Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Yani wasifu ungekuwa unafatiliwa kuhusu tovuti ya bunge unaweza kushika mdomo wazi yani unakuta mtu anaweka ana PHD ambayo ujui kaipata kichochoro gani na mda gani. mmoja mbunge X kuna chuo...
0 Reactions
2 Replies
219 Views
Sidhani kama uko nyuma ilikuwa kama ivi lakini sasa inaonekana kila kona udalali wa kila kitu ingawa hata kazi ya huo udalali huioni. Kwa kawaida maana ya udalali ni kwamba anakuwa mtu wa kati ya...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuja kugundua ya kwamba kula chakula Mara kwa Mara kunamaliza pesa aisee mpaka najuta Kwanini nakula chakula Kwahiyo nimeamua kujizuia kula chakula Asubuhi, mchana na Jioni au usiku ili nituze...
6 Reactions
20 Replies
620 Views
Naomba kujuzwa yafuatayo: 1. Je, unamjua mtu ambeye kabadilishwa kada au kupanda daraja mwaka huu? 2. Hivi ubadilishwaji kada na upandishwaji madaraja unaweza kuendelea hata baada ya mwezi july...
0 Reactions
3 Replies
590 Views
Anonymous (9a28)
Kuna Afisa mmoja wa LATRA Morogoro anafahamika kwa jina la Fadhili, huyu mtu ni hatari sana kwa Vijana wanaoendesha Bajaji, anatutesa sana sisi Vijana na kinachouma zaidi ni kuwa inavyoonekana...
0 Reactions
3 Replies
593 Views
Naomba kwa mtu anayejua kama hizi course zinatambulika au laa linapokuja swala la kutafuta AJIRA bongo maana nimeona course Fulani zinatolewa na GOOGLE, MICROSOFT,COUSERA,IBM,UDEMY N.K ziko vizuri...
0 Reactions
1 Replies
397 Views
Siku ya tarehe 13.05.2024 imezinduliwa modeli mpya kabisa GPT-4o na kufanya uwezo zaidi kupatikana bila malipo kwa watumiaji wa ChatGPT. GPT-4o ni modeli mpya kabisa inayotoa akili ya kiwango cha...
2 Reactions
4 Replies
759 Views
TRA Tanzania Hiki kiwanda kipo kata ya Kalobe Mbeya mjini. Kiwanda kina waajiriwa wengi na kinauza bidhaa zake sana. Cha ajabu baadhi ya bidhaa hazilipiwi stika ya TRA. Wafanyakazi tunalipiwa...
6 Reactions
53 Replies
3K Views
Ni Iringa hapa, tena Regional Referral Hospital, nimeshangaa sana au ndio yale mambo ya Halmashauri hayo, miradi inajengwa kwa fedha zetu ila unalipia tena kuitumia. Inasikitisha sana yaani hii...
10 Reactions
39 Replies
1K Views
MAMBO YA KUZINGATIA UTAKAPOAMUA KUJIUNGA NA WAHUNI ÀU GENGE LA WANYWA DAMU ZA WATU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sasa umekua Mkubwa. Ni kama maisha huyaelewi hivi. Umejaribu kufuata sheria...
12 Reactions
48 Replies
3K Views
Mkazi wa Mtaa wa Kota, Kata ya Mlandege Mkoani Iringa, Goodluck Mgovano aliyekadiriwa kuwa na umri wa miaka 33 anadaiwa kumuua Mtoto wake Alvini Mgovano mwenye umri wa miaka minne kwa kumnyonga na...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Hupaswi kumlazimisha mtu akuone wa thamani, lakini ni kosa kubwa sana kutokujithamini! Imeandikwa, "Mpende jirani yako kama nafsi yako". Kutokujipenda ni kosa. Ukijithamini, na wengine...
5 Reactions
6 Replies
410 Views
Heshima sana wana jamvi, NMB ABC branch ni kwajili ya wafanyabiashara.Huduma zake unaweza kuziweka daraja moja na CRDB Premier mahususi kwa wafanyabiashara wa kati na wakubwa. Huduma za CRDB...
0 Reactions
0 Replies
214 Views
Anonymous (d5d7)
Wapangaji wa Shirika la Nyumba zilizopo karibu na Manispaa ya Morogoro tunalalamika bar maarufu ya Ellis iliyopo karibu na Ofisi za Manispaa ya Morogoro, inapiga kupiga mziki mkubwa hadi asubuhi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wakazi wa Kimara mwisho na maeneo yake maji hakuna kabisa, takribani siku 3 mpaka 4 sasa maji hayatoki, haijulikani sababu ni nini. Tunaomba mrejesho toka DAWASCO! ✍🏾 Pia soma - Kero ya maji...
1 Reactions
2 Replies
344 Views
Ukiwa unahitaji kuanza maombi ya kitambulisho cha utaifa(NIDA) ndani ya wilaya ya ubungo, ofisi zao zinapatikana wapi ? Na hivi jmosi hua wanafungua ?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba kujua kilichotokea baada ya Mheshimiwa Waziri wetu mpendwa wa Ardhi Jerry Silaa kusema kuna jaji anayeunga mkono wahuni kushinda kesi wanapoiba ardhi za watu. Je, mpaka sasa Tume ya...
1 Reactions
33 Replies
775 Views
Mungu anatuepusha na shari nyingi sana, Kuna kisa nakikumbuka sitakaa kukisahau maishani mwangu, maana niliona nakufa kabisa. Nilikuwa natokea makambako naelekea Mgololo kiwanda Cha karatasi...
13 Reactions
46 Replies
5K Views
Anonymous (d2d3)
Jamii Forums habari, Tunaomba mtusaidie wakazi wa Dodoma, barabara ya Hombolo ni mbaya sana, Kila siku tumekuwa tukipigwa danadana kuwa inawekewa lami lakini hakuna kinachoendelea kwamba kuna...
0 Reactions
1 Replies
398 Views
Aisee niwe tu mkweli sijui kuna masomo yalinipita au sikuyaelewa tu vizuri yaani Mpaka sasa hv nimeshindwa kuelewa kwanini shape ya mwezi inabadilika badilika kuna kipindi unauona nusu wakati...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Back
Top Bottom