Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Husika na kichwa tajwa hapo juu. Nina ombi au ushauri wa kuongeza msisitizo Kwa watoa huduma (wauza juisi) za miwa watumie nailon maalumu (zinazovaliwa mikononi) ili kuepusha magonjwa yoyote...
0 Reactions
0 Replies
205 Views
Hizi mada zako hapa Mwigulu kila jambo puuzeni ina maana Tanzania tuna wazushi sana yani kwako umekuwa Mungu kujua kila kitu. Ukifikia hatua ya kusema kila jambo ni uzushi basi na mkono wa damu...
0 Reactions
0 Replies
265 Views
Kwanza Oujia ni nini? Huu ni ubao wenye alfabeti na ishara nyingine kadhaa ambazo kwa kuangalia tu zinakupa taswira ya kitu fulani kisicho cha kawaida. Taswira ya kitu kisicho cha kawaida hukujia...
9 Reactions
72 Replies
3K Views
watanzania baada yakuona logo ya NIDA wakaanza kukoment kama ifuatavyo, hapa ndio nimegundua mtaji wa CCM ni mkubwa sana nchi hii
42 Reactions
66 Replies
3K Views
BIMA YANGU YA AFYA BADO INABAINISHA UMRI WANGU WA KUZALIWA JAPO JINA LA MWANZO LIMEPOTOSHWA SPELLINGI. Katika Bima hii nilipotoshewa pia badala ya kuandika "DEOGRATIUS" ikaandikwa "DEOGRASIAS"...
12 Reactions
184 Replies
22K Views
NB; Picha hizo mbili ni za wazazi wangu, Baba na Mama za nyuma kidogo. Mimi Deo Kisandu, Nimekumbana na Maswali mengi juu ya kabila langu wengine wanasema Mimi Msambaa kwa kuwa niligombea ubunge...
20 Reactions
134 Replies
17K Views
Hii ndoto nimetoka kuiota hivi punde saa 10 hii ya usiku. Nimeota nipo masomoni sekondari. Baadhi ya watu niliota kuwa nao katika mazingira ya shule ni madogo tuliowahi kusoma nao mimi nikiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
DJ. DON NALIMISON: I WILL NOT MARRY ANY OBAMA'S DAUGHTERS BECAUSE THE TIME I WAS PLANNING IN 2016 BECOME TOO LATE TO A TIME BEING. In a year 2016 God showed me in vision to get marry with Sasha...
14 Reactions
42 Replies
3K Views
Jana (Julai 01' 2024) ndio siku rasmi Crown Fm wameanza kutangaza baada ya kumaliza majaribio, na leo ( Julai 02' 2024) wamerusha kipindi cha michezo. Kwa mtazamo wangu naona jina la Crown Fm na...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Ushawahi kujiuliza kwanini umeota askari anakukamata na kukuweka kituo? Kuna wengine wanaota ndoto za majoka na wanyama wengine. Basi nikwambie tu,ndoto ni fahamu zako na ikiwa huzitambui fahamu...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Taarifa kwa Umma Kumekuwa na taarifa ya akaunti ya kiongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inayosambaa mitandaoni ikionyesha miamala iliyofanywa kwenye akaunti yake ya benki...
10 Reactions
66 Replies
6K Views
Habari zenu ndugu zangu Yaani ukistaajabu ya musa utayaona ya filauni mzee alikuwa na watoto wanne alinunua nyumba 3 lakini hii ya mwisho hakutoa taarifa kwa vijana wake. Akapangisha hakukaa...
20 Reactions
46 Replies
2K Views
Wasalaam ndugu zangu waswahili, Leo nina hoja nzito saana upande wangu naomba tupeane ushauri mzuri tafwadhali... uki comment kebehi utalaaniwa immediately. Ni hivi kwanza nini siri ya...
2 Reactions
32 Replies
876 Views
Kanisa likikuwa moja hapo awali, ilikuwaje tukapata mgawanyiko.? Mfano:Pentekoste, Orthodox na roman catholic, wasabato, nk. Mwenye uelewa atujuze.
3 Reactions
17 Replies
625 Views
Ukifuatilia Takwimu, utasikia TRA wanadai idadi ya walipa kodi nchi hii ni ndogo sana licha ya nguvu nyingi zinazotumika ikiwemo masuala ya TaskForce, kuhakikisha watu wanadai receipts na matumizi...
3 Reactions
6 Replies
291 Views
Wakuu, kama umemaliza chuo karibu hapa, tupeane updates na namna ya kuanza maisha mapya mtaani.
6 Reactions
13 Replies
363 Views
Wana jamvi msaada wa mawazo. Kuna sehemu nilidai pesa yangu zaidi ya miezi 6, hatimae leo wamenilipa. Naomba ushauri niifanyie uwekezaji au/ biashara gani ambayo itazalisha na kuongeza thamani ya...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
uhuru dar24.comJul 21, 2024 5:14 AM Shirika la Umeme Tanzania – TANESCO, Mkoa wa Pwani limefanikiwa kufikisha Umeme katika kisiwa cha Chole kilichopo Wilayani Mafia, ambacho hakijawai kuwekwa...
1 Reactions
2 Replies
373 Views
Anonymous (e74a)
Mimi ni Mkazi wa Mbutu Kigamboni kwa namba ya Wanambutu. Changamoto ya Mbutu ni Barabara ya kutoka Dege kwenda Mkwajuni mpaka kwenye Machimbo ya Vifusi. Kwanza naomba niwafahamishe yafuatayo...
1 Reactions
4 Replies
436 Views
Nikiwa katika pitapita zangu za kusafiri mwishoni mwa mwaka huu wa 2023 nikajikuta mikoa ya kaskazini, nikatua Stendi kuu ya mabasi ya mikoani pale Moshi mjini na hapo nikakutana na mambo ya...
32 Reactions
69 Replies
6K Views
Back
Top Bottom