's Gorge umeme utashuka bei hadi kufikia unit 1 kwa 50 Tsh/= kulikoni wamefikia wapi? Au walishaghairi huo mpango?
Mimi ni mdau kutokoa wilaya ya Busega mkoani Simiyu. Hali ya Ugawaji wa namba za NIDA imekuwa sio nzuri ambapo kwa mwezi sasa namba hazitoki toka tarehe 10/06/2024.
Kila ukienda unaambiwa kuna...
Yani wengi wao wanaenda na matukuo huwezi kujua unique waandishi professional. Mfano hivi vi online tv ndio takataka kabisa yaani kama wanakusanyana mtu mmoja akiojiwa vi-mic vimejazana utadhani...
Weka Hali Yako ya Kifedha Binafsi
1. Usishiriki maelezo ya mshahara wako kwenye mitandao ya kijamii.
2. Usijigambe na mafanikio yako ya uwekezaji mtandaoni.
3. Epuka kuchapisha kuhusu changamoto...
Guard Your Personal Information
1. Don't share your home address on social media.
2. Avoid posting your phone number publicly.
3. Refrain from disclosing your daily routines online.
Reality...
Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizoandikwa na kusambazwa kupitia vyombo vya habari zikisema "Wachepusha mfumo wa malipo".
Taarifa hiyo imeenda mbali zaidi ikidai na...
Amini usiamini Magufuli angekuwepo sahizi mabasi ya mwendokasi yangekuwa yanapishana Barbara ya mbagala mengine yanaena na mengine yanarudi
R.I.P Jembe langu
Tajiri zaidi nchini China 🇨🇳 alisema, "ukiweka ndizi 🍌 na pesa 💰 mbele ya tumbili 🙊, tumbili 🙊 hajui kuwa pesa 💰 inaweza kununua ndizi nyingi 🍌. Kwa kweli, ukitoa KAZI na BIASHARA kwa watu...
Bangi ni zao lenye thamani kubwa kutokana na faida zake lukuki ukilinganisha na mimea mingine. Watu wengi wamekaririshwa upande wapili tu wa zao hili (madhara ya matumizi haramu ya bangi)
Naomba...
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Adolf Ndunguru amefungua mafunzo ya mikopo ya asilimia 10 kwa wawezeshaji wa Kitaifa na kuwataka washiriki hao kuhakikisha wanaelewa vema ili kwenda kufundisha...
Mkurugenzi wa Tawala za Mikoa wa Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Beatrice Kimoleta amesema baada ya Serikali kutangaza kurejesha mikopo ya vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, Ofisi ya...
Unakuta baada ya mwalimu kufaulisha vizuri, wanaona kuingia naye mkataba itawagharimu anatafutiwa sababu anafukuzwa na kuajiri walimu wapya ambao ni vigumu kujua kile kinachoendelea kwenye shule...
Shalom,
Ile namba ya call forwarding ya Vodacom Tz siku hizi haonekani
Nimekuwa na utamaduni wa kuchunguza hatari ya calls tracking kwenye simu yangu mara kwa mara, hivyo huwa nabonyeza...
Wakazi wa mtaa Mwarakani wanakumbana na changamoto ya maji kwani hudumu hiyo haijafikishwa kwenye makazi yao licha ya kuhangaika kusogeza huduma hiyo bila mafanikio kwenye maeneo yao.
Mamlaka...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuhoji kuhusu makato ya Tsh. 2,000 kwenye LUKU, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema hakuna ongezeko la Kodi ya Majengo isipokuwa pesa hizo zimekatwa...
Akiwa katika ufunguzi wa mafunzo ya mikopo ya asilimia 10 kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu leo Julai 9, 2024 Katibu Mkuu Adolf Ndunguru amesema, Serikali inatarajia kuona mafunzo hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.