Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Kuna kisa kimoja kilitokea marekani ambacho mama mmoja alijikuta mikononi mwapolisi baada ya kwenda kituoni kuanza kueleza kuwa eneo fulani kuna mwili wa mtu fulani nendeni mkautoe. Lile jambo...
2 Reactions
4 Replies
487 Views
FAHAMU NAMNA YA KUZIMA MOTO WA SHOTI YA UMEME Habari wadau, Happy end of the month (January woyoooo),na happy new year kwa familia yooooote ya Home of Great Thinkers (HGT). Baada ya salaam...
6 Reactions
7 Replies
4K Views
Ulaya umri mdogo tu! Unakuwa maisha yako safi. Bongo umri mdogo upo darasani unasoma aina ya nomino ona utofauti ni vichekesho sana
7 Reactions
3 Replies
532 Views
Pita pita mtaani yaani watu wamechoka sana hakuna cha maana maisha yao yamekuwa magumu. Nuru za watu zimepotea na kama watu wamejikatia tamaa. Kweli ni nyimbo nzuri ila imekosea kuingia 2024
1 Reactions
2 Replies
290 Views
Watoto 3 kati ya 4 wanaishi katika nchi ambako upatikanaji wa chanjo ni mdogo na kusababisha milipuko ya magonjwa: WHO/UNICEF Viwango vya chanjo za utotoni ulimwenguni vilikwama mwaka 2023 na...
0 Reactions
0 Replies
456 Views
Ukuaji wa Teknolojia ni Mzuri kama ukitumika vizuri. Kwa nini nimeleta hoja hii kwenu? Unakuta wazazi wote wanachart karibu siku nzima watoto wanaolelewa humo ndani wanabaki kuzunguka zunguka tu...
0 Reactions
1 Replies
225 Views
Habari wanJF. Hivi huwa najiuliza TBC ni ya Serikali au ni ya chama Fulani, mbona huwa wanazungumzia habari za chama kimoja tu kwani vyama vingine havina haki kutangazwa? Kama ni hivyo vyama...
0 Reactions
14 Replies
489 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Kihistoria mji wa Yerusalemu haukuwa chaguo la Mungu wetu Jeriko ndiyo mji maalumu Mtakatifu uliokuwa chaguo la Mungu kuwa makao makuu ya...
0 Reactions
4 Replies
261 Views
Baada ya tukio la kule U.S kumhusu mzee Trump, naomba kujua juu ya hawa wanaotajwatajwa kwa jina la "Secret Service". Huwa ni watu gani hawa, na majukumu yao ni yapi. Je, hapa kwetu Tanzania, wapo?
2 Reactions
25 Replies
11K Views
Kwa sasa naamini ili wasionekane hawausiki na yanayotokea TCRA waliondoa account yao. Ukweli mtandao X kuna viongozi wanaogopa kuwa na account au kama wanazo basi sio zao. Na lingine kama TCRA...
1 Reactions
4 Replies
298 Views
Makanisa mengine kama Lutheran na Anglican divai Huwa watu wanashiriki lkn Kwa catholic Huwa wanakunywa wenyewe tena wanazinywea kitimito kabisa kwenye makazi yao
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Ni usafiri tulivu, salama na wa uhakika sana, muonekano wa mandhari nzuri sana za misitu, milima na mabonde njiani ni burudani tosha, ukiachilia mbali huduma murua ndani ya treni, mazingira bora...
4 Reactions
69 Replies
2K Views
Kwa wale Matomaso (Wabishi wa Kuelewa daima) mkitaka kuliona hili tafadhali tafuteni Clip ya Msigwa alipokuwa akijiunga rasmi na CCM pale Ikulu/CCM Lumumba na zile Hafla mbili za nyuma za Wanawake...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
Tangu Mwafrika alipomjua Mungu hakuna mtoa huduma za kiroho aliejiita NABII hadi ilipofika miaka ya 2010 hadi sasa. Kwa hiyo kwa miaka yoote hio tangu wa-missionaries walipoukaribisha ukristo...
0 Reactions
2 Replies
303 Views
Ruto anapata wakati mgumu wakenya wamepanga tena maandamano siku ya Jumanne ambayo tarehe 16 mwezi huu. Lengo ni kuondoka madarakani Ruto si vingine hata abadilishe nini?
5 Reactions
45 Replies
11K Views
Kila hatua unayopiga kwenye maisha ipime kwa kuangalia ulikotoka. jiulize jana na juzi nilikuwa wapi leo niko wapi, majibu yake yatakupa taswira kama unapiga hatua au unarudi nyuma. Wapo wengi...
2 Reactions
9 Replies
500 Views
Miaka ya 2004 hadi 2006 nilikuwa nikipita mara kwa mara Zambia kuelekea South Africa. Nilikuwa nikibadilisha shilingi yetu kwa kwacha ya Zambia napata hela nyingi sana za Kizambia. Infact enzi...
22 Reactions
340 Replies
49K Views
She is a woman! She is black! She comes from poorest country! She is from Africa! What does she think she is, to talk to me? Does she know any thing about war? ...................... Ongezea na...
28 Reactions
105 Replies
14K Views
Serikali kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano imetoa ufafanuzi juu ya ujio wa Starlink ikidai kuwa haijakataa ujio wao bali inasubiri kampuni ya Starlink itimize masharti yaliyowekwa
6 Reactions
54 Replies
2K Views
Ni salamu za Christmas kutoka Kwa nabii Dominic kiboko ya wachawi wa kanisa la CGC hapa buza Kwa lulenge kuelekea mwisho wa mwaka katika mkesha wa mwaka mpya ambapo Ng'ombe wasio na idadi...
0 Reactions
63 Replies
2K Views
Back
Top Bottom