Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
DAWASA leo katika mkutano na waandishi wa habari mmeulizwa kuhusu tatizo la kutoka maji ya bomba yakiwa machafu kwa baadhi ya wakazi wa Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam. Hii inamaanisha nini kwa...
1 Reactions
2 Replies
316 Views
Hodi waungwana. Hii ni awamu ya kwanza ya " SIMULIZI ZA WAUNGWANA" Awamu hii itakuwa na simulizi saba. Simulizi hizo ni: 1.ASANTE. 2.NUKTA. 3.NZI. 4.SHETANI. 5.SIFA. 6.UZITO. 7.YAI. Lengo la...
3 Reactions
0 Replies
269 Views
Na Amina Hezron – Dodoma. Imeshauriwa kuwa uwekezaji katika sekta ya kilimo ujikite zaidi katika kuangalia namna ya kuboresha mbinu mbalimbali za ugani na teknolojia za kisasa ili kuwasaidia...
0 Reactions
1 Replies
196 Views
Wakili Madeleka: Huwezi KUMVUNJIA MTU NYUMBA YAKE bila KUMLIPA FIDIA, ili ujenge BARABARA, halafu ukamwambia hayo ni “MAENDELEO YAKE”, asubiri “UTAMLIPA BAADAE”. Sasa unataka AKAISHI WAPI NA...
0 Reactions
6 Replies
358 Views
Katika kuhakikisha ulinzi na elimu vinatolewa kwa wananchi, Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha Wanamaji nchini kimeendelea kuyafikia makundi mbalimbali ya watumiaji wa vyombo vya majini ambapo leo...
7 Reactions
74 Replies
1K Views
Wakuu kwema! Nimekuwa na nia ya dhati ya kutoka inchini kwetu Tanzania na kwenda nchi zingine kujaribu kupambana na maisha. Katika harakati hizo nimeona nchi ya Singapore haina vigezo vikali...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Jafo anasema Rais Samia ameongeza viwanda 18000 elfu kumi na nane! Je katika katika context ya Tanzania kiwanda ninini?
3 Reactions
6 Replies
384 Views
Salaam, Shalom!! Lile ongezeko la TSH 500 lililoletwa kinyemela miezi miwili iliyopita, imeondolewa kinyemela kimya kimya bila taarifa yoyote. Ikumbukwe kuwa, ongezeko hili halikuletwa kupitia...
7 Reactions
42 Replies
2K Views
Jamani habari zenu, mwaka ana nilibahatika kupata milion 9, nikaangalia cha kufanya nikashindwa, maana ukiingia kichwa kichwa kwa hali ilivyotanzania ,hapana, Nikanunua ardhi ekari 5 kwa milion...
2 Reactions
126 Replies
19K Views
Swala Surah An-Nisa (4:58): "Hakika Mwenyezi Mungu anawaamrisha mtende haki, na kuweka usawa na kuwa na uwajibikaji katika mambo yote. Na kuwa na uaminifu kwa wale walio na dhamana, na kutenda...
0 Reactions
4 Replies
222 Views
Sijui tumelaaaniwa Yaan katoto ka miaka 3 unakaamsha saa kumi na moja kwenda shule Kakasome A e i o u! Tuna akili kweli ama mnakimbia bili za wafanyakazi wa ndani?
14 Reactions
47 Replies
907 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Nishati kuongeza nguvu katika kusimamia miradi yote ya nishati ili ikamilike kwa wakati na hivyo kuwawezesha...
0 Reactions
1 Replies
217 Views
Kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa Itapendeza kama tutachagua viongozi wa vijiji, mitaa nk kwa kufuata elimu walau kidato cha nne Nimeona wenye viti wa...
0 Reactions
0 Replies
138 Views
Habari wana JF, Kuna huu wizi sijui niite utapeli ambao binafsi nimeanza kuushuhudia tangu mwaka 2022 kwa maeneo ya Kariakoo na kila mara nikipita eneo hilo nakuta huo wizi unaendelea utapeli...
11 Reactions
98 Replies
6K Views
Taasisi ya The Foundation for Civil Society (FCS) wametia saini makubaliano ya miaka mitatu na Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imefafanua juu ya kinachoendelea katika Kampuni ya Insurance Group of Tanzania (IGT) ambapo kuna Watanzania wanaodai kuwa wanaidai Kampuni hiyo lakini...
0 Reactions
0 Replies
314 Views
Mmiliki wa mabasi ya Sauli, Solomon Sauli Mwalabila amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Miwaleni, Mlandizi mkoani Pwani majira ya saa kumi na mbili na nusu alfajiri. Katika...
11 Reactions
44 Replies
2K Views
Maana nimeshachoka kusikiliza miziki ya hovyo na mpira Mwenye hii comment kanigusa sana Redio zinashindana kua na michezo ya kamari kila redio ina ina michezo ya kubahatisha
6 Reactions
34 Replies
847 Views
1. Nikiumbe gani Mungu kakiumba kakipa akili na matamanio? 2. Nikiumbe gani Mungu kakiumba kakipa akili hana matamanio? 3. Ni kiumbe gani Mungu kakiumba kakipa matamanio kakinyima akili...
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Back
Top Bottom