Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Halafu mwambieni wazoefu hapa Mjengoni tumeshamjua na kumbe 24/7 kuanzia Saa 5 usiku huwa tunakuwa nae.
6 Reactions
51 Replies
4K Views
Wakuu salaam, Airtel kama mitandao mengine ina huduma inayokuwezesha kuomba kutumiwa pesa na mteja mwingine (kwa TiGO sijaona huduma hii), lakini kwa Airtel iko tofauti kiasi. Kwa Airtel unaweza...
2 Reactions
0 Replies
523 Views
Kwa utafiti niliofanya, injinia mmoja tu katika halmashauri kusimamia miradi ya wilaya nzima, pamoja na ile ya Force Account, lazima kuna sehemu atachengwa na wajanja. Wilaya nyingine ni kubwa...
4 Reactions
5 Replies
460 Views
Anonymous (7c44)
Habari, Kituo cha Kibamba wahudumu pale ni kero kubwa wana majibu ovyo, imeshakuwa kero kubwa itafikia hatua wananchi watajichukulia sheria mkononi. Pia Dada anayekatisha tiketi ukidai Tsh 50...
0 Reactions
8 Replies
348 Views
Shekh Ponda Isa Ponda,Ameitupia lawama Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar(SMZ),kwa kitendo cha kumtumia shoga (gay) R.Quest,kutoka Ulaya katika shughuli za Kukuza Utalii visiwani humo.Waziri Simai...
16 Reactions
351 Replies
22K Views
Naandika hili andiko kwa masikitiko makubwa sana kuhusiana na tovuti ya BRELA (msajili wa majina ya biashara). Hii website ki ukweli siyo user friendly. Ina complications kibao hadi inafika mahala...
7 Reactions
35 Replies
747 Views
Habari wanajukwaa, Leo nimeona niwaelezee smartphone ilivyonipeleka polisi katika kituo ca msimbazi then njkahamishwa hadi kituo cha Mbweni kilichopo Bagamoyo Road, nisiwachoshe ngoja niende...
18 Reactions
70 Replies
9K Views
Katika mkesha mkubwa kuwahi kutokea Africa uliohudhuriwa na watu zaidi ya milioni moja toka pande zote za Dunia uliofanyika katika viwanja Vya Kawe Jiji Dar salaam. Mwamposa akiwa juu ya...
3 Reactions
42 Replies
1K Views
Ni Muda mwafaka tanroad kuifungua Barabara ya makambako hadi mlimba kuungana na iliyotoka Ifakara kwa ni wananchi wengi kipande hichi wamekuwa wakitumia treni kama ndo usafiri wao na kwanini...
8 Reactions
50 Replies
2K Views
" Ukitaka kupata Mtoto wa Kike hakikisha Mwenza wako ( Mke au Mpenzi ) ukiwa unafanya nae Mapenzi hafiki Kileleni ( yaani Wewe Mwanaume wahi Kumwaga ) kwani ukifanya hivyo utafanya zile Mbegu za...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakati nafika nyumbani leo nimekuta NYUKI wamejikusanya kwenye paa la nyumba, Ni sehemu ya hatari maana kila mtu anapita. Naomba msaada nitumie njia gani kuwatoa maana nimeona kuwatoa kwa moto...
0 Reactions
39 Replies
19K Views
Wadau hamjamboni nyote na habari za asubuhi Naomba uliza wanazuoni na wanatheolojia, je Bi Hajiri mkewe Nabii Ibrahimu alipofariki alizikwa wapi? Je kaburi lake laweza onekana leo? Alizikwa na...
2 Reactions
5 Replies
360 Views
Kudinda kwao kua na mazungumzo na viongozi wa serikali ikiwa ni pamoja na Rais mwenyewe William Samoe Ruto alietoa wito wa majadiliano tangu mapema sana mwa mwanzo wa maandamano yao.. Lakini pia...
1 Reactions
1 Replies
254 Views
Ni maisha ambayo nayaishi saivi sina simu wala laini sina umuhimu katika Jamiii kwaiyo naishi peke yangu na na enjoy sana maisha haya mapya kwa afya ya akili tafuta utulivu wako binafsi.
7 Reactions
53 Replies
1K Views
Rais Ruto anatakiwa aje kujifunza nchini Tanzania ambapo Maafisa wote wenye huo Umri wa miaka 60 hakuna aliyeko bado Serikakini katika Utumishi wa Umma na kwamba Waajiriwa wote Tanzania ni Vijana...
3 Reactions
10 Replies
713 Views
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Makunduchi Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 25 Mei, 2024.
0 Reactions
1 Replies
294 Views
Ndugu,Jamaa na Marafiki kwa sasa kumekuwa na Wimbi kubwa la watu kukata tamaa na kuamua kukatisha maisha kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo za kimahusiano,Ukosefu wa ajira, na mambo mengine...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
Habar. Naomba kueleweshwa kinaga ubaga kuhusu Kaz na utofauti uliopo kati ya NVR na DVR
0 Reactions
3 Replies
757 Views
Foleni mlimani City ni kero. Kila asubuhi Traffic huongoza magari upande hasa yanayotokea Goba/UDSM kupita na kusababisha foleni kubwa kwa magari yanayotoka Ubungo. Foleni unaweza kukaa mpaka...
9 Reactions
57 Replies
1K Views
Back
Top Bottom