Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amefika Shule ya Sekondari Ndedo na kukabidhi Kompyuta Tano (05), Printa (Printer), Projekta (Projector) na Mashine ya Photocopy mpya kwaajili ya...
THe FOOTBaLL
Kuanzia mwaka 1960 hadi Leo hii, Marais wote wa Marekani wamekuwa wakiambatana na mlinzi ('boardguard') maalum ambaye huwa anabeba mkoba, yaani ('briefcase')
Briefcase hii ni...
Dk. Mkamilo akizungumza wakati wa kukabidhi Ofisi baada ya kumaliza muda wake kama Mkurugenzi wa TARI hii ilikuwa Februari 20, 2024 baada ya kutoka kwenye tukio hilo akafariki tarehe 2.3.2024...
Kwa 80% ya raia wa nchi hi wanakosa uhusiano mzuri na jamii ilio wazunguka, mpaka pale wapate tatizo ndo uone sura zao au calls za simu kwanini?
SC inahusiana na watu unao ujua na wanao kujua kwa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amekagua na kupokea taarifa ya maendeleo ya ukarabati na upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kigoma unaoendelea...
Vodacom yaamriwa kumlipa fidia ya Mabilioni aliyebuni Huduma ya "Tafadhali Nipigie"
Mahakama ya juu ya Rufaa Nchini Afrika Kusini imetupilia mbali rufaa ya Vodacom dhidi ya mbunifu wa Huduma ya...
Kuna dogo ni jirani yetu kijijini, nimempita kama miaka 12-15 Nilimwona miaka 5 imepita Kariakoo akifanya kazi kwa Wahindi na juzi nimemwona Kazini analeta bahasha akiwa na boda. Anasema aliacha...
Ndiyo! Laki 6 (sawa na TShs 12M) tu, lkn kwenye ile nchi uchwara kwa hela yao bei ya IST inafika milioni 20. Mtu akiwa na KShs milioni 100 anaweza kununua mabasi yote ya mikoani pale Magufuli...
TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUOMBA AJIRA
Mei 15, 2024 lilitolewa tangazo la kuongezwa kwa muda wa kuomba ajira na mwisho wa kutuma maombi hayo ilikuwa ni leo Mei 21, 2024.
Kutokana na changamoto...
Wao watataka kukuaminisha vitu visivyothibitishwa kisayansi, na baada ya kuamini wewe unakuwa ni kitega uchumi chao; kuanzia kwenye kutoa michango mbali mbali, kama sadaka, ujenzi, fungu la...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema Serikali itagharamia shughuli zote za harusi, ikiwemo kulipia ukumbi mkoani hapo lengo likiwa ni kuvutia zaidi wageni na watalii kufika Arusha na kuwa...
Mambo vipi wazee?
Kuna pahala panaitwa Pugu Kazimzumbwi alhamarufu Ushoroba.
Ni pazuri sana kwa mkazi wa Dar au Pwani anaetaka kupumzika siku moja au weekend kuzipisha kelele za bodaboda, bajaji...
Habari wana JF!
Naombeni kwa anaejua font zinazotumika kwenye risiti za EFD,
Katika pitapita za mitandaoni nimeona kuna Font inaitwa Bitmatrix E1; Hii inafanana sana na ile ya kwenye risiti za...
Meneja wa Barrick nchini, Melkiory Ngido (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Marekani 10,000 kwa Mkuu wa shule ya sekondari ya Kilakala ya mkoani Morogoro ,Mary Lugina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.