Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Upo wakati ambao unaweza kuwa na mawazo mengi mazuri ya biashara mpaka ukasahau kutafuta ajira za kuajiriwa. Wakati mwingine unakua unawaza sasa kama nikitafuta ajira ni nani atakayeweza...
0 Reactions
53 Replies
3K Views
Kusaidia watu sometimes ni kitu kizuri hasa ndugu, na rafiki wa karibu, ila inakua ngumu sana kusaidia kila anayekuomba pesa,kitu au kukopesha kila anayekopa. Nimekua nakabiliwa na kuombwa pesa...
11 Reactions
69 Replies
2K Views
Mtaani pana hizi ndondo zinaendelea ziko chini ya halmshauri team za vijana wa mjini wanashindania ng'ombe sasa pale getini wanakiingilio sh. 500 kuingia uwanjani. Uwanja wanaochezea ni uwanja...
6 Reactions
52 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa!! Kero yangu ni jinsi mazingira ya vitongoji vinavyokizunguka chuo kikuu cha Mzumbe vilivyo vichafu, inakera kweli, unabaki kujiuliza ustaarabu wa mtanzania uko wapi?! Au hadi...
2 Reactions
9 Replies
616 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi Chuo cha VETA cha Mkoa wa Rukwa kilichopo katika Kijiji cha Kashai, Kata ya Momoka, Wilaya ya Sumbawanga...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
John D. Rockefeller was the wealthiest American of all time and was once among the richest men in the world. By age 25, he controlled one of the largest oil refineries in the US. By age 31, he had...
3 Reactions
1 Replies
298 Views
Ernest George (37), amepandishwa kizimbani na kusomewa shitaka la mauaji ya kukusudia ya dereva, Majuto Seif. George, ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assembly of God (T.A.G), maarufu...
7 Reactions
24 Replies
7K Views
Kwa mfano assume labda tungekuwaga tukifika umri wa kuanza kazi unachagua fani moja tu Unayotaka na fani zote mishahara yake ndo ileile tufanye hata million nne kwa mwezi na hakuna cha posho wala...
3 Reactions
21 Replies
568 Views
Kama mnavyojua binadamu huyuhuyu anayesumbuliwa na magonjwa chungu mzima yasiyoambukizwa na cancer ni kiumbe aliye busy sana anakimbizana na muda na maisha tofauti kabisa na kobe ambaye metabolism...
2 Reactions
12 Replies
454 Views
Nsikuchoshe na usinchoshe,Tusichoshane! Kwa namna Hali inavyoendelea Kuwa mbaya katika jamii hasa mambo wanayoyafanya hao mabinti wanaoitwa "wadada wa kazi" nimeona na Mimi angalau nikatoa...
4 Reactions
10 Replies
695 Views
Baada ya kutoa UPDATES za kuhusu kutelekezwa Wazazi wa KOMBO nje ofisi ya RPC Tanga bila ruhusa ya kumuona mtoto wao na msaada wowote Na baadae Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa CHADEMA...
5 Reactions
29 Replies
1K Views
Habari zenu?! Leo nilikwenda sehemu kumtembelea rafiki angu ambaye nilisoma nae primary, sasa nilivyofika pale kwao, ile kunikaribisha, nkakuta watu wanaongea kana kwamba kuna tukio la...
33 Reactions
193 Replies
10K Views
Kwa takriban mwezi mmoja, Serikali ya Rais William Ruto imekuwa ikiripotiwa kukabiliana na Waandamanaji Vijana wenye Umri Mdogo maarufu kama 'GEN Z' ambao wanashinikiza Serikali ifanye mabadiliko...
2 Reactions
7 Replies
926 Views
Juzi nimejaribu kujaza taarifa za wazazi ili waweze kupata bima ya afya lakini nilirudishwa kwa sababu zifuatazo: Majina ya mama anatumia majina ya baba baada ya kufunga Ndoa. Majina ya Baba...
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Matukio ya watu kutoweka katika mazingira yenye kutatanisha huku askari polisi wakihusishwa kuwashikilia yanaendelea kushika kasi nchini. Taarifa mpya zilizolifikia Mwananchi zinadai kuwa vijana...
1 Reactions
13 Replies
543 Views
Haya mabasi yamekuwa yakilalamikiwa kuwa kuna uhuni mwingi unafanyika kwa abiria. Unapoenda kukata ticket wanakukatia bus jipya kwa nauli kubwa. Ukija kupanda unakutana na ngarangara na...
5 Reactions
8 Replies
543 Views
JD Vance aliwahi kumwambia Trump kuwa ni Mpumbavu na Mwendawazimu asiyefaa kuwa Rais wa Marekani ila Wamarekani kwa kutuonyesha kuwa Siasa siyo Chuki na Uadui Wiki hii Mgombea wa Republican Donald...
2 Reactions
12 Replies
518 Views
Kila kukicha matukio ya kupotea kwa watoto, huku wakija kupatikana wakiwa hawana viungo vya sehemu za siri. Shule nyingi Mbagala watoto wameacha kwenda shule wakihofia usalama wao. Walimu...
3 Reactions
2 Replies
232 Views
Yaani katika watu ninaowachukia Tanzania hii ni Nyerere, ndiye aliingia madarakani na akakaa miaka 25 mwisho wa siku akawarithisha watanzania ujinga na umasikini yaani huyu mzee Mimi natamani...
7 Reactions
44 Replies
942 Views
Back
Top Bottom