Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
In short wananchi tunafahamu weakness walonayo viongozi wengi serikalini , Sio waoga kuiba by any means, yani upenyo mdogo tu wanaharibu kila kitu, pia ni very slow thinkers, pia mifumo ya...
1 Reactions
37 Replies
1K Views
Hii ni kwa wale watu wabishi wabishi hata kwenye Jambo la msingi yeye anataka kukwamisha. Unakuta mtu kafanya jambo lake analifurahia atatokea mtu tu kuhakikisha anakuliza. Hawa watu tunaishi nao...
1 Reactions
1 Replies
206 Views
Habari zenu wana JF wenzangu, Hizi ni tetesi kutoka kwa mtu wa ndani ya kitengo fulani, ambapo amesema mpango huo wa kuipa Terminus hiyo jina la raisi Samia utafanyika siku ya ufunguzi wa safari...
8 Reactions
92 Replies
4K Views
Kutokana mchango wake katika Sanaa ya Muziki, ni maoni yangu serika ijenge Musical Museum ambayo itaonesha vifaaa na picha za wasanii wa wamuziki wa Dansi. Na mtangazaji nguli...
0 Reactions
0 Replies
210 Views
Mwenye kitabu cha papa Benedict II Mfaransa huyu ambacho kinazungumzia maisha yake please nisaidie
0 Reactions
1 Replies
188 Views
Watu wengi sasa hivi wanalalamikia kuwa umri umeenda siwezi kufanya kitu fulani, umri umeenda hayo yaache yapite. Kaka yangu, Dada yangu, Baba, Mama, Mdogo wangu bado hujachelewa kabisa. Katika...
12 Reactions
36 Replies
608 Views
Hii inamaanisha kuwa kuna mtu ana kitu yani akikifanyia kazi anaweza kufika mbali lakini amekaa nacho ndani anawaza. Utawaza hadi lini na umekaa ni fursa ndani? Unamsubiri nani aje akutoe huko...
3 Reactions
3 Replies
282 Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Wilaya ya Temeke imebaini kuwa baadhi ya Watumishi wa Wakala wa Mabasi Yaendao Haraka (UDART) waliingia makubaliano batili na Watendaji wa...
1 Reactions
4 Replies
893 Views
Haya mliosoma UDSM wale ambao mnafundishwa na Maprofesa wa Jalapani njooni mbishie huyu mwamba hapa 👇 Bwana huyo kutoka Njombe alikuwa akichangia mjadala wa dira ya Uchumi wa Taifa ya 2050...
7 Reactions
128 Replies
3K Views
Haya ndio matokeo ya SGR, imeleta machaguo zaidi kwa abiria. Sasa hata nauli Abood imeshuka kutoka 13,000 mpaka 10,000. SSH5tena
9 Reactions
52 Replies
4K Views
Bora kipi kuendelea na mifumo hii ambayo wachache wanatuongoza ambao ni kundi au chama cha siasa kuliko kuwa na mfumo ambao kila mwenye sifa fulani apewe nafasi ya kusukuma gurudumu hili kufia...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Pichani ni tukio lililotokea Mugumu mjini baada ya nguzo ya umeme kudondoka nakuangukia pikipiki na pia imenoa kudondokea watu waliokuwa karibu yake.
1 Reactions
4 Replies
603 Views
Wakuu, Zoezi la kupiga kuralikiwa limesimama kusubiri karatasi nyingine ziletwe Kama kicha kinavyosema hapo juu. Kinachoendelea sasa hivi nikuwa karatasi za kupigia kura zimeisha na hivyo...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Ukurasa wa X wa Tanganyika Law Society wameweka tangazo kuwa zoezi la kupiga kura limekamilika watu wanasubiri matokeo sawa. Pia soma: Uchaguzi wa Rais TLS: Karatasi za kupigia...
2 Reactions
6 Replies
508 Views
Mwezi ujao ninatarajia kwenda Nairobi nchini Kenya. Kwa kuwa sijawahi fika Kigali, ninataka nitumie fursa hiyo kwa kupita kama njia. Matamanio yangu ni kupitia Bunjumbura na Kigali ambako kwa...
1 Reactions
13 Replies
606 Views
Habari za kutwa wana JF Natambua hali ya maisha ni ngumu kwa ujumla, matapeli ni wengi mno, wengine wanajifanya wagonjwa ili tu wapate msaada, nk, Lakini ukikutana na mtu hakuombi pesa ila...
37 Reactions
61 Replies
2K Views
Habari wana jamvi. Mimi wala nisiseme sana. Angalieni hii bajaji ni ya Dawasa hadi turubai limechanika linapeperushwa na upepo, hii chuma haikai hata silencer yani ameipack sehemu ikabidi mmoja...
1 Reactions
0 Replies
141 Views
Haya mambo nimekuja kuyajulia Dar, kwetu Bulongwa Makete Uislam hauko. Ndugu zanguni naomba kujulishwa jinsi albadil inavyofanya kazi. Kuna MTU kaniibia kiasi kikubwa sana cha hazina yangu...
12 Reactions
83 Replies
2K Views
Hapa sasa inatakiwa kuwa na Mipaka katika maisha yako. Kila shughuli umo tu, Kila mtu akikosa mtu wa Muhimu anakutumia wewe sasa kuziba pengo. Ukiitwa mahali kuna shughuli unaenda yani wewe hata...
4 Reactions
3 Replies
297 Views
Ukweli ni kwamba kumekuwa na uharibifu mkubwa sana wa lugha ya kiswahili miaka ya karibuni. Tatizo hili lipo haswa kwa kizazi hiki kinachoitwa cha 2000 aka Gen Z. Imefika wakati hadi hawa...
5 Reactions
74 Replies
1K Views
Back
Top Bottom