Ukweli ni kwamba sijisikii comfortable pindi nikipanda ndege za Tanzania, najisika amani ninapopanda ndege za Kimataifa

Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.

Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:

"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"

Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.

Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Utawaamini tu siku watakapokushusha kwenye ziwa Victoria
 
Kwa mawazo ya vijana wa Kitanzania wa leo hii kama haya, sina budi kusema Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.

Umezowea kupanda ungo tu. Usijidai KLM sijuwi ushuzi.

Nani alikudanganya ndege za Tanzania siyo za Kimataifa?
 
Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.

Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:

"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"

Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.

Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Ndege ukiwa angani unaweza kuweka autopilot.

Gari ukijaribu utakufa.

Rubani ni dereva wa angani tu.

Kitakwimu, una nafasi kubwa zaidi ya kuoata ajali ya gari kuliko ya ndege.

Kwenye gari nako huwaamini madereva Waswahili kuliko wa kimataifa?
 
Sina shida na hard Tanzanian working professionals

Nina shida na mawe!

Simpendi kabisa

Na ndege zake sipakii sababu ya yeye kuhusika nazo
 
Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.

Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:

"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"

Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.

Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Kipi hasa kinachokufanya usiwaamini? "majina" yao au utendaji kazi wao?
 
Kwa mawazo ya vijana wa Kitanzania wa leo hii kama haya, sina budi kusema Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.

Umezowea kupanda ungo tu. Usijidai KLM sijuwi ushuzi.

Nani alikudanganya ndege za Tanzania siyo za Kimataifa?
Bibi umeutendea haki umri wako!
 
Kwa mawazo ya vijana wa Kitanzania wa leo hii kama haya, sina budi kusema Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.

Umezowea kupanda ungo tu. Usijidai KLM sijuwi ushuzi.

Nani alikudanganya ndege za Tanzania siyo za Kimataifa?
Point......
 
Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.

Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:

"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"

Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.

Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
CHILDISH.
 
We kweli kiazi, tofautisha local na international flights!!
Kwa mawazo ya vijana wa Kitanzania wa leo hii kama haya, sina budi kusema Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.

Umezowea kupanda ungo tu. Usijidai KLM sijuwi ushuzi.

Nani alikudanganya ndege za Tanzania siyo za Kimataifa?
 
Ila kusema kweli marubani wa bongo hasa Air Tanzania wanafanya kazi kwa mazoea sana!!

Majuzi nilikua bongo (kilimanjaro) nikachukua Air Tanzania kurudi Dar.

Mle ndani baada tu ya wahudumu kueleza mambo ya usalama ikawa mwisho. Hatukuambiwa ndege itaruka futi ngapi usawa wa bahari.

Baada ya hapo taa za mikanda hazikuzimwa kuanzia tunapaa hadi tunatua bila tangazo lolote.

Taa hazikuwashwa hata baada ya kupaa bila tangazo lolote.

Huwezi Amini hata ndege ilipokua inajiandaa kutua Dar hatukutangaziwa kama ilivyo kawaida ni kimya kimya kuanzia kupaa hadi kutua. Nilipatwa na mshangao sana!

Kuna rubani flani nafikiri Omari nimepanda flight zake siku zote hutua kwa kishindo sana kiasi cha kustusha abiria.
Ndege ukiwa angani unaweza kuweka autopilot.

Gari ukijaribu utakufa.

Rubani ni dereva wa angani tu.

Kitakwimu, una nafasi kubwa zaidi ya kuoata ajali ya gari kuliko ya ndege.

Kwenye gari nako huwaamini madereva Waswahili kuliko wa kimataifa?
 
Ila usichokijua huyo Captain John akijua wewe na baba yako mmo kwenye ndege anaweza kugoma kurusha monkeys, isitoshe hakuna aliyekulazimisha kupanda ndege zetu.
 
Kuna baadi ya taaluma mtu anapotunukiwa cheti huwa sio cha magumashi l, lazima nakua na advance knowledge juu ya taaluma yake.

Taaluma hizi ni zile za practical oriented.

Udereva ni moja kati ya fani ambazo ni practicle, ili mtu afuzu urubani anatakiwa kuifanya kozi hiyo kwa practical 80% na 20% darasani na hii ni universal kwakua ndege zina SHIRIKA lake la kimataifa linaloratibu mafunzo leseni na mengi mengineyo.
 
Kwa ujumla marubani wetu hawana tatizo na leseni zao za utendaji wa kazi bali tatizo kubwa ambalo watu wanalo ni mpangilio mbovu wa kazi zao kwani umejaa uswahili swahili sana, mfano safari inacheleweshwa kwa sababu ya kusubiri Waziri mzembe kachelewa, Ndege kuahirisha safari bila sababu ya msingi, Ndege kusafiri na abiria wachache sana au ndege kutengenezewa uwanjani etc, Binafsi kila nikikumbuka ile ndege yetu iliyotua pembeni ya uwanja pale Mwanza na kukaa siku kadhaa bila kutolewa pamoja na kwamba sikuwa ndani ya ile ndege wakati ikiteleza pembeni basi toka nilivyoona vile mpaka leo naona bora nipande Zacharia Bus kwani ntajisikia faraja kupita mbugani Serengeti huku nikiona wanyama kuliko kuchana mawingu nikiwa na ile picha iliyojengeka kichwani mwangu
Hakika Umenena
 
Back
Top Bottom