Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Prof. Mkumbo Kufuatia hali ya sintofahamu iliyoripotiwa kutokea eneo la shule ya msingi iliyopo Mburahati Kata ya Mkurumla iliyopo Wilaya ya Ubungo kwa wazazi na walezi kukusanyika kwenye eneo la...
1 Reactions
4 Replies
354 Views
Shirika la habari la Saudi Arabia Al-Hadath news Channel linaripoti mashambulizi ya anga kutoka Israel dhidi ya Houthis kwenye bandari yao ya Hodeidah operation outstretched Arm. Iran ambayo...
1 Reactions
6 Replies
431 Views
Habari ya kazi wakuu!! Naomba kwenda moja kwa moja kwenye hoja. Hili nimekaa nalo sana tangu tarehe moja hadi leo na kila siku linaniumiza, nikikaa na wafanyakazi wenzangu naona wanahoja tofauti...
0 Reactions
33 Replies
1K Views
https://youtu.be/4ab32JBk1rA?si=fmfmoE2Sq2DCVVO5 Huyu Pastor ni pacha wa Mtumishi wa Mungu Apostle Boniface Mwamposa wa Kawe Jijini Dar es salaam Tanzania. Hawa ndio watumishi wa Mungu wenye...
0 Reactions
9 Replies
649 Views
Wakuu, usiku wa kuamkia Leo, nimeibiwa Ng'ombe 10 kwenye shamba langu hapa Kisiju. Wameacha ndama 2. Waswahili wameona naenda kupiga hela Krismasi wakaona waniwahi. Asee epuka kukaa na waswahili...
30 Reactions
93 Replies
7K Views
Habarini waungwana.... Huwa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya mabinti warembo/pisi kali na vijana mabarobaro/mabishoo kuwa uwezo mdogo kichwani? Sina nia ya kuwasemea vibaya, lakini hata...
10 Reactions
47 Replies
1K Views
Nnakubali mfumo wenu umekuwa mkombozi sana kwetu wafanyabiashara imepunguza msongamano kwenye halmashauri ila kuna mapungufu myafanyie kazi maana mimi nna miezi 2 nnafanya kazi bila leseni. Sio...
3 Reactions
14 Replies
799 Views
Jamani naomba tusaidiane content creators wa kike asilimia kubwa ni kujadili mahusiano na ngono ni wachache sana wanaotoa maudhui tofauti. Maana kama vijana kuna mambo kibao ya kuongelea ila...
2 Reactions
11 Replies
391 Views
Kuna mtu fulani ni fundi ujenzi anaamini sana katika uchawi ukimpa mchongo wa kazi lazma apande basi akaroge ili amteke boss safari hii wamempiga hadi chale za usoni 😃 ili awe na mvuto...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Unaweza kukuta kelele ni nyingi mno za kuikataa mitandao kumbe ni tatizo binafsi Wakati Ule alisingiziwa Shujaa Magufuli lakini sasa Waziri kachomoa betri mubashara 😂 Baadae Mlale Unono 😀
4 Reactions
13 Replies
519 Views
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai Hospitali ya Rufaa ya Iringa inalipisha Huduma ya Vyoo, Afisa Habari wa Taasisi hiyo, Zainab Mlimbila amesema wana Huduma ya Vyoo kwa ajili ya Wagonjwa...
0 Reactions
14 Replies
703 Views
Hivi ndivyo nilivyosikia . Hao watu laki moja ni kina nani kama ni kweli ?
3 Reactions
23 Replies
552 Views
26.04.1964 Tanganyika na Zanzibar ziliungana na kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ijumaa 26.04.2024,tutaazimisha miaka 60 ya Muungano huu! Leo hapa Jijini Dodoma,kuna tamasha lakuombea...
1 Reactions
13 Replies
655 Views
Wadau hamjamboni nyote? Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus...
11 Reactions
53 Replies
2K Views
Bada ya kuwaondoa January na Nape kwenye baraza lake la mawaziri, Rais Samia anaweza kufanya mabadiliko zaidi katika serikali na chama tawala kabla ya uchaguzi ujao. Makamu Mwenyekiti wa CCM...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Wananchi wa Kata ya Kakola, Halmashauri ya Msalala, wilayani Kahama, wamelalamikia ongezeko la wimbi la vibaka wanaovamia ndani ya nyumba wakiwa uchi na wakiwa wamejipaka mafuta mwili mzima kwa...
10 Reactions
19 Replies
1K Views
Historia fupi juu ya Sakata la Kifo cha Bilionea Msuya, Kuuawa kwa Dada yake, Kukamatwa kwa Mke wake hadi Kuachiwa kwake Agosti 7, 2013 Saa 7 Mchana ya Jumatano, taarifa mbaya za mauaji zinaanza...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Mitandao ya simu inavuka mipaka sasa. Suala la internet tunayonunua haiwezekani tupangiwe MB za whatsap na za internet ya kawaida pindi tunaponunua bando. Kwanini kama umenunua GB2 za internet...
4 Reactions
2 Replies
200 Views
Nimeambiwa ni mti wa asili unaofaa kwa kivuli. Sikukumbuki kama nimeshauona ulio mkubwa. Kama kuna mtu mwenye picha ya mti mkubwa wa Mkungu naomba aiweke hapa, na ya mti wa Mdodoma pia. Ninataka...
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Jery Slaa ni miongoni mwa Mawaziri walio fanya kazi kubwa ya kuwatetea wanyonge walio dhulumiwa haki zao za umiliki wa ardhi/viwanja/nyumba na matajiri wenye mipesa...
5 Reactions
19 Replies
777 Views
Back
Top Bottom