Habari wana TANZANIA TUITAKAYO.
Utangulizi.
Ninayofuraha kupata wasaa huu kuandaa andiko langu linalohusiana na mazingira.
Neno mazingira limefafanuliwa katika mawanda mapana lakini ngoja...
Utekaji ni kitendo cha uwezo mkubwa maana kinatumika na silahaa za moto ili kukabiliana na endapo kutatokea ubishani kati ya muhusika au wananchi kwenye tukio.
Ila cha kushangaza watekaji waliopo...
MBUNGE NANCY NYALUSI ASISITIZA WAZAZI KUONGEZA UMAKINI WA MALEZI YA WATOTO WAO
"Tunalala nao, tunakula nao, tunaenda nao shambani; sasa hivi kuna baadhi ya watu roho ya utu hawana tena. Mtu...
Mimi nikiri tu meno yangu yalioza kipindi nikiwa na miaka 12 na no kwasababu nilitafuna sana pipi kidonge japo mpaka sasa natafunia pande zote na sijatoa jino hats moja japo niliendaga hospital...
Wakati mnaanzisha combination zenu zisizoeleweka, tuliwauliza mmejiandaa? Mlipounda tahsusi kama vile Arabic, Music & Sports (ArMS) tuliwauliza serikali imeandaa walimu wa Arabic, walimu wa Music...
Imekuwa ni kawaida kabisa uwajibikaji Umekuwa ukifanyika vizuri zaidi pale kitu kinapotokea.
Na mara nyingine taratibu mbali mbali zinaanzishwa ili kuhakikisha tatizo halijirudii tena.
Lakini...
Nguza Viking na wanae
Mahakama hii imetoa hukumu leo hii ambapo Nguza na mwanae wamepewa siku 30 kuwasilisha maombi ya kutaka walipwe fidia na serikali iwapo watataka kufanya hivyo baada ya...
Waganga wa tiba asili wakiongea na viongozi wa serikali leo mjini Sumbawanga wamesema kuwa wachungaji na manabii wa makanisa mengi ni matapeli.
Katika mkutano ulliowakutanisha viongozi wa...
Mke: Unaenda wapi?
Mume: Tazama mchezo kwenye baa.
Mke: Kwa nini usitazame pamoja nami?
Mume: Nataka kutazama na marafiki zangu.
Mke: Kwa hivyo sina chochote kwako?
Mume: SAWA SAWA. Ninakaa...
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) ilitoa fursa kwa wahitimu wa kidato cha nne wa mwaka 2023 kubadilisha machaguo yao ya masomo wanayotarajia kusoma wanapoendelea na...
Kuna kipindi kulitokea janga la uchunaji wa ngozi za binadamu.
Likaja janga la kutolewa viungo vya mwili kwa ndungu zetu wenye albinism.
Sasa ni kuna taharuki kuhusu uibaji wa watoto. Ingawa...
Kwa kweli hawa jamaa in just short time unapata meseji ya "umetumia 75% ya bundle lako."
Tsh 2500 au Tsh 3000 ndio options za bundle za wiki jumuishi ya data na dakika.
Tsh 3000 unapata gb 1.4...
Nimekata tiketi ya bus ( Classic coach) siku tatu kabla ya safari kutoka Moro kwenda Mbeya. Tiketi inasema safari ni saa 12 asubuhi ila muda wa kuwasiri ni saa 11:30 asubuhi. Nimewasiri saa 11: 30...
Eheeee.
Habari nmeamua tu kukudokeza Uumbaji wa Mungu ni waajabu sana Mungu ametupa joto ambalo huwa linapungua na kuongezeka kulingana na mahali na vitu tunavyofanya. Shetani katika kutimiza...
The borders are are porous all over na ndo mana vitu fake vimejaa mtaani.
Inaeleweka wazi kazi ya jeshi ni kulinda mipaka lakini tanzani mipaka iko wazi sana. Ni ama kuna rushwa au jeshi...
Sijawahi kuipenda CCM tangu uchaguzi wa kwanza wa mfumo wa vyama vingi wa mwaka 1995 kipindi hicho nakumbuka nilikuwa darasa la tano.
Lakini nilikuwa navutiwa na utendaji wa baadhi ya viongozi wa...
1. Waziri
2. IGP
3. DG wa Teeth
4. Sa100 mwenyewe
5......n.k
hivi kweli wameshindwa kukamata mzizi wa hiki kitu hadi wananchi wachukue sheria mkononi? samia ameona yule mzanzibari mwenzie mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.