Kwa dunia ya sasa yafaa sana kurahisisha mambo hivyo kazi ya kufua nguo za familia inakula muda sana na kiukweli tuwe wakweli kufua nguo nyingi kunaumiza mikono sasa kinachonishangaza kwanini...
Tanzania ilikuwa na afadhali kwenye soko la ajira Kwa fani za afya na uwalimu Kwa miaka ya nyuma kabla ya magufuli kushika nchi ukilinganisha na nchi za Kenya na Nigeria wenzetu walishazoea hili...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) amewataka wananchi kutokubali kununua vocha kwa bei tofauti na iliyoandikwa kwenye vocha hizo ambayo zimeelekezwa...
Siku hizi kumekuwa na kasumba kwa baadhi ya maafisa biashara wa Halmashauri kwenda kwenye nyumba za kulaza wageni wakisema ni ukaguzi wa mchana. Hivi ikitokea mteja kaacha hata begi akatoka akiwa...
Pesa hakuna kabisa mitaani. Hakuna mzunguko kabisa. Wananchi wanataabika na maisha na maisha magumu. Wakandarasi hawajalipwa mabilioni ili kuwe na mzunguko wa fedha. Serikali imekaa kimya. Kama...
Sio siri amna kipindi nilifurahia kuwa mtanzania kama kipindi raisi Magufuli akiwa Rais wetu.
Kwa sasa sioni furaha kabisa na taifa langu. Sina Imani na viongozi wangu hata mmoja labda tu Makonda...
Wengi mtakuwa mkinijua kuhusu kuwaambia nchi za nje zilivyo sababu ndio makazi na safari zangu.
Ila kwa dunia ya leo kuendelea miaka ya nyuma kila kitu kilikuwa kwa nchi za afrika mijini...
Polisi kama huyu anaonyesha uwajibikaji wake kulinda amani na kusaidia pale jambo linapo wezekana.
kumsaidia kusomesha mtoto ni jambo zuri
https://www.youtube.com/watch?v=jyoBjJv64fs
Kimepigwa vita na watu binafsi, watawala na Serikali mbalimbali lakini limeshindikana kuifuta.
Kwa miaka mingi sana, kimeendelea kusomwa na kinaendelea kusomwa sehemu mbalimbali duniani.
Kukutwa...
Habari wanajamvi,
Maeneo mengi sasa nchini gharama za vocha za mitandao ya simu zimepanda bila kujali thamani halisi ya huduma unayoipata,inawezekanaje vocha ya Tsh1,000 kuuzwa 1,100 rejareja na...
Juzi kati hapo nimesaini boom, wakati narudi magetoni nikapishana na mama muuza mihogo akaniambia nikuwekee ya shingapi, Mimi nikamwambia Mimi sili mizizi Kwa Sasa. Leo mpunga umekata nimerudi Kwa...
Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani!!
Kuna Jamaa alikuwa katika Bus, yaani yeye kila stend anaagiza chakula mara mahindi, sambusa mara karanga za kuchemsha , mara chipsi
Alipofika...
Mimi ni mwalimu kwa miaka tisa. Kwa kiasi chake ninajua nje na ndani ya maisha ya mwalimu, siandiki hapa kumdhalilisha mwalimu bali kuonesha kwa watawala namna gani wamsaidie mwalimu aweze kufanya...
Ona Watoto wanavyohuawa huko Gaza na Jeshi la Israel eti wanashambulia Hamas.
Anayempa kiburi Israel ni Marekani anazidi kikumbatia kwa ujinga anaofanya lakini mbona Russia amewekewa vikwazo...
Kumekuwa na hali ya sintofahamu inayoendelea Kwa wakazi wa Kigamboni na Maeneo jirani ya kijichi, mbagala kuu na Mikwambe baada ya matukio ya kutekwa kwa watoto wadogo wa shule za msingi na...
Mchungaji Msigwa
Ukihitaji salamu subiri kwanza Utopolo wamkung'ute, Kolo 5 - 1 hiyo tarehe 8, tofauti na hapo utaula wa chuya!
Bado nashangazwa sana na Siasa anayoifanya mtu mzima Peter Msigwa...
Happy Saba Saba day,
Hapa nilipo kichwa kinawaka moto, yamejirudia yale yale ya miaka ya nyuma Kuna kabinti niligusa kama mwezi hivi umepita. Sasa Leo naona kaja hostel huku anadai kuwa mimba...
Taarifa nilizozipata Ngasere ya kwenda Tunduma imepata ajali leo asubuhi, Julai 15, 2024. Mto nyomizi huko mbozi mkoa wa songwe Kwa taarifa watu wamekufa kwa idadi sijui ila kuna jamaa alikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.