Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
MAMBO MATATU(3) YALIYOJIFICHA KWA WATU WENGI WENYE AKILI ZA DARASANI Habari mwana Jf nimekaa Kwa miaka kadhaa nmekua nikiandika orodha ya watu ambao nimewahi soma nao kuanzia elimu ya msingi hadi...
18 Reactions
95 Replies
8K Views
KIBALI CHA MAISHA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Maandiko haya ni bure wala isijesemwa yalitolewa ili nijipatie faida ya Fedha au faida yoyote Ile. Yalipatikana Bure nami nitayatoa bure, ili kila...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Eneo la darajani, makutano ya Barabara ya Nyerere na Mtaa wa Shaurimoyo, limekuwa ni eneo la hatari kuliko unavyodhani. Japo tangu miaka ya 80 eneo hili limekuwa na historia ya unyang'anyi, mauaji...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Hakuna shaka kuwa upanuzi wa kilomita 4.3 za kipande cha barabara kutoka Morocco hadi Mwenge umesaidia kupunguza msongamano wa magari katika njia hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam. Siku Rais...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Mimi ni muumini wa dini ya Ukristo lakini nasema kutoka sakafu ya moyo wangu kuwa sheria za Kiislamu ndiyo suluhisho pekee na lakudumu la kupatikana kwa amani ya kudumu...
5 Reactions
25 Replies
581 Views
Kwanza nipende kuwaomba radhi Watanzania wenzangu mwaka 2020 nilishiriki katika kusimamia uchaguzi kama msimamizi mkuu na tulitolewa mikoani kufanya jambo lile chini ya viongozi wa UVCCM...
37 Reactions
74 Replies
4K Views
Wakuu kwema? Majuzi nilipita njia hii nikienda kuswampa Saba Saba, wakati wa kurudi ndio nikaona changamoto hii, barabara eneo hili zimekaa vibaya sana, kama siyo mwenyeji ni rahisi sana...
0 Reactions
2 Replies
313 Views
Wakuu, Barabara ya Ilala Boma eneo lile ambako ni karibu na karume kulikuwa na mataa ya kuongozea magari mwanzo, lakini baada ya kuanza ujenzi wa mwendokasi mataa hayo yalitolewa. Sasa hivi...
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Wafanyakazi WA PSSSF Musoma hawatimizi wajibu wao haswa kwa wastafuu, mama mzazi amekosa pension yake kwa kutokuja kuhakikiwa wanapigiwa simu mwezi mzima wanasema wanakuja ila hawaji, ukiendelea...
2 Reactions
13 Replies
426 Views
Nilikuwa nasoma mada hii ambayo mwanachama wa JF alihitaji kujua mbinu mbalimbali ambazo anaweza kuzitumia ili kuongeza uwezo wa akili kwa watoto wake. Kuna masuala yameniacha na shaka hivyo...
2 Reactions
1 Replies
501 Views
Haya maisha wakuu yanamengi sana kipindi fulani sikuwa na hali nzuri kiuchumi sababu sikuwa na kibarua cha uhakika sasa katika kuwacheki wana hapa na pale jamaa yangu akanipanga kuwa kuna ofisi...
96 Reactions
153 Replies
9K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Felchesmi Mramba ametoa wito kwa Kampuni ya ETDCO ambayo ni kampuni tanzu ya Tanesco kuongeza ubunifu zaidi katika utekelezaji wa majukumu yao ikiwemo kutumia vifaa...
0 Reactions
0 Replies
313 Views
Watu wasiojulikana wamemuua mtoto (6) Mwanafunzi wa darasa la kwanza, katika Shule ya Msingi Kizuiani Temeke jijini Dar es Salaam, na kisha wakachukua viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo sehemu ya...
2 Reactions
4 Replies
396 Views
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti. Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
11 Reactions
331 Replies
22K Views
Habari Wana Jamvi, Natanguliza Shukran. Nakuja Kwenu Kama Familia Yangu/Jamii Yangu. Naomba Msaada Mwenye Sanduku La Posta Ambalo Lipo Active Nitumie Kupokea Document Yangu Mara Moja tu. Mimi sio...
0 Reactions
1 Replies
326 Views
Habari Naomba kwa wenye uzoefu yeyote ambae kashawahi kujaza fomu ya mapunjo NSSF anisaidie kunijuza kama kuna mzunguko wowote wa nenda rudi au hiyo fomu ya mapunjo haina mambo mengi Mana ile...
2 Reactions
6 Replies
365 Views
Linapokuja swala la fedha, watu wamekuwa wanajaribu njia nyingi za kupata fedha lakini wamekuwa wanaishia kufa masikini. Hii ni kwa sababu fedha zina msingi yake na wale ambao hawaijui hiyo...
36 Reactions
88 Replies
23K Views
Huko nyuma watu waliojitenga na Kanisa katoliki kwa kumpinga Papa na maamuzi yake wakikuwa wanawaona wakaidi wenye shetani la uasi na waliopotoka Baada ya yamko la Papa kuruhusu kubariki wapenzi...
14 Reactions
73 Replies
6K Views
Dar es Salaam, Tanzania - 9 Julai 2024: Nchi za Burundi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zimeipongeza Benki ya CRDB kwa kuanzisha CRDB Bank Marathon katika nchi zao. Pongezi hizo zimetolewa na...
0 Reactions
0 Replies
296 Views
Teknolojia inazidi kuwa kubwa na elimu yake ila zile teknolojia ambazo zinaonekana kuwa sio biashara zimekuwa zikipingwa sana. Miaka ya nyuma teknolojia ya magari ya umeme ilionekana ni ya...
1 Reactions
2 Replies
199 Views
Back
Top Bottom