Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Sijaja kwa kebehi wala maudhi ila nahitaji upembuzi juu ya hili la mito ya pombe mbinguni, Quran 47:15 - Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa...
11 Reactions
124 Replies
6K Views
Anonymous (0fa5)
Katika Sheria za Benki Kuu ya Tanzania ambaye ndie Regulator wa Microfinance zote na kwa ufahamu wangu mpaka wafanyabiashara wanaokopesha vifaa vya kielekroniki kama simu janja, kompyuta mpakato...
1 Reactions
1 Replies
187 Views
Wakulima wa miwa katika Bonde la Mto Kilombero mkoani Morogoro wamempongeza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa uamuzi wake wa kubadilisha sheria ya sukari mwaka 2024 kwamba itawaletea manufaa...
2 Reactions
3 Replies
438 Views
Anonymous (6146)
Huku kwetu Pugu - Kinyamwezi tuna changamoto ya kikundi cha Watu ambao wamekuwa wakifanya matukio ya utapeli wa ardhi kwa muda mrefu, hawaogopi Serikali wala Vyombo vya Usalama. Wamekuwa...
2 Reactions
6 Replies
625 Views
Walilala kwa amani kabisa. Kukiwa hakuna shida yoyote.. Wakajua wakiamka wataendelea na mishe zao za maisha ya kila siku mpaka pale watakapokufa. Kwa vile wanajua wazi upendeleo uliopo kwenye...
23 Reactions
44 Replies
2K Views
Mimi ni mmoja wa Waandishi wa Habari wa hapa Mwanza, kero yangu ni kuhusu Mamlaka za Halmashauri za Jiji kutotupa ushirikiano baadhi ya Waandishi wa Habari tunapohitaji taarifa mbalimbali hasa...
1 Reactions
1 Replies
299 Views
Pamoja na kuwa mimi sio mtaalam wa uchumi ila natamani pia waangalie yafuatayo; 1. Biashara moja/Bidhaa moja kuwa na kodi nyingi zenye majina tofauti tofauti, hii huchangia ukwepaji 2. Kuwa na...
1 Reactions
5 Replies
365 Views
Mwandishi wa HabariLEO, Theopista Nsanzugwanko amefariki dunia leo majira ya saa 3 asubuhi wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Taifa Muhimbili, familia imesema. Theopista amekuwa...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Yaani inawezekana kabisa unampiga vita kiboko ya wachawi halafu unamuunga mkono Martha Mwaipaja kwa kiwango cha 100%
7 Reactions
18 Replies
435 Views
Simple and clear, unapohangaika kutafuta hela hangaika pia kuweka mazingira ya kuwa na hela. Kuna watu wanatafuta hela lakini hawana mazingira ya kumiliki hela. Ukiwa hivyo utakua tu njia ya...
5 Reactions
16 Replies
333 Views
Salaam wakuu. Natumai wote mpo salama na mnaendelea na majukumu yenu kama kawaida. Nina swali ambalo pengine naweza pata majibu hapa, Mmea wa Bangi unatumika kama dawa kwa baadhi ya watu na...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
KARATU, ARUSHA Mwaka 1996, Sikumbuki ilikuwa ni mwezi gani ila ninachokumbuka ilikuwa kwenye miezi ya kiangazi wakati kanisa la kisabato lilipoandaa mkutano mkubwa wa injili (effort) mjini Karatu...
2 Reactions
5 Replies
300 Views
Kuna watu wamepungukiwa kabisa akili. Ndo maana waarabu wa dubai huwezi wakuta wanashadadia huu ujinga, na wao wasingekuwa na akili kama hao wengine wasingeweza kugeuza jagwa kuwa mji. Yangu hayo...
6 Reactions
21 Replies
426 Views
Habari za muda huu wana jukwaa. Leo nimekuja na ushauri kwa TCRA na jeshi la Polisi kutokana na uhalifu wa mtandaoni. Uhalifu wenyewe ni huu unaohusu kutumiwa ujumbe mfupi wa maneno wa kitapeli...
3 Reactions
30 Replies
968 Views
Vijana wengi sasa hivi wamekosa nidhamu hata kwa wazazi wao ukiachilia mbali kazini. Hawapendi kuelekezwa kila kitu wanajua basi ni shida. Unaweza kumlaumu mzazi au mlezi kuwa hakupendi lakini...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Leo nilibahatika kutembelea shule ya msingi Upendo iliyoko katika manispaa ya Ubungo, jijini Dar es salaam. Nilikutana na class mate wangu ambaye kwa Sasa ni mwalimu pale Upendo. Huyu mshkaji...
8 Reactions
76 Replies
4K Views
Mamlaka ya usafiri wa Ardhini imetangaza kutoa leseni ya usafiri wa umma kwa njia mpya Kibaha, kama ilivyoainishwa hapo chini 👇🏻
1 Reactions
2 Replies
404 Views
Hakika katika maisha ya kawaida kukwaruzana kupo as long as bado tunaishi. Watu wanakosea watu kwa kujua ama kwa kutokujua. Mwingine anaweza kukufanyia kitu kibaya na hadi ukashindwa kufikia...
3 Reactions
3 Replies
160 Views
Hii ni kampuni inaitwa Orbit Group Limited (Orbit tz) inayoagiza magari kutoka nje ya nchi. Biashara hio inahusisha pia kutoa mkopo wa mpaka miaka miwili ili kukamilisha gharama ya gari. Sasa...
11 Reactions
55 Replies
2K Views
Kwema wakuu? Nakumbuka kwa mara ya kwanza nilikuona kanisani, kwa Mchungaji Rasarasa mwenye mtoto ambaye kwa sasa anafanya kazi radio mawingu. Ulikuwa kijana mkimya, mpole na mnyenyekevu...
2 Reactions
1 Replies
187 Views
Back
Top Bottom