Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nimekuwa nikimsikia huyu mchungaji Lusekelo maarufu kama mzee wa upako akieleza baadhi ya kweli zinazoongewa kwa mihemko na Wakristo wanafiki wanaokuwa mahakimu kuhukumu wengine wanaodhani ni...
4 Reactions
15 Replies
813 Views
Kila ukikutana na Watanzania wasioelewa mambo wakiona kichaa muokota makopo unasikia kwamba ni afisa usalama! Ifike hatua mbadili mtazamo, Dunia ya sasa na teknolojia tuliyonayo si mnadhani...
12 Reactions
199 Replies
33K Views
Baadhi ya vyuo Duniani vimekuwa vikifanya mabadiliko ya mitaala na kufuta ama kuachana na fani ambazo haziendani na wakati. Bado najiuliza, kwa Dunia ya sasa fani ya Procurement inafundishwa...
25 Reactions
154 Replies
9K Views
Hello, Nataka kuwa buddhist, nataka nifanye zile meditation kama monk niweze kuumasta huu mwili na hii akili. I beleive in Buddha, natafuta temple kwa Bukoba, Mwanza au Mara. Someone please...
7 Reactions
125 Replies
5K Views
1. LIFE COMES FROM NON-LIFE. 2. ORDER COMES FROM CHAOS. 3. EXISTENCE COMES FROM NON-EXISTENCE. 4. THE PERSONAL COMES FROM THE NON-PERSONAL. 5. REASON COMES FROM NON-REASON. 6. MORALITY COMES...
9 Reactions
41 Replies
864 Views
Kuna mambo yananishangaza sana, yaani mtu kwenye gari kaweka bendera ya Israel mtu mwenye mweusi kabisa!! Laiti mngekua mnajua utumwa wa akili ulivyo mbaya duuh Wengine hadi madhabahuni pakatifu...
5 Reactions
13 Replies
527 Views
Kuona ni kuamini! Burudika kwa picha chache za nyumba toka sehemu mbalimbali!
2 Reactions
19 Replies
647 Views
Habari wadau!! Nimeona leo tujadili hili suala ambalo kadri siku zinavyozidi linazidi kuota mizizi, kumekua na udanganyifu mkubwa sana katika hizi Hospitali binafsi hasa zile zinajinasibu kutoa...
5 Reactions
12 Replies
741 Views
Kama ni kweli kutokana na Mkatoliki Mmoja kuniambia kuwa anayetakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu / Mkate wa Bwana hasa Siku za Ibada za Jumapili na nyinginezo ni yule tu ambaye Kaungama dhambi...
1 Reactions
3 Replies
343 Views
Mafundisho ya Dini yenye uwalakini. Kuna Mafundisho ya Dini yamekua na mapungufu. Muislam hufundishwa na kuelimishwa kupitia Quran, Imani ili ijitetee yenyewe hauhitaji kufundisha mapungufu ya...
0 Reactions
3 Replies
316 Views
Wakuu habari, basi mama angu mdogo alinicall, katika maongezi akanigusia jambo fulani nikabaki nashangaa pia sijui niongee nini cas is confused.[emoji53] Ni hivi, wako mkoani, wana nyumba kubwa...
2 Reactions
23 Replies
860 Views
Habari za mida hii wadau Nimekuja na hoja yangu tuijadili.Leo matokeo ya kidato xha sita yametoka ila watoto nimeona wamefaulu sana Unakuta shule ina division one na two.sasa jamani mimi swali...
2 Reactions
3 Replies
558 Views
Mara nyingi sana waswahili huwa wanazungumzia mtu kupata elimu ya dini lakini kiuhalisia huwa wanamaanisha ni mafunzo/maelekezo ya dini ya mtu husika. Elimu ya dini au kwa Kingereza "religious...
2 Reactions
15 Replies
544 Views
Habari wana JF, Husika na kichwa hapo juu. Naomba kufahamishwa ada ya diploma ya nursing kwa mwaka ni shilingi ngapi? Pia, gharama za hostel zao ni shilingi ngapi kwa mwaka na je, mwanafunzi...
1 Reactions
0 Replies
533 Views
Kwa Kisiri Sanawari katika wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha, jioni hii ya 11/7/2024 umepatikana mwili wa mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 akiwa amefariki ndani. Kwa...
8 Reactions
70 Replies
3K Views
1. Rafiki zangu bodaboda wawili wameibiwa pikipiki, unajua huku Kusini msimu wa ufuta watu si wanakuwa na hela hivyo zinawapagawisha inabidi pikipiki ziwe mchongo kila siku zinaibiwa. Nikiwaona...
0 Reactions
2 Replies
286 Views
Yaani sisi huwa tunarudi palepale, tunamtetea sana Mungu kwa kuhisi Mungu hawezi kujitetea. Binadamu huwezi kusimama mbele na kumtetea Mungu, maybe kama Mungu huyo hana nguvu. Kuna vitu ni vya...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Nimezunguka mitaani pesa imeadimika kabisa kuna nini. Maisha ni magumu ajabu, biashara zimerudi nyuma. Mwezi wa saba ya Mwaka huu tuna fail wapi. Tuambizane.
4 Reactions
19 Replies
498 Views
Ushoga unakuja kwa kasi sana! Wahanga ni watoto wetu wa kiume. Unajua kwa nini? Ni kwa sababu tumewatelekeza watoto wa kiume. Nguvu nyingi tumeelekeza kwa watoto wa kike. Kuwainua watoto wa...
3 Reactions
1 Replies
405 Views
Awali ya yote napenda kumpongeza waziri wa Elimu na management nzima kwa mapambano ya elimu nchini. BInafsi sifurahushwi na matokeo ya kidato cha nne ila kwa hiki nilichokiona Leo katika matokeo...
6 Reactions
15 Replies
628 Views
Back
Top Bottom