In 2015 I was invited by a group of final year students, then due to graduate from institutions of higher learning from the Dodoma area, to address them on their future prospects. Among other...
1. Wana mikia mifupi
2. Wana mlio kama wa Mluzi
3. Wamewala Panya wote wa Kitanzania wenye mikia mirefu
4. Hawategeki kwa Sumu yoyote na hata Ukiwakimbiza hawakuogopi na wanaondoka kwa mwendo...
Kwa hiyo Latra wanataka wasemaje? Aliyewaelewa atufafanulie.
Swali:
Serikali inasubiria nini Kuwekeza kwenye usafiri wa Treni Mjini ikiwa abiria wapo wa kutosha miaka 10 Sasa?
========
Dar es...
Habari Wana jamvi?
Naomba kutoa mawazo yangu kuwa Kuna jambo haliko sawa jijini Mwanza hususani swala la miundombinu. Jijini Mwanza hakuna miundombinu au barabara za kiwango cha jiji Kama ilivyo...
Waafrika wanasoma vitabu, lakini Wazungu wana wasomaji wengi zaidi kuzidi Waafrika.
Kwa Wazungu, usomaji wa vitabu ni kama sehemu ya maisha ya wengi wao.
Unajua ni kwa nini? Naamini ni kwa...
Huko Afghanstan, mtoto wa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo kashakuwa Waziri kamili baada ya kutumikua Unaibu Waziri miaka mingi.
Nawakumbusha tu, kwa siasa za Afghanstan huyu anaweza kuja kuwa Rais wa...
Akizungumza jijini Arusha Waziri wa Nchi, ofisi ya Rais- Uwekezaji na Mipango Prof. Kitila Mkumbo amesema kuwa Wanawake wanaishi umri mkubwa wa zaidi ya miaka 68 ikilinganishwa na Wanaume...
Moja kwa moja kwenye mada ni wapi kuna machimbo ya jenga UZA...yeyote anaefahamu anakaribishwa kuchangia ili vijana wakachangamkie fursa maana ni muhimu sana kwa vijana wanaojitafuta bado ili...
Wadau hamjamboni nyote?
Sabato njema wapendwa
Leo nimesali Kanisa la Wasabato salasala
Kuna ratiba ya ubatizo muda huu ila hali imekuwa tofauti kabisa na tulivyozoea kuwa wabatizwa wakila kiapo...
Naomba nieleweshwe kabisa maana leo wakati nipo na washikaji tunapiga story nikaambiwa na hawa watu wakristo ya kwamba hata kama mtu amefanya mabaya sana kama vile amefanya mauaji kama yale ya...
Hivi karibuni meli maarufu sana ya jeshi la wanamaji la China “Peace Ark” ambayo kwa Kichina inajulikana kama ‘Heping Fangzhou’ ilitia nanga katika bandari ya Dar es Salaam, ikiwa tayari kutoa...
Habari za muda huu wanajamii...
Natumaini humu kuna watu mbalimbali wenye uzoefu katika masuala ya biashara na pia kuna waajiriwa wa serikalini na sekta binafsi au vyote kwa pamoja(waajiriwa ila...
Kwangu Mimi GENTAMYCINE ninachojua mazuri yote hasa ya Kimiundombinu yanayotokea sasa yametokana na Hayati Magufuli na bado sijaona hata moja ambalo aliyeko sasa anaweza kusema Yeye ndiyo...
Salaam, Shalom!
Leo ni jumapili njema sana, hatimaye tumeungana tena na mpendwa wetu ndugu Philip Mpango.
Ametupa ujumbe wa Leo Kutoka kitabu cha (Zaburi 118:17) usemao:
SITAKUFA,BALI NITAISHI...
Salaam wakuu,
Kuna video nimekutana nayo ikimuonesha Mwenyekiti wa Kijiji cha Kwa Zoka, Vigwaza akielezea tukio la utekaji lililotokea Mlandizi.
Mwenyekiti huyo amesikika akimpa maelekezo...
Abraham Lincoln-democracy is a government of the people, for the people by the people.
Ludovick Uttoh- maoni yake kusema kuwa kila kitu kinafanywa na mtu mmoja serikalini. (Sijakopi kama ilivyo)...
Kwa muda mrefu sasa huyu mwanamuziki kila nikikutana na nyimbo yake analalamikia mapenzi tu, sana hasa yanayohusu upande mmoja tu wa mke au mwanamke.
Sina uhakika kuna nyimbo nyingine alizoimba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.