Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI imeendelea kutoa mafunzo ya masuala ya kijamii na Mazingira kwa watumishi wa Halmashauri Tanzania, zinazotekeleza awamu ya mbalimbali za...
1 Reactions
1 Replies
606 Views
1. Wanajali zana pesa kuliko kumtumikia Mungu. 2. Wanaamini Yesu sio Mungu. 3. WANA MADHABAHU ZAO, hata maombi wanaomba kwa madhabahu ya mtumishi huo, sio kwa Jina la Yesu, wanaamini madhabahu...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Leo ni siku maalumu kabisa kwa watu warefu duniani kote almaarufu Matolu au Ngongoti. Kwa unyenyekevu mkubwa tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa fursa kubwa ya...
3 Reactions
9 Replies
467 Views
Jeshi la Polisi Tanzania Nchini limesema kuwa Kila mwaka huadhimisha Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani huku likipiga marufuku kwa mtu yoyote kupokea ama kutoa fedha taslim wakati wa Ukaguzi wa...
1 Reactions
3 Replies
713 Views
Vilio na Simanzi vimetawala wakati wa ibada ya kumuaga Mwanafunzi ambaye amehitimu katika Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) mkoani Morogoro, Magreth Mashuwe aliyeuawa na watu wasiojulikana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa wale mlio wahenga mtajua hadithi ya pwagu na pwaguzi walikuwa kama mapacha.
1 Reactions
4 Replies
425 Views
Sio mtu wa Imani sana ila nikiwa low napenda kusikiliza gospel songs Kuna namna Zina nilift juu napata afueni ya magumu nayopitia kihisia. Kuna huu wimbo wa Bony Mwaitege-Soma ni wa muda ila...
2 Reactions
9 Replies
596 Views
Habari mdau, fikiri kuhusu hili... Mungu alikasirika walipo jenga mnara wa Babeli, kwa lengo la kufikia mbinguni. Jiulize, je kwa sasa hana tatizo na international space station? Kama...
4 Reactions
81 Replies
1K Views
Sasa hii imekaaje kuchukulia udhaifu wao kuwakanyaga?
1 Reactions
9 Replies
335 Views
Zamani za ujana wetu wakati unafukuzia binti, mkipanga sehemu ya kuonana lazima aje na mtoto au rafiki yake! Ndo kusema mlikuwa nnaogopa nini kuja peke yenu!!
2 Reactions
5 Replies
294 Views
Madabiliko Madogo ya baraza la Maziri Limeibua hisia tofauti katika mijadala ya mitandao ya kijamii,tenguzi hizi zimefuatia siku chache baada ya Waziri wa habari, Mawasiliano na teknolojia kutamka...
1 Reactions
1 Replies
112 Views
Kwa mujibu wa sayansi, hewa au oxygen inatokana na mimea, lakini kiuhalisia tunaona hewa au upepo mwingi unakuja kutokea baharini na baharini hakuna mimea. Pia maeneo ya majangwani hakuna mimea...
8 Reactions
176 Replies
3K Views
Hata ukamwagia mafuta ya petroli na kupiga kiberiti, mafuta yataungua ila maji yatabaki kama yakivyo. Whats the mechanism behind this fire resistance?
10 Reactions
88 Replies
2K Views
Wengi tulikuwa worried kuwa kwa mwendo huu wa machawa wa CCM, Twitter (X) itafungiwa. Hasa walimhusisha sana Nape kuwa ndiye mwenye kiherehere cha kuifungia kumfurahisha Rais. Kuna chawa...
0 Reactions
1 Replies
172 Views
Kuna changamoto ambazo hatuzielewi sisi kama wananchi kuhusu ukusanyaji wa Kodi ya jengo kupitia "Luku", na Mimi naomba kupata ufafanuzi Kwa msaada pia wa wananchi wengine, yaani mimi nimekuwa...
0 Reactions
1 Replies
455 Views
Anonymous (d057)
Nimejaribu kununua umeme Leo wa TSH 5000 naambiwa nadaiwa deni kubwa kuzidi hiyo pesa siwezi pewa tokeni Na mwezi uliopita nimenunua wamekata pesa yao ya jengo 1500. Nimepiga huduma kwa wateja...
0 Reactions
11 Replies
679 Views
Inauma, inasikitisha, inakera, Inaumiza, inasononesha na Inatia hasira, Serikali ya CCM ilivyo na mapuuza kwa raia wake. Wameongeza Tozo kwenye LUKU kutoka 1500 kwenda 2000 kimyakimya bila...
1 Reactions
6 Replies
289 Views
Nimepokea kwa masikitiko Makubwa sana taarifa za Kifo cha Huyu Rafiki yangu na mwana JF mwenzetu. Dunia tunapitia ama kweli😭😭😭
8 Reactions
147 Replies
23K Views
Ikiwa Mkubwa kasema ni Drama unadhani mjadala huu utawezekana?
1 Reactions
4 Replies
246 Views
Wameahidi tar 1 watakuja kunifungia kama sitakata leseni ya biashara ambayo gharama yake ni 80 Na mm kwa sasa sina mpango was kukata leseni sababu sina huo uwezo kwa sasa kazi yangu ndo kama...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Back
Top Bottom