Kama ilivyo binadamu hatuja kamilika basi tukumbuke kutokuwa na neno KAMWE or Never, hivyo lazima siku zote uwe na Asilimia moja ya kutokwenda unavyotaka kwa Jambo lolote lile.
Hii itakusaidia...
Hivi kama mtu umemaliza kumeza dawa za UTI jana asubuhi zimepita saa 24 ukinywa pombe kuna chochote kitatokea. Kiafya zaidi, naombeni majibu kabla sijafanya maamuzi ya kunjwa.
Natalajia kulewa...
Huyu ni mwalimu kutoka Zambia alikuwa anafundisha shule ya sekondari Nsajika day baadaye akahamishiwa Maguya.
Amesema amechoka licha ya kupambana sana alikuwa haoni mafanikio.
Kwenye pesa kiasi...
Wengi huita uchawi, ulozi, ushirikina. Una majina mengi sana. Ni sayansi ya kiafrika na ya kufikirika zaidi kama hujawahi kukutana nayo.
Wengi huwa wanajiuliza, inawezekana vipi mtu akamwona...
Mtakumbuka Mei 30,2024, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa ya kushikiliwa Askari Polisi wanne (4) kwa ajili ya uchunguzi. Askari hao walikuwa wanafanya kazi kitengo cha usalama barabarani Wilaya ya...
Rais Mstaafu Mzee Jakaya amelishauri Shirika la umeme Tanzania Tanesco kuangalia uwezekano wa kupunguza gharama za kuunganisha Umeme Ili Wananchi wengi waweze kuunganisha.
---
Mstaafu wa Awamu ya...
Nyakati na zama mpya zina wakataa, fikra, maoni na mitazamo mipya ya urika, mvuto na ushawishi zinawapushi kwa nguvu sana kuwabandua nje ya mfumo.
Kiufupi mfumo na nyakati vimewatupa mkono...
Muhuni akili mingi inadaiwa kama inavyoonekana kwenye video kuwa amekopa milioni 50 CRDB kwa kuwa alijua lazima wakague biashara yake, aliweka magunia mengi yakionekana yana nafaka kumbe ni uchafu...
Habari zenu wanajamii wenzangu! Natumaini nyinyi nyote mnaendelea vyema kabisa. Na kama kuna mtu hajisikii vyema polee yake.
Niende kwenye maada, Mimi ni mtumishi wa Afya nilipata ajira ya kudumu...
Watu wasiojulikana wamemuua mtoto (6) Mwanafunzi wa darasa la kwanza, katika Shule ya Msingi Kizuiani Temeke jijini Dar es Salaam, na kisha wakachukua viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo sehemu...
Salamu wanajamvii.
Kila mtu ana mambo au aibu ambazo angependa zibaki kwake tu kwa maana zisijulikane kwa wengine.
AmakIkiwa siku siku utabahati Kusikia aibu ya mwenzako basi jizati ubakie nayo...
Hawa Mameneja wana sifa nyingi sana. Kuna wale wanaokunywa pombe na wale ambao hawanywi pombe. Pia kuna wale ambao ni mameneja lakini wana wapenzi miongoni mwa wafanyakazi. Hivyo, mteja ukikutana...
Aisee nimepata changamoto kisimbuzi changu hakioneshi licha ya kuwa katika same settinf kwa zaidi ya mwaka ghafla tu kikaanza kukata ikifika usiku na kurudi hewani pakikucha. Ikaenda zaidi ikasema...
Julai 9, Dar es Salaam. Katika kesi ya mwandishi wa habari Eric Kabendera kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, ambapo amedai fidia ya dola milioni 10 dhidi ya Vodacom, kampuni hiyo imekanusha vikali...
Samsung ni simu, na Infinix ni simu!
Kama ni gharama, zote ni za gharama. Hakuna inayotolewa bure.
Isitoshe, Infinix inatunza sana chaji!
Wanaowakejeli wanomiliki simu za INFINIX, TECNO na...
IRINGA - Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza kusimamishwa kazi mara moja kwa Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo, Emanuel Sigachuma, na Ofisa Elimu Sekondari wa halmashauri hiyo, Nelson...
Leo nimepita Sabasaba nikaona kuna Kampuni fulani (Jina Kapuni) inatoa mikopo ya Pikipiki na Tukutuku.
Mjanja M1 nikajisogeza taratibu kuokota Dodo la mkopo wa Bajaji.
Lahaullah Walakuwata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.