Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
https://www.youtube.com/watch?v=7xmj6NSToGE Kutokana na kuwapo idadi kubwa ya madaktari vijiweni, Serikali imesema ipo katika mchakato wa ufumbuzi wa tatizo hilo, ikigusia kuwa itaanza kudhibiti...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kumekuwa na huu mtindo wa magari ya polisi au breakdown kuziba service road asubuhi kwenye barabara ya bagamoyo ili wale wanaochepuka warudi kuunga na foleni kama wengine. Ni kwamba wamekosa...
0 Reactions
1 Replies
510 Views
Habari zenu ninyi nyote. Hivi mfano umemuuliza Mungu swali au umemuomba kitu, utajuaje kuwa amekubali, amekataa au amekuambia subiri? Utatumia njia gani kujua? Ya ndoto, maono au? Pia, hiyo...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Kwakweli nachukia sana matangazo ya kitapeli yanayoendelea kwenye mitandao na haswa mtandao wa Facebook. Wapo wanaojifanya ni waganga wa jadi. Masheikh wa visomo na hutengeneza video za matangazo...
1 Reactions
3 Replies
224 Views
Kufuatia uwepo wa malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi ambao hasa wanapakana na maeneo ambapo inapita Reli ya SGR kudai uwepo wa umbali katika Vivuko vya kuvukia baina ya kimoja na kingine...
0 Reactions
7 Replies
654 Views
Nimekuwa nikijiuliza Kuwa Viongozi wote walioteuliwa wana furaha kweli au Ndio huogopa hata kucheka. Mbona kama wanaishi maisha ya hofu sana Jamani maana kama mkeka ukisoma Jina halipo hiyo nayo...
1 Reactions
1 Replies
178 Views
Maana ya msemo "riziki ya mbwa ipo miguuni pake"
2 Reactions
8 Replies
242 Views
Kama utapata muda wa kupitia bandiko hili toa miwani yako ili usome kwa kutumia macho yako. Nimeona kuna watu wameanza kutupwa mtoni potelea mbali kama mbwai iwe mbwai. Kibaya zaidi naona ugomvi...
10 Reactions
18 Replies
935 Views
29 July 2024 Mahakama ya Rufaa Tanzania Dar es Salaam, Tanzania Kesi ya Onesmo Olengurumo dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=M89ro2AWtds Mahakama ya Rufaa...
3 Reactions
4 Replies
838 Views
Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele. Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na...
1 Reactions
1 Replies
643 Views
Habari zenu? Naomba kujua ni namba gani ni naweza kupiga ili niongee na customer care wa Vodacom. Namba hii +255754700000 na namba 100 hazileti option ya kuongea na mhudumu asubuhi hii. Mwisho...
6 Reactions
22 Replies
789 Views
Wanaume hatujaumbwa hivyo. Mwili wa binadamu umetengenezwa kitaalamu Sana. Kila kitu kinakuwa controlled au regulated na Ubongo Ubongo ndo kila kitu. Kwenye ubongo kukiwa na matatizo, madhara...
14 Reactions
39 Replies
1K Views
BENKI ya Biashara Tanzania (TCB) imezindua huduma ya Popote Akaunti inayomuwezesha mteja kufungua akaunti na kupata huduma za kibenki kidijiti pamoja na kufanya malipo mbalimbali ikiwemo kulipia...
1 Reactions
0 Replies
206 Views
The traffic has progressively worsened in DSM over the past year, with indiscriminate construction work, and zero regard for the public. Construction takes forever to finish, imagine a significant...
2 Reactions
4 Replies
230 Views
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Chuo Ufundi cha Arusha Kampasi ya Kikuletwa iliyopo wilayani Hai Mkoani Kilimanjaro kitakachokuwa Kituo cha Umahiri...
0 Reactions
0 Replies
297 Views
Kila zama na kitabu chake, hakuna lenye mwanzo lisilo mwisho. Hakika, kwa alama zote, ni suala la muda tu ufalme wa Haji Manara utafikia tamati, narudia, ni suala la muda tu. Baada ya Ally Kamwe...
4 Reactions
3 Replies
458 Views
Wakuu habari, nina swali kwa mwenye ufahamu, hiv mfano ile apartment ya Palm Village, inawezekana mtu kuamua kununua ile room complitety ikawa yako jumla? Maana nina ndoto hizo soon Na vipi...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Alitoka mkoani moja kwa moja akashukia Mbezi stendi ya Magufuli. Toka stendi akopokelewa na dogo akaletwa home Kinyerezi kupitia Malamba mawili. Kwa akili yake akidhani Mbezi ndio city center...
28 Reactions
81 Replies
3K Views
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Mzee Ramadhani Nyamka anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara kuanzia Mwaka 1983 hadi 1992...
15 Reactions
62 Replies
3K Views
Naiomba Serikali ije na Sheria Kali ambayo itakataza Waumini wa Kilokole ( hasa hawa ambao wanawaabudu ) hawa Mitume Majuha, Waongo na Matapeli kwenda Kusali huko kuanzia Asubuhi hadi Usiku huku...
5 Reactions
24 Replies
802 Views
Back
Top Bottom