Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ikiwa alieajiriwa Serikalini na aliejiajiri wote wanaingiza kipato sawa kila mwezi 1. Aliejiajiri anaondoka kwake asubuhi kurudi hadi usiku, alieajiriwa Serikalini anaondoka asubuhi anamaliza...
68 Reactions
351 Replies
23K Views
Mwanamke anaye anayedaiwa kufanyiwa vitendo vya kudhalilishwa kingono na aliye kuwa Mkuu wa Mkoa, Kitendo cha mwanamke huyo kusema hadharani tukio hilo la udhalilishaji ni kitendo cha kishujaa...
13 Reactions
341 Replies
11K Views
Leo jioni nimepita sokoni kuchukua maitaji ya nyumbani nikafika soko moja kubwa lakini nikajiuliza jinsi biashara za sokoni zilivyo zipo wazi mfano matunda,mchele,viungo na n.k .wa wakati wa...
32 Reactions
97 Replies
3K Views
Naitwa x,natokea mkoa x, kwanza kabla ya yoye nipende kuishukuru jamii forum, kiukweli mimi binafsi imenisaidia sana kupitia kuomba ushauri mbalimbali, Najua kunabaadhi ya watu watanitukana...
13 Reactions
83 Replies
4K Views
Kama kawaida sekta binafsi huzengea uwekezaji za umma ili wao kuvuna faida badala ya umma kufaidika. TRC wameshatoa wazo la kubinafsisha huduma ya SGR, huku wakiwa wametaja makampuni yaliyo...
1 Reactions
6 Replies
491 Views
Kitaa unakuta Askari kafunga watu kama 20 hivi mashati wanapelekwa kituo cha polisi. Kosa Ni UZEMBE na UZURURAJI daah. **Mahakamani Mzembe na Mzururaji ushahidi wa kumtia mtu hatiani huwa ni nini?
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Anonymous (5eac)
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya vyuo kufanyisha wanafunzi mitihani kwa mfumo wa online(Google) na mfumo unakuwa na changamoto nyingi kama vile muda unaowekwa unakiwa hautoshi,unakuta maswali 50 ya...
1 Reactions
3 Replies
296 Views
Inakadiriwa kuwa vijana wapatao milioni 23.6 barani Afrika (wenye umri wa miaka 15-35) hawana ajira – sawa na mmoja kati ya 22 (4.5%). Kwa idadi hii kutarajiwa kuongezeka hadi milioni 27 ifikapo...
1 Reactions
6 Replies
386 Views
WANAOSEMA MUNGU HAYUPO NI KAMA VIPOFU WANAOSEMA HAKUNA MWEZI WALA ÑYOTA KWA SABABU HAWÀWEZI KUTHIBITISHA UWÈPO WAKE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Duniani kuna walemavu wa kimwili, kihisia...
0 Reactions
9 Replies
526 Views
Uzi huu maalumu kwa ajili ya kushare hard feelings tunazo kumbana nazo maishani. Mimi jambo linalo niumiza maishani mwangu mpaka sasa na litaendelea kuniumiza hata nikijaribu kulikwepa ni mimi...
11 Reactions
104 Replies
5K Views
Chukua hiyo tuongeze maarifa juu ya tiba lishe Watu wengi tumekuwa tukijiuliza kinga ya mwili ni kitu gani na je ni nini tufanye ili kuiongeza hiyo kinga ndani ya miili yetu. Suala la kuimarisha...
8 Reactions
13 Replies
4K Views
Mimi ni mzee wa miaka 42 ila huwa kujichanganya, hapa nipo kijiwe hapa Dsm, aisee hatima ya vijana. Vijana wamechoka mbaya bora sisi wazee wa kati ( 40 - 55). Kijana wa miaka 20 sura imepinda ni...
9 Reactions
62 Replies
7K Views
“Tumeosha magari ya Polisi leo kwa maana wamekuja kuzuia vurugu bila kutumia nguvu yaani hakuna hata aliempiga mtu kofi kwahiyo tunalipongeza Jeshi la Polisi kwa kutuliza ghasia bila kutumia nguvu...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
VAT ni kifupi cha Value Added Tax. Ni kodi inayotozwa kwenye bidhaa, huduma, na mali isiyohamishika ya shughuli yoyote ya kiuchumi wakati thamani inapoongezwa katika kila hatua ya uzalishaji na...
4 Reactions
4 Replies
483 Views
Ukifika mbezi mwisho karibu na choo cha stendi ya daladala utakutana na misululu mirefu ta watu wakisubiri usafiri wa daladala! Tofauti na wasafiri wengine ambao dakika sufuri magari ni mengi...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Viongozi wenye viburi kama DC wa Ubungo, Hassan Bomboko waamue kubadilika au wapigwe chini na mteuzi wao kwa maslahi mapana ya Taifa. Nyakati sio rafiki. Wafanyabiashara ndogondogo kwa sasa ni...
9 Reactions
37 Replies
4K Views
Nimeshtuka sana leo. Toka pale Salenda kuna madogo wawili wanakamata bajaji kama mbuzi. Haitoshi hapa karibu na Serena kuna mtu mzima mmoja bado kidogo alete ajali. Bajaji kumuona akaaingia...
1 Reactions
2 Replies
270 Views
Na VENANCE JOHN Klabu ya Ittihad Tanger inayoshiriki ligi kuu ya Morocco imesema kuwa msako unaendelea kuwatafuta wachezaji wawili waliotoweka katika Pwani ya Kaskazini mwa nchi hiyo katika...
1 Reactions
1 Replies
397 Views
Jana nimepata kufika kwa ndugu zangu wakina Komba, Mapunda na Nyoni. Kwa kweli ni wakarimu sana, kufika tu jana hiyo hiyo nikakaribishwa nyama ya porini na ubaga. Nipo hapa Mshangano kwasasa ila...
28 Reactions
514 Replies
28K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya miundombinu ya...
1 Reactions
0 Replies
302 Views
Back
Top Bottom