Ukweli ni kwamba sijisikii comfortable pindi nikipanda ndege za Tanzania, najisika amani ninapopanda ndege za Kimataifa

Ukweli ni kwamba sijisikii comfortable pindi nikipanda ndege za Tanzania, najisika amani ninapopanda ndege za Kimataifa

Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.

Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:

"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"

Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.

Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Mkuu unavinasaba na Charles Njonjo wa Kenya?
 
Kwa mawazo ya vijana wa Kitanzania wa leo hii kama haya, sina budi kusema Tanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.

Umezowea kupanda ungo tu. Usijidai KLM sijuwi ushuzi.

Nani alikudanganya ndege za Tanzania siyo za Kimataifa?
Dada yangu u serious utakuua muda mwingine tunaleta threads za Jocks kusogeza maisha,
 
Ndege ukiwa angani unaweza kuweka autopilot.

Gari ukijaribu utakufa.

Rubani ni dereva wa angani tu.

Kitakwimu, una nafasi kubwa zaidi ya kuoata ajali ya gari kuliko ya ndege.

Kwenye gari nako huwaamini madereva Waswahili kuliko wa kimataifa?
Mara Nyingi kwenye kutua na kupaa, alafu Boeing 737 zina washinda marubani wengi kwenye Autopilot
 
...Magufuliphobia..[emoji28]

I dont know that word Magufuliphobia!

The word does not register with me,it does not exist!

Generally,Its only right to hate a non reasonable human being causing sufferings to innocents!

I hate those people with passion!

When I get a chance,I see them when they see me,either them or me!
 
I dont know that word Magufuliphobia!

The word does not register with me,it does not exist!

Generally,Its only right to hate a non reasonable human being causing sufferings to innocents!

I hate those people with passion!

When I get chance,I see them when they see me,either them or me!
 
Afadhali hata airbus route za Mwanza.
Route za huku kwetu Mbeya pangaboi akikutana na ukinzani ndege nzima tunanena Kinyakyusa.
Pangaboi ikiwa inaenda Mbeya Dar unaweza kudhani ni DSM yale yanayopita barabara ya changarawe. Linaenda kwa kutetema kama vile linasukumwa sukumwa
 
Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.

Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:

"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"

Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.

View attachment 1279332

Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Endelea hivyo hivyo kwani hawa marubani wetu kutokana na majina yao na pengine uafrika wao hawakufai.
Miaka mingi iliyopita kulikuwa na mheshimiwa mmoja mkubwa tu naye alikuwa na kasumba hiyo hiyo ila siku moja kwenye moja ya safari zake na alipanda ndege na wakati imeashaanza kuruka rubani aliwakaribisha abiria hao kwenye ndege hiyo na kujitambulisha kama Captain Roy. Mheshimiwa huyo aliridhika sana kusikia jina hilo la ki shua.
Alikuja pata mshangao pale yule rubani alipotoka kwenye cockpit na kuja kwa abiria ndipo mheshimiwa sana alipogundua kuwa rubani wa ndege ile ni mmbantu toka Uganda na akawa hana la kufanya bali kufa kiofisa.
 
Pilots wote wanaongeza ujuzi wao kwa safari zao
Lakini kuna wengine bado masaa mengi waive haswa
Kuna rubani mmoja wakati tunatua Dar yaani break ile sintaisahau wengine waligonga vichwa kwenye viti
Lakini tulifika salama
Iliposimama watu walinung’unika sana
 
Marubani wetu wako fiti sana kushinda hao wakimatayfa ubeberu umekutawala.
 
Kwa ujumla marubani wetu hawana tatizo na leseni zao za utendaji wa kazi bali tatizo kubwa ambalo watu wanalo ni mpangilio mbovu wa kazi zao kwani umejaa uswahili swahili sana, mfano safari inacheleweshwa kwa sababu ya kusubiri Waziri mzembe kachelewa, Ndege kuahirisha safari bila sababu ya msingi, Ndege kusafiri na abiria wachache sana au ndege kutengenezewa uwanjani etc, Binafsi kila nikikumbuka ile ndege yetu iliyotua pembeni ya uwanja pale Mwanza na kukaa siku kadhaa bila kutolewa pamoja na kwamba sikuwa ndani ya ile ndege wakati ikiteleza pembeni basi toka nilivyoona vile mpaka leo naona bora nipande Zacharia Bus kwani ntajisikia faraja kupita mbugani Serengeti huku nikiona wanyama kuliko kuchana mawingu nikiwa na ile picha iliyojengeka kichwani mwangu
Mkuu katika usafiri salama na wenye ajali chache duniani na hapa Tanzania ni usafiri wa ndege.
Gari ni hatarishi sana, ajali ni nyingi mno sababu ya kutokuwa na taratibu (procedure) nyingi za kuzuwia isitokee ajali.

Mfumo wa kupata leseni ya pilot ni mrefu na wa uhakika, mfumo wa kuzuwia mtu mwenye tatizo la kiakili, kiafya, kifamilia, uchovu, ulevi au mazingira magumu ya kazi vinazingatiwa kuliko maelezo.

Tahadhari hizi zote ni sababu ikitokea ajali ya ndege madhara ni makubwa sana.
Vifo ni asilimia kubwa kuliko kusalimika abiria, kiuchumi ni hasara kubwa sana kwa wamiliki wa ndege au wadau wengine kwenye hilo sakata.
 
Kwa ujumla marubani wetu hawana tatizo na leseni zao za utendaji wa kazi bali tatizo kubwa ambalo watu wanalo ni mpangilio mbovu wa kazi zao kwani umejaa uswahili swahili sana, mfano safari inacheleweshwa kwa sababu ya kusubiri Waziri mzembe kachelewa, Ndege kuahirisha safari bila sababu ya msingi, Ndege kusafiri na abiria wachache sana au ndege kutengenezewa uwanjani etc, Binafsi kila nikikumbuka ile ndege yetu iliyotua pembeni ya uwanja pale Mwanza na kukaa siku kadhaa bila kutolewa pamoja na kwamba sikuwa ndani ya ile ndege wakati ikiteleza pembeni basi toka nilivyoona vile mpaka leo naona bora nipande Zacharia Bus kwani ntajisikia faraja kupita mbugani Serengeti huku nikiona wanyama kuliko kuchana mawingu nikiwa na ile picha iliyojengeka kichwani mwangu
Ndani ya mwaka 2019 umesikia ajali kubwa za ndege zilizo sababisha vifo ni ngapi na za magari au usafiri mwingine ni ngapi?
Hayo mambo ya kuchelewesha safari sio tatizo kubwa kwa usalama wa abiria bali ni kero na hasara kwa abiria na kwa wamiliki wa ndege pia.
 
Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.

Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:

"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"

Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.

View attachment 1279332

Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?
Umewahi kupata mushkeli wowote ukiwa na marubani wa Tz?
Ila naelewa wasiwasi wako, hasa ukizingatia umakini hafifu wa kila sekta katika nchi yetu.
 
Every six months, all airline pilots spend two days in a flight simulator having their skills checked and practicing normal and non-normal situations that could occur in the aircraft. It’s an integral part of making sure that you’re kept safe whilst in our hands on board.
The flight simulators recreate how the aircraft handles so accurately that pilots will often go directly from simulator training to flying the aircraft with passengers on board. When taxiing the aircraft to the runway, you feel the bumps of the lights on the taxiway. As you start the takeoff run, you get pushed back in your seat. And when you land less than smoothly, you certainly feel it.
Kwetu pia ipo? Maana kwa uvunjaji wa taratibu hasa awamu hii, tumekubuhu.
 
Lini umesikia ndege ya air Tanzania imepata ajali na kosa ni la rubani? Hawa Wabongo unaowadharau kwa taarifa yako wengi wamerusha ndege huko nje kabla ya kurudi baada ya shirika kufufuliwa. Nawajua wachache wamerusha ndege Saudi Arabia,India,Nigeria etc
Ishu siasa kwenye uendeshaji inaweza leta shida hasa ukitilia maanani suala la gawio
 
Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania.

Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema:

"THIS IS CAPTAIN JOHN AU CAPTAINS HANSEN"

Ila nikipanda za Tanzania nfano kutoka DSM to Bukoba, nikasikia Welcome on board,This is Captain LUSUNGU talking, au Captain BYAMUNGU, huwa naishiwa nguvu siwaamini kabisa.

View attachment 1279332

Je, hawa ma-captiain wako competent vya kutosha?

Hahaha,
 
Kwetu pia ipo? Maana kwa uvunjaji wa taratibu hasa awamu hii, tumekubuhu.
Upatikanaji wa leseni za kurusha ndege ni mmoja kwa Dunia nzima. Vile vile kuwa na leseni tu ya kuruka hakutoshi si kama magari. Kwenye ndege rubani wa Dreamliner kwanza awe na leseni ya kurusha, halafu anakwenda kujifunza kuirusha ndege hiyo tu, na kupewa kibali na mtengeneza ndege kama atafaulu. Na hii ni kwa ndege zote. Na mara nyingi makampuni ya ndege hayapendelei mtu mmoja akawa na zaidi ya kibali cha ndege moja kwa wakati mmoja kwa kuhofia usalama. Kwa unyeti wa sekta hii ulivyo, sitegemei kama siasa zinaingiliana.
 
Back
Top Bottom