Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mh.Nape M. Nauya amechagua kuwa mkweli kuwa kipindi chote huwa wanafanya hivyo apongezwe Kwa ujasiri wake wa kutoa silaa za kivita hadharani .
5 Reactions
15 Replies
525 Views
Sakata linaanza na Mwili mmoja wa mwanafunzi aliyekua anasoma Jomo kenyata university of Agriculture and technology (JKUAT) unagunduliwa kwene ambapo eneo la dampo mjini Nairobi.Baada ya kutolewa...
5 Reactions
105 Replies
3K Views
Inasemekana tukio hili la UCHAWI limenaswa huko Zanzibar kupitia CCTV. Kumbe Teknolojia inaweza tumika kubaini uchawi
2 Reactions
12 Replies
688 Views
Nimeisoma hii twit yake huko X naona kuna ukweli wa wazi kabisa.. God have mercy on US, tunatengeneza jamii isiyokuwa na fikra chanja na upembuaji wa mambo MTAMBUKA kwa nchi yetu. Hii hapa twit...
10 Reactions
55 Replies
2K Views
Kwa wasioijua Same Sekondari ni moja ya shule Kongwe za Serikali Tanzania iliyoanzishwa mwaka 1952. Shule hiyo imekuwa na wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha sita (boys). Kulikuwa na jitihada...
0 Reactions
4 Replies
752 Views
17 JULY 2024 MSIMU WA PUNGUZO #Twenzetu Kariakoo Kariakoo Festival 2024 inakuunganisha na Biahara zinazo toa Punguzo la bei katika msimu huu. KARIAKOO KUVUTIA WATEJA WA NCHI TISA DAR ES...
0 Reactions
1 Replies
617 Views
Moja ya Amri za Mungu katika kitabu cha kutoka 20 ni kuikumbuka siku ya Sabato na kuitakasa. Na hakuna ubishi kuwa siku ya saba ndiyo siku ya Sabato. Pia hakuna ubishi kuwa siku ya saba ya juma...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
MPANGO WA MINARA UCSAF KUNUFAISHA WATU MILIONI 8.5, WILAYA YA KIBONDO WANUFAIKA Waziri wa habari, mawasiliano na teknolojia ya habari Nape Nnauye amesema kuwa wananchi milioni 8.5 watanufaika na...
2 Reactions
1 Replies
193 Views
Unajua watu ukiwaambia jinsi ulivyo na akili wanakudharau rafiki sasa sikia hii mimi ipo siku naanza biashara ya pombe na mpango wangu ukija unanunua pombe me offer yangu ni sigara moja si najua...
4 Reactions
4 Replies
386 Views
Msaada please kwa anaejua. Acha na posho Bali mshahara tuuu
4 Reactions
47 Replies
6K Views
................Akikusifia sana basi tambua unajilazmisha kuishi nje ya mipaka yako na comfort zone yako ili kumridhisha yeye au ku-brag kwake kuwa unamuweza. Shikilia hapo hapo mwanangu ni bora...
4 Reactions
4 Replies
368 Views
Ukweli ufichwi mtaficha nyie hapa JF ila kumbuka hupo sehemu hata jf uwezi kuwepo. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Nape asilaumiwe, hata Rais Samia aliwahi kunena kauli inayoendana na yake
4 Reactions
7 Replies
421 Views
Wasalaam, Wandugu, ni kweli nimepata beer kadhaa za safari lakini sidhani Kama nimelewa kushindwa kusikia hiki nilichosikia around 8:33 up to 8:34 pm almost 30 seconds kumetokea tetemeko la...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Mvuvi mmoja katika kijiji cha Warri, jimbo la Niger Delta nchini Nigeria amevua samaki aina ya Blue Marlin mwenye uzito wa 87 kgs na kumchinja kisha kugawana nyama na wanakijiji wenzie. Baadae...
18 Reactions
111 Replies
17K Views
Nimeona rais Samia akiwa huko ziarani akieleza ni namna gani ameshangazwa na kukuta wamama wazazi (watoto) wodini. "Nilipokwenda kwenye wodi ya kinamama, na hasa watoto ambao hawajatimia,nimekuta...
2 Reactions
33 Replies
1K Views
Hebu tulia kama dakika tatu fikiri kwamba una binti yako ambae kiumri bado ana hitaji malezi kutoka kwako unamtoa kwenda kufanya kazi za ndani kwenye familia nyingine . Nadhani kuna ugumu fulani...
3 Reactions
12 Replies
633 Views
Kuna hii tabia ya mtu kujifanya anakujua sana na kuanza kujifanya anakuuliza ooh siku hizi uko unafanya issue gani au unaishi wapi and stuffs like that. Kama ulihitaji kujua kwamba nipo wapi au...
12 Reactions
24 Replies
688 Views
“Sijui kama inawakuta wavulana lakini rushwa ya ngono kwa wasichana ni tatizo kubwa. Inahitaji uwe jasiri na ujue mifumo ya kuripoti”. - Lydia Charles Moyo (31), Mkurugenzi wa taasisi ya...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
Mimi nikiwa mkristo huru na ninaeheshimu haki na uhuru wa watu kuabudu ! Kutoa sadaka kwa mujibu wa Imani zao kwa hiari yao bila kulazimishwa na mtu yeyote ,kwenda kuhudhuria makongamano na...
1 Reactions
44 Replies
1K Views
Nimeona kiumbe mmoja mtanzania jasiri sana akitangaza kuwa yeye hupenda kunywa supu ya vichwa vya nguruwe. Kiasi fulani imenishangaza hasa kwa vile hawa viumbe huweza kula hadi kinyesi cha...
12 Reactions
89 Replies
2K Views
Back
Top Bottom