MWILI wa mwanamke aliyetambulika kwa jina la Teddy Mallya mkazi wa Ilboru Kisiwani, Arumeru mkoani Arusha umekutwa umetupwa kwenye shamba la migomba akiwa mtupu na baadhi ya majeraha mwilini...
Wakuu,
Kumekuwa na maombi kadha wa kadha ya watu kutaka kuwa verified.
Tumeona vema tuweke urahisi wa mtu kuomba kuwa verified badala ya utaratibu wa awali. Kuwa verified kwako ni kwa hiari...
MUHIMU: Mtuhumiwa hana hatia mpaka itakapodhibitika ana hatia, the accused is considered innocent until proven guilty
Mtindo huu wa mauaji umeanza kushika kasi Arusha, ni miezi michache...
Je, wewe ni kungwi wa kucheza na PC? Sina maana ya wale mnaoweza kuplay Games kwenye PC ama wale wenye uzoefu wa kuhamisha movies za Dj Mark kwenye flashdisk. La hasha! Nina maana ya wale mnaoweza...
Kwa sasa barabara ya Mwendokasi Mbagala imeshakamilika kwa 100% na mkandarasi wa barabara hiyo ameshaondoa mitambo yake ya ujenzi ila DARTS ndio hawana basi za kuanzisha ruti za Mbagala!
Hii nchi...
Gudmng
Tukamate hii kutoka kwa mwl Newton Gordian
“Ukweli ni kwamba mambo mengi tunayokwama na kushindwa kufanikiwa hayatokani na mapepo wala wachawi ila asilimia kubwa inatokana na kutokutii...
My take; Vijana tafuteni pesa kwa nguvu zote, ukishakuwa na fedha, Uzee unaisha, watoto wa mjini wanasema "Uzee mwisho Chalinze". Sasa wewe endelea kutafuta Six pack,utaishia kuwaita watoto wazuri...
Baada ya andiko la Mwandishi wa Habari wa The Guardian kudaiwa kushambuliwa na Walimu, THRDC imetoa tamko, kusoma ilivyokuwa bofya hapa ~ Mwandishi wa Habari wa The Guardian anadai amepigwa na...
Kwa wasioijua pombe ya mnazi ni pombe asilia 100% toka mbinguni yaani inagemwa toka katika mnazi inadondokea kama vile zao la mpira matone matone ni kinywaji changu niwe mkweli kwa hapa Lindi...
Habari wana jukwaa?
1.Unaamka asubuhi na stress unajiuliza leo itakuaje tena nini kitatokea huko?
2.Kuna wale wanajua kujipendekeza kwa boss na kujifanya wanainformation zote jinsi shughuli za...
BUHIGWE
Kijiji cha Mnanila kilichopo tarafa ya Manyovu wilayani Buhigwe mkoani Kigoma kimepandishwa hadhi na kuwa mji mdogo ambapo sasa kijiji hicho kimewekewa mpango na kupimwa viwanja kwa lengo...
Katika mitandao ya kijamii kumekuwepo na tabia ya kundi kubwa la vijana wa Kitanzania kuhabarishana, kuombana, kusherehesha na kugaiana video za pornography za watu mbalimbali ambazo wao wanaita...
Katika maisha yangu kumuita mtu Boss siwezi , Vyeti vyangu vipo vinaliwa na panya 😃 .
kuajiriwa sio kubaya na sio kila mtu ana misuli ya kujiajiri lakini nafahamu waajiriwa wanapitia manyanyaso...
Wakuu, habari za jioni.
Kwanza kabisa napenda kutamka wazi kwamba mimi ni Mtanzania ninaetamani tuwe na Muundo pendekezwa wa serikali tatu.
Nikirudi kwenye mada yangu, nimeshangazwa sana na...
Leo asubuhi eneo la Nyerere square baada ya konda na dereva kutudanganya kuwa watapitia General Hospital. Huyo dada hapo pembeni na kaka wagonjwa, mimi nilikuwa naelekea Majengo na konda akaanza...
Amani ni kitu kimoja kizuri sana. Nchi yetu ina amani kiujumla. Aman na upendo tunajivunia ukivuruga amani ya nchi yetu fasta tunakupinga Bongo lazima ukikubali kwenye ulinzi.
Kwa mfano mtu yupo kwenye mradi ila si yupo serikalini eti analipwa hela ndogo kisa yeye hayupo kwenye Shirika. Mradi wa gas na unafanya kazi eti unakuta miradi inayoendelea ni iliyoachwa.
Kwa...
Achilia mbali zawadi ya uhai, afya na maisha aliyokujalia na bado anakukirimia wewe na mimi bure bila malipo wala gharama yoyote....
Nafahamu, Mungu amekutendea mambo mengi mno maishani mwako, na...
Unajua dunia hii ina mambo ya ajabu sana! Yani ilikuwa ala ya music ambayo nilisikiliza kupitia laptop yangu. Hakuna maneno ni ala peke yake nilisikiliza muda usiozidi sekunde 3 hivi amini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.