Kwa Hiyo Britanica ndio "proof reading" yako?Hata aki-like kula mavi kwako hiyo ni sawa tu?Na mimi nimejiuliza hivyo hivyo. Lakini Britanicca amemuelewa, na comment ame like!
Usinilishe maneno, sijasema mahali popote kuwa Britanicca ni proof reading yangu na wala sija imply hivyo. Ilinishangaza tu mleta uzi kuelewa kitu ambacho hakieleweki. Stop jumping into conclusionsKwa Hiyo Britanica ndio "proof reading" yako?Hata aki-like kula mavi kwako hiyo ni sawa tu?
Hahahaha mkuu haupo siriazi!!!
Hahahaha!!haya kiongozi.Usinilishe maneno, sijasema mahali popote kuwa Britanicca ni proof reading yangu na wala sija imply hivyo. Ilinishangaza tu mleta uzi kuelewa kitu ambacho hakieleweki. Stop jumping into conclusions
britanicca,
Afadhali hata airbus route za Mwanza.
Route za huku kwetu Mbeya pangaboi akikutana na ukinzani ndege nzima tunanena Kinyakyusa.
Kwa ujumla marubani wetu hawana tatizo na leseni zao za utendaji wa kazi bali tatizo kubwa ambalo watu wanalo ni mpangilio mbovu wa kazi zao kwani umejaa uswahili swahili sana, mfano safari inacheleweshwa kwa sababu ya kusubiri Waziri mzembe kachelewa, Ndege kuahirisha safari bila sababu ya msingi, Ndege kusafiri na abiria wachache sana au ndege kutengenezewa uwanjani etc, Binafsi kila nikikumbuka ile ndege yetu iliyotua pembeni ya uwanja pale Mwanza na kukaa siku kadhaa bila kutolewa pamoja na kwamba sikuwa ndani ya ile ndege wakati ikiteleza pembeni basi toka nilivyoona vile mpaka leo naona bora nipande Zacharia Bus kwani ntajisikia faraja kupita mbugani Serengeti huku nikiona wanyama kuliko kuchana mawingu nikiwa na ile picha iliyojengeka kichwani mwangu
HAPO NI MAWINGUNIMtujuze wa mapangaboi au wa Airbus flightView attachment 1277764
Siapti seat(siti) nitasimama tu, wabongo hatuna noma, tatizo kutua na kupaa!Sio kweli mkuu ndege zetu muda wote zimejaa kaangalie saiz kwenye website zao haupati siti
Madereva wa ndege kwa nini mnawaita captain? hazina dei waka kwani? ni sawa na daladala tu za juu!Lini umesikia ndege ya air Tanzania imepata ajali na kosa ni la rubani? Hawa Wabongo unaowadharau kwa taarifa yako wengi wamerusha ndege huko nje kabla ya kurudi baada ya shirika kufufuliwa. Nawajua wachache wamerusha ndege Saudi Arabia,India,Nigeria etc
Onhoobritanicca,
Afadhali hata airbus route za Mwanza.
Route za huku kwetu Mbeya pangaboi akikutana na ukinzani ndege nzima tunanena Kinyakyusa.
Duh duhIla kusema kweli marubani wa bongo hasa Air Tanzania wanafanya kazi kwa mazoea sana!!
Majuzi nilikua bongo (kilimanjaro) nikachukua Air Tanzania kurudi Dar.
Mle ndani baada tu ya wahudumu kueleza mambo ya usalama ikawa mwisho. Hatukuambiwa ndege itaruka futi ngapi usawa wa bahari.
Baada ya hapo taa za mikanda hazikuzimwa kuanzia tunapaa hadi tunatua bila tangazo lolote.
Taa hazikuwashwa hata baada ya kupaa bila tangazo lolote.
Huwezi Amini hata ndege ilipokua inajiandaa kutua Dar hatukutangaziwa kama ilivyo kawaida ni kimya kimya kuanzia kupaa hadi kutua. Nilipatwa na mshangao sana!
Kuna rubani flani nafikiri Omari nimepanda flight zake siku zote hutua kwa kishindo sana kiasi cha kustusha abiria.
Mkuu britanicca , they are competent, ila ajali ni ajali.Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.
Uwa na nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.
View attachment 1279332
Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
We jamaa!! @brittanica usikute alikuwepoUtawaamini tu siku watakapokushusha kwenye ziwa Victoria
Yaani wewe ni kama mimi tu. Nakuwa veery uncomfortable na hofu télé. Kuna incidence moja ilitokea yaani toka hapo hiyo trust ikapotea kabisaMara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.
Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:
"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"
Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.
View attachment 1279332
Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Hii iliyodondoka leo kampuni yake ndege zimechoka mno huwa nikipanda ni roho mkononiAngani hamna bamz wala [emoji730].
Marubani hawana tatizo labda ndege zizingue tuu.
[emoji23][emoji23][emoji23] dahMungu atujalie na atuepushe na shari
Mana urubani nao ni kama udereva flani hivi
Juzi hp tunashuka KIA anashusha ndege na breki za kushtukiza hadi kdg tuanze kutapika
Badae kushuka JNIA akawa hana shida
Made me wonder ni nini hiki
Ingine muda wa kuondoka nlivyozoea mnakata kona kuelekea runway wanatulia sekunde chache af ndege inaruka
Hii mwamba alivomaliza tu kukata kona kapiga spidi kaliii tukaruka ehhh..ilikua mpya kwangu
DuhUtawaamini tu siku watakapokushusha kwenye ziwa Victoria