Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
LANGO LA KUZIMU SALENDA BRIDGE Udhibiti juu ya utajiri, majini, uhai na kifo Hii ni uhalisia na sio story na uwe unafanya uchunguzi maana si kila kitu cha kubisha. Ukiwa ujui kitu kuna watu...
5 Reactions
48 Replies
4K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amewaonya wanafunzi walioko shuleni, vyuoni na taasisi nyingine za elimu kuacha na kutojihusisha na matumizi ya dawa za kulevya, kwani...
0 Reactions
1 Replies
479 Views
Wadau hamjamboni nyote? Simba inatisha 🚨 𝗙𝗨𝗟𝗟-𝗧𝗜𝗠𝗘 Mechi ya kirafiki ya dakika (120) ilihokuwa na vipindi (3) imekamilika huko Misri 🇪🇬 Full — Simba 3 - 0 El Qanah ⚽⚽ Jean Charles Ohoua. ⚽...
9 Reactions
22 Replies
1K Views
Je, wewe una alama herufi"M kiganjani? Ni asilimia 1% tu ya watu duniani walio nayo alama hiyo! Hapa ndipo unapohitaji kujua sasa maana ya alama hiyo! Tiba za kiganjani au alama za kiganjani...
14 Reactions
157 Replies
33K Views
Habari za Wakati Huu; Kwanza Kabisa niseme tu kwamba Hii habari/hali ya kusikia na kuona sura na majina yaleyale katika nafasi za UTEUZI nafikiri inachangia PIA katika kudororesha Utendaji...
1 Reactions
1 Replies
273 Views
WAKATI vita ya Israel na Hamas inaendela, Waislamu wa HAMAS wakishajihishwa na Iran pamoja kundi la HEZBULAH lenye ufadhili wa Matajiri wanaoshinda CAsiino za Quatar ndio makundi yenye shughuli...
8 Reactions
97 Replies
5K Views
Shalom, Nape Nnauye na January Makamba wametolewa kwa visa vya wazanzibar kutaka kujiwekea mizizi ya vita ya kutawala Tanganyika na kuiba na kupora rasilimali na mali za Tanganyika. Watanganyika...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa heshima na taadhima. Nakuomba Rais wetu tuwezeshe sisi ambao tunapigania fursa za biashara za nje ya nchi tuweze kupata huduma ya PayPal nchini. Ninaandika kwa uchungu sababu nchini fursa ni...
39 Reactions
247 Replies
16K Views
habarini wana jamvi? (Hili swali haliwahusu walimu wa kike wenye chura) Sasa hivi Harrier zipo kama nchungu barabarani, Utaziona benki, utaziona hospital ofisi za serekeli, ila mbna sijaona...
7 Reactions
91 Replies
6K Views
Wadau mwenye uelewa wa sheria za nactvet. Hivi ni lazima kwa wanafunzi wa certificate na diploma kulipa ada ya mahafali ndio wafanye mitihani. Baadhi ya wanafunzi wamezuiliwa kufanya mitihani yao...
2 Reactions
4 Replies
346 Views
Wakuu nilikuwa naomba kujua kiundani juu ya kozi hii ya electrical and biomedical engineering. Je, unaposoma cozi hiyo utajishughulisha na ufundi wa vifaa vya tiba au na umeme kwa ujumla. Ahsanteni
2 Reactions
1 Replies
583 Views
Nafahamu kuwa JamiiForums ina watu wengi wengine ndani ya taasisi za dini. Baada ya kuona mtifuano kati ya mashekhe mikoani wakigombea hiyo nafasi ikidaiwa kwamba ina maslahi ya kidunia (pesa)...
6 Reactions
112 Replies
8K Views
  • Closed
Kuna jambo moja Hatari lilikuwa limepangwa dhid ya Rais Samia nikatoa angalizo, Ila baadae mliona ana msafara wa magari 120 na ulinzi mkali; ni pale ambapo walipanga kumfanyia mafia Naona ameamua...
21 Reactions
16 Replies
2K Views
1. Tofauti na ilivyozoeleka Kwa wasomi nchini ambao huchambua Kwa sisi Ngumbaru tusioelewa kuhusu Jambo la kitaifa. 2. Ila Kwa makusudi ndugu hawa wanaojiita wasomi wenye ma-PhD wameamua...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari za Majukumu wapendwa! Ninafarijika kuona Watanzania wanaoipenda nchi yao bado wapo na wanaendelea kuwapo, hawajali hcama wala kabila au dini! Nimepokea zaidi ya PM za siri ambazo sitakuja...
8 Reactions
14 Replies
1K Views
Nilipanda bolt, akaniomba sana akate request nusu ya safari. Nilimdanganya kuwa nahitaji risiti kwa ajiri ya ofisi kisha nika muuliza kwanini anataka tucancel request hio. Dereva huyo alilalamika...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Ninataka kukopa pesa hii Agosti. Nilijaza fomu PEPMIS ku submit tu. Vipi nikisubmit inachukua mda gani kupata pesa? Kuna mchakato mwingine nitapaswa kufanya kwa upande wangu au nitakuwa...
1 Reactions
6 Replies
695 Views
Habari wakuu Nimekua nikifatilia maoni kadhaa ya baadhi ya watu kuhusu Makanisa yanayotenda miujiza ikidaiwa Mara wametumwa waseme kuponywa Mara vile Yani maneno mengi tu. Msingi wa swali langu...
1 Reactions
9 Replies
296 Views
Baadhi ya Wazazi na Walezi wenye Watoto katika Shule Msingi Mburahati wamefika shuleni hapo mchana wa leo Julai 22, 2024 kwa lengo la kuwafuata Watoto wao kutokana na hofu iliyotanda ikidaiwa kuna...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Leo ni siku ya watu wafupi a.k.a mbilikimo au vijeba au gas cylinder. Mtagi member yoyote wa jf unayehisi ni gas cylinder ili aje kusherehekea na tumpongeze katika siku yake hii maalum.
16 Reactions
192 Replies
3K Views
Back
Top Bottom