Swalama ndugu zanguni?
Mpaka sasa zoezi la sensa linaendelea huku likisuasua, lakini msikate tamaa muda bado upo wa kurekebisha kasoro zilizopo.
Back to the topic, mimi ni mwanaume wa miaka 35...
Na Waandishi wetu Tunu Bashemela na Abrahamu Ntambara
KAMATI ndogo ya Ulinzi na Usalama wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam imeazimia kuendelea kuwapa waandishi wa habari elimu ya namna...
Kijiji cha Mundindi kilichopo wilayani Ludewa kilipewa fidia ya Tshs 464 na kati ya hizo Tshs 400 milioni waliamua kununua hati fungani katika benki mojawapo nchini itayowapa gawio la Tshs 41 kila...
Hii ni ile hali ya kuweka dhana juu ya jambo fulani au mambo fulani, kwa lugha nyingine kudhania mambo pasipo uhalisia.
Hii hali hutufanya tuishi katika ulimwengu ulio jaa uongo ndani yake,na...
Wakuu,
Niliweka uzi majuzi wa shimo lililokuwa linazidi kuchimbika kutokana na bomba kuwa na hitilafu na hivyo kutiririsha maji na kufanya ardhi eneo hilo kubonyea kirahisi na kuharibika (zaidi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Nishati na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha mradi wa njia kuu ya kusafirisha umeme kutoka Tabora...
MREJESHO WA KIKAO CHA DHARURA KATI YA NHIF NA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA- MAT
Utangulizi,
Tunapenda kuwafahamisha madaktari nchi nzima kuwa mnamo tarehe 10/07/2024 tulipokea barua ya mwaliko...
Barabara ya Dar es Salaam-Lindi imekatika eneo la somanga na kukata mawasilino kabisa kati ya Dar na Lindi hivyo hamna gari lolote la kwenda Lindi au Kwenda Dar. Kwasasa abilia na wote wenye...
Lindi iko mwambao wa pwani(Factor kubwa kwa ukuaji wa miji/mji), ina beach nzuri (biashara, utalii, uvuvii), ina makumbusho ya majengo ya kale ambayo pia ni utalii wa kihistoria, bado ina ardhi na...
Nimehudhuria ibada za Wasabato mara kadhaa. Mara zote nimeona msisitizo mkuu wa mahubiri yao ni kuhusu siku ya Sabato.
Lakini pia niliona kuwa mahubiri yao kwa sehemu kubwa yanatoka kwenye vitabu...
Mahakama Kuu ya Tanzania, imemwachia huru mzee wa miaka 78 ambaye alihukumiwa kifungo cha maisha jela kwa madai ya kumbaka mtoto mwenye umri chini ya miaka 18 na kumwambukiza virusi vya Ukimwi...
Moja ya mambo yanayotisha sana katika maisha ni kufilisika. Ulikuwa na mali zako kidogo zilizokuwa zinakusaidia na kukupatia chochote, na ulikuwa na watu waliokuzunguka ambao uliwapa kazi na japo...
Hello habari, Mimi ni kijana niliezaliwa mnamo mwaka 1995 katika kanda ya kaskazini hapa nchini.Nimesoma shule mbalimbali hadi kufanikiwa kupata digrii ya kwanza katika chuo cha Taifa cha...
Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu ya kila asomae.
Kuna mtihani mkubwa umewakumbuka wananchi wengi Leo unaosemekana kusababishwa na gari ya jeshi kuharibika na kipande cha barabara kufungwa kwa muda...
Ningekuwa raisi Samia, ningefuta leseni za kampuni zote zinazoleta usumbufu kwa wateja pasipokujali zimetoka nchi gani hapa duniani
Wakuu kuna baadhi ya makampuni yanayoleta usumbufu kwa wateja...
Utafiti mpya unaeleza kuwa tabia ya kuweka akiba haitakuacha tu na pesa taslimu bali kunaweza kukusaidia kulala vizuri pia.
-
Kuhifadhi pesa kiasi kidogo tu mara kwa mara, kunaweza kuboresha afya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.