Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Anayedaiwa kuwa Kiongozi wa Taasisi ya Kusambaza Dawa za Kulevya nchini, Ally Haji, maarufu Shikuba na wenzake wawili, wamesafirishwa kimya kimya kwenda nchini Marekani usiku wa kuamkia jana...
9 Reactions
147 Replies
23K Views
Habari za usiku wakuu! Jamani juzi kati hapa kuna mtu alipost uzi fulani kuhusiana na tatizo la utekaji wa watoto baadhi ya maeneo ya dar es salaam. Leo almanusura tumpoteze mtoto wa ndugu yetu...
13 Reactions
69 Replies
3K Views
Ma dj waga waduazi sana wanajifanya mademu wazur wote wanaokuja clabu au bar ni spesho kwa ajili yao tu. Demu anakupanga fresh alafu badaye utamkuta yupo kwa dj pembeni kama kifaraga cha kuchi...
2 Reactions
9 Replies
576 Views
Hivi karibuni Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liliinua makadirio ya ongezeko la pato la taifa la China kwa mwaka wa 2024, kutoka asilimia 4.6 za awali hadi asilimia 5, hatua inayoonesha imani ya...
0 Reactions
0 Replies
235 Views
Makampuni mengi ya China yahamasika kufanya biashara ya umeme wa kijani Wakati dunia iko mbioni kupunguza hewa ya ukaa na hatimaye kukomesha kabisa utoaji wa hewa hii chafu, China ambayo ni...
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi...
34 Reactions
370 Replies
20K Views
"Tunatarajia sana matunda muhimu ya Mkutano wa 3 wa Kamati Kuu ya CPC, ambayo sio tu yana athari kwa maendeleo ya China, bali pia yatafaidisha Tanzania na nchi nyingine duniani." Haya yalisemwa na...
1 Reactions
1 Replies
318 Views
Moja ya jambo linalotisha kwenye maisha ni kufilisika, ulikuwa na mali zako kidogo zinakusogeza na zinakupatia chochote, una watu wamekuzunguka unawapa kazi na unawapatia chochote japo kidogo...
14 Reactions
50 Replies
3K Views
Habari za Harakati za kiuchumi. Napenda kuwashauri Wafanyakazi wenzangu ya kwamba mchawi wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe sio kipato kidogo. Mfano unajua kabisa kijana wa ambae hana ajira...
10 Reactions
40 Replies
3K Views
Katika zama hizi za kidijitali, inakuwaje mwanafunzi anakatazwa kumiliki na kutumia simu shuleni? Simu imebeba maarifa yote ya dunia, ambayo mwanafunzi anapaswa kujifunza na kuyafahamu, lkn...
1 Reactions
5 Replies
269 Views
Tunaajiriwa kwa sababu tunauza ujuzi au huduma kwenye shirika au taasisi husika. Ifikapo pale huduma isipohitajika, maana yake haitanunulika na kama ni bidhaa inayoharibika, itabidi kuacha ioze...
4 Reactions
35 Replies
721 Views
Dar es Salaam, 18 Julai, 2024 Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) iliona taarifa zilizosambaa kupitia mtandao wa Jamii Forums tarehe 17 Julai, 2024 kuwa, "Afisa anayejulikana kwa jina la...
1 Reactions
0 Replies
622 Views
Habari za Sabato Wakuu! Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa. Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo...
80 Reactions
468 Replies
31K Views
Ikitokea umekutana na mtu amabaye hamuelewani lugha kabisa iwe katika mambo ya kijamii, kazi, biashara au michezo na hakuna mkalimani huwa mnawasilianaje muelewane? Yaani kama unajua Kiswahili tu...
1 Reactions
3 Replies
164 Views
Ask your girlfriend to visit you, she will say 'she doesn't have money for transport' but if someone tells her that you are with another girl at the hotel. She can even hire a private jet to...
0 Reactions
4 Replies
454 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kwa mujibu wa hadithi ya Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 54 (Mwanzo wa Uumbaji) sura ya 3 maelezo ya mwenye kutafsiri kabla ya na. 421 uk.282. Nimeweka nukuu hapo chini...
1 Reactions
14 Replies
445 Views
Siku hizi napenda sana kutoa Maelekezo ili wale Matomaso ( Wasioamini ) Kwanza wakajiridhishe ndipo waje tena hapa. Naomba kila Mtu atafute Clip ya leo Rais alilpokuwa Mkoani Songwe pale ambapo RC...
2 Reactions
7 Replies
552 Views
Habari zenu, Nimeanzisha huu uzi ili kupata experience ya kutunza simu zetu zisiibiwe, kama umewahi kuibiwa unaweza kutuambia ilikuwaje!
7 Reactions
91 Replies
2K Views
Angalia hapa jinsi huyu Chawa alivyoomba kazi,
13 Reactions
26 Replies
945 Views
Ambao mjasafiri na mnataka kusafiri niwajulishe wenzetu kodi yao ni rafiki sana na inakwenda sawa sawa na utofauti wa vipato na hakuna mtu anaweza kulalamika. sio hapa tanzania bar ya mtaani...
1 Reactions
3 Replies
229 Views
Back
Top Bottom