Ukweli ni kwamba sijisikii comfortable pindi nikipanda ndege za Tanzania, najisika amani ninapopanda ndege za Kimataifa

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.

Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:

"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"

Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.

IMG_20191202_150629.jpg

Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
 
Kuna mzee ana 'fweza' maana fedha hata mimi nnazo. Ile siku rubani wa Urusi anatua ndege kwenye shamba la mahindi nilikuwa nae tunabadili mawazo. Akadai ndege za Airbus nzuri kwa muundo na comfortability, Boeing nzuri kwa kuruka na kutua ziko stable ila ndani hawana ubunifu mzuri. Akazipondea Tupolev za Mrusi kuwa zinapiga kelele na haziaminiki. Kwa pilots akadai hajawaamini wabongo ingawa sababu za maana hana but anaongea kwa experience ya miaka zaidi ya 35 akisafiri kwa ndege. Alidai ashakula safari zaidi ya 50 za international, za ndani ni mamia
 
Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.

Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:

"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"

Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.

Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Lini umesikia ndege ya air Tanzania imepata ajali na kosa ni la rubani? Hawa Wabongo unaowadharau kwa taarifa yako wengi wamerusha ndege huko nje kabla ya kurudi baada ya shirika kufufuliwa. Nawajua wachache wamerusha ndege Saudi Arabia,India,Nigeria etc
 
Every six months, all airline pilots spend two days in a flight simulator having their skills checked and practicing normal and non-normal situations that could occur in the aircraft. It’s an integral part of making sure that you’re kept safe whilst in our hands on board.
The flight simulators recreate how the aircraft handles so accurately that pilots will often go directly from simulator training to flying the aircraft with passengers on board. When taxiing the aircraft to the runway, you feel the bumps of the lights on the taxiway. As you start the takeoff run, you get pushed back in your seat. And when you land less than smoothly, you certainly feel it.
 
Hii ndiyo matakwa ya leseni zao.
 
Kwa ujumla marubani wetu hawana tatizo na leseni zao za utendaji wa kazi bali tatizo kubwa ambalo watu wanalo ni mpangilio mbovu wa kazi zao kwani umejaa uswahili swahili sana, mfano safari inacheleweshwa kwa sababu ya kusubiri Waziri mzembe kachelewa, Ndege kuahirisha safari bila sababu ya msingi, Ndege kusafiri na abiria wachache sana au ndege kutengenezewa uwanjani etc, Binafsi kila nikikumbuka ile ndege yetu iliyotua pembeni ya uwanja pale Mwanza na kukaa siku kadhaa bila kutolewa pamoja na kwamba sikuwa ndani ya ile ndege wakati ikiteleza pembeni basi toka nilivyoona vile mpaka leo naona bora nipande Zacharia Bus kwani ntajisikia faraja kupita mbugani Serengeti huku nikiona wanyama kuliko kuchana mawingu nikiwa na ile picha iliyojengeka kichwani mwangu
 
Back
Top Bottom