Pasipo kupepesa macho, airtel ni moja ya mtandao ambao matapeli kila itwayo leo huutumia kutuma sms za kila aina, mpaka muda huu sijajua tatizo ni nini??
Natumia mtandao wa tigo pia, kwakweli...
Mbona huyu wangu haoni mazuri yangu? Yani hata wiki haijatimia keshaanza kunichanganya akili.
Kumkosoa kidogo tu ikiwa ni katika namna ya kumuelekeza analia nusu saa! Anaona anaonewa!!
Niishi nae...
Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ni Moja kati ya Vyuo nchini Tanzania ambacho unaweza kusoma na kujitolea kufanya kazi pia.
Kwa wale waliosoma UDSM-SJMC watakuwa wananielewa kuwa kutokana na ile...
ZINGATIA HAYA ALFAJIRI.
KIJANA JINSI ZOTE.
Nimeiita alfajiri tusiyojua kilichobebwa na mchana wake. Ndio ni alfajiri na mapema ya mahusiano unayoona pengine kuna umbali yataenda na hata...
Tume ya Madini, leo Agosti 04, 2024 imeendelea kutoa elimu kwa wadau wa madini katika Maonesho ya Nane Nane yanayofanyika Kitaifa katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma
Elimu imetolewa katika...
Sheikh Ibrahim Bombo kutoka Mkoani Mbeya amependekeza Serikali ianzishe utaratibu wa kulipa mishahara kwa Viongozi mbalimbali wa Dini kutokana na kazi nzuri wanayoifanya ya kulinda amani na...
Jeshi la polisi Jukumu lenu ni Usalama wa Raia na Mali zao .
Na msiwe na bias kwenye hili
Msibagua watuu maana nyinyi ni wazazi bila kujali itikadi ,dini ,kabila ,ranging na vyote hivyo
Lkn...
Naripoti kutoka Shule ya msingi Upendo Mbezi Louis, kuwa uongozi wa Mwalimu Mkuu wa shule hiyo pamoja na msaidizi wake namba 2 ni wa ki maslahi binafsi na usio wa ushirikishwaji kwa Walimu...
Iko hivi,
Nimetoka zangu kwetu Musoma huko nimeuza vimoro vyangu vya kutosha, kwenye ka NMB kangu nina balance kama ya 100m hivi.
Afu kwa Tigo Pesa, salio ndiyo kama linavyosomeka hapo chini...
Kulikuwa na haja gani kujenga stand ya gharama kiasi kile pale Mwenge, Kinondoni-DSM halafu hakuna cha maana kinachoendelea zaidi ya gari mbili tatu zinazopakia abiria?...
Maisha ya bindamu yamebakia kuwa siri na kama ilivyo matendo ya kibinadamu mengine hufanywa kwenye ulimwengu ambao sisi binadamu wengine hatuuwezi kuona kwa macho ya kawaida ila wapo baadhi ambao...
Akizungumza wakati akiendelea na ziara yake Mkoani Morogoro, Rais Samia amesema mbali na uzinduzi wa Miradi mbalimbali ya Maendeleo katika Mkoa huo, amefika pia kujionea hali ya Miundombinu ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimehudhuria sherehe za mahafari ya Ndugu yangu leo hapa Kinondoni hakika nimefurahi
Tumekunywa na tunaendelea kula hakika ni tukio la furaha
Ndugu yangu na mkewe wote...
Mabasi ya Sauli yanayofanya safari zake kuelekea mikoa ya Nyanda za juu Kusini hakika yalijipambanua ni ya uhakika na salama.
Ajabu kwa siku za hivi karibuni ndiyo mabasi yanayoongoza kwa ajali...
Swalama aleko wakuu.
Hivi karibuni nimekuwa mmoja wa tumiaji wakubwa wa huduma za mwendo kasi pamoja na vivuko mbalimbali vya maji(mapantoni)
Kimsingi huduma ni kama hakuna maana nikisema ni...
Nini kimemkumba Lawrence Masha? Nimeshangaa sana kukutana na hii video ikizunguka mtandaoni eti yupo kwa huyu anayejiita Pastor, Kiboko ya Wachawi sijui.
Naelewa kwenye maisha kuna kupanda na...
Miaka ya hivi karibuni kuanzia 2018 hapa jukwaani Kumekuwa na ongezeko kubwa la watu ambao hawaamini uwepo wa Mungu (atheist) hii inaashiria Nini ?
Hii hali nimeona ni tofauti na jamiiforum Ile...
Hello wakulungwa,
Ninatafuta vidonge vya hallucinogens kama DMT, LSD, PCP au psychedelics kama Psilocybin, Salvia,Mushrooms etc.
Kwa dar naweza kupata wapi hizi dawa?
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.