“…watu wanauawa hovyo huko…waambieni wanasiasa kwamba vyeo havipatikani kwa kuua watu, kwa kunyofoa viungo…” – Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuguswa na wimbi la utekaji na mauaji ya watoto...
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu pamoja na madai kuwa mayahudi wamekuwa wakiua Mitume mara kwa mara, bado Qur'ani tukufu haijataja majina ya mitume hao.
Je ni manabii gani hao ambao Wayahudi...
Ifike mahali hiki kitu kikomeshwe mara moja.
Baadhi ya watumishi kwenye Taasisi za umma ni kero na hawana adabu hata kidogo.
Kuna baadhi ya Taasisi za umma ziko maeneo ya Mkoani au mjini kabisa...
Yaani basi tu, nimetafuta kazi sijapata, marafiki wamenikimbia, ndugu nao wapo kimya, hata nikiomba mtaji wananikatalia.
Nahisi kuchoka, nahisi kukata tamaa. Kuna muda nikilala natamani...
Wadau mimi nilifungua madai ya NSSF kijitonyama mnano the 1 June 2024, nikaambiwa nisubiri mwezi mmoja nitakuwa nimeingiziwa fedha baada ya ajira yangu kukoma mweI January 2024, sasa tunaelekea...
Awali tuliambiwa kupitia tangazo la DAWASA kuwa maji yanatarajiwa kukatika Jumanne ya Julai 16, 2024 lakini jamaa wakakata huduma siku moja kabla.
Tangu wakati huo (Julai 15, 2024) mpaka muda huu...
Tujadili hili la Wanaume kulala chumba kimoja na kitanda kimoja na uwezekano wa kupitiwa na shetani.
Hizi story zipo sana kitaa sema wengi huwa wanafichiana siri tu.
Wanaume kuishi na kulala...
Mkurugenzi mtendaji wa hospitali kuu ya taifa ya Muhimbili, Profesa Janabi ameelezea mbinu za kuepuka kuzeeka mapema ambapo ameelezea kama ifuatavyo;
1. Tembea hatua 10,000 kwa siku
2. Kula kwa...
Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Dar es Salaam, Kisutu, leo tarehe 19 Julai 2024, maombi yaliopelekwa na Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Michezo ya Young Africans (YANGA) kwa ajili ya kuongezewa...
Nianze na mfano huu, kuna mtu alikuwa ana umri wa miaka 40's, alikuwa na biashara bahati mbaya ikafa, kwa kupaniki akasema "hakika sasa nitaishi maisha ya shida na familia yangu, na ukiangalia...
DC Hassan Bomboko wananchi tungependa kupata mrejesho wa kampeni yako ya kuwafagia madada poa wote Jijini Dar umefikia wapi?
Ulianza kwa kasi sana kuwasaka hawa raia wenye uchu wa fedha kuzidi...
Chief anasema, wao ndio walinzi wa hii nchi. wanasema wao wanasali kwenye misitu. nimeamin wazungu walikua sahihi waliposema utamaduni wa kiafrica ni wa kishenzi.
Online Media (tv na radio) ni nyingi sana humu mitandaoni.
Watu wanapata taarifa mbalimbali kwa haraka kupitia vyombo hivi kuliko Redio na Television za kawaida. Instagram na YouTube ndio...
Nimeona taasusi mpya zilizotolewa na wizara ya elimu Tanzania. Naomba tusaidieni mawazo kama zinatekelezeka na zina tija kwa watoto wetu
1. Tuambieni waalimu wa lugha ya kiarabu, Kifaransa na...
Mtoto akifikisha miaka 18 huyo sio mtoto sababu kashakuwa huru wa kufanya maamuzi nini anataka kwenye ndoto yake.
kuna mada nyingi hapa jf nikiona wazazi wakiomba ushauri mtoto asome nini ?
kwa...
Nimerudi kazini umeme hamna,
Watoto wanasema mafundi wa TANESCO walikuja kufungua nyaya kwenye nyumba ya jirani (tunashea nguzo) kisha wakaziacha chini kama hivi kwenye picha.
Wakasepa zao ...
Kuna mambo mengi hutokea katika hivi viwanja vya mfumo wa kisiasa,kimsingi hua ni hitilafu/utata wa sheria au uvunjaji wa sheria unaofanya na moja watendaji wa kiserikali may be kwa kujua au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.