Wakuu,
Nane-Nane ya Mwaka huu imegubwikwa na ufisadi wa hali ya juu hususani katikamaandalizi yake. Hii yangu inakuja kama muendelezo wa kile amba ho kiliwekwa wazi kwamba kuna vyoo viwili tu...
Marehemu alifariki akiwa ktk ajali ya Gari.
Kwa mujibu wa ataarifa zilizosambaa mitandaoni aliokena aakiwa katika gari la Kifahari aina ya Jeep.
Gari lile pekee linakosti milioni zaidi ya 100...
Asili ya Mtanzania ni chuki.
Mtanzania nadhani ni mtu kaumbwa na roho mbaya sana ya kichawi, kwa sababu.
1. Anafurahia Anguko la binadamu mwenzake iwe ulikuwa na mali ukafilisika hapo atafurahi...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeeleza wazi kuwa imejipanga kutatua kwa wakati malalamiko ya kikodi kutoka kwa wananchi wanaokutana na changamoto mbalimbali, ambapo imewataka kufika kwenye...
Nilidhan atakua mtu wa haki na mfata sheria na mkemea maovu ila kawa tofauti sana, ni kama vile hajari kabisa hali za wananchi.
Zile 4R zake madhan ni kwa ajiri ya CCM na CDM na si vinginevyo...
Katibu Mkuu wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), Priscus John amedai rushwa barabarani kwa wakaguzi wote wa magari ni ya kiwango cha kutisha.
Amesema wanaopokea wanaonekana kuwa ni...
Ili urudi ulipo toka lazima ukubali kwamba umeshuka na uwe tayari kuishi maisha ya chini ambayo yanaendana na budget yako iLi pesa unazozipata uweze kusave upate mtaji uanze kurudi kwenye mfumo...
Leo nikiwa nasikiliza kipindi cha michezo katika redio ya East Africa, kuna jamaa akatuma ujumbe kuhusiana na mechi ya simba na yanga huku akiandika ujumbe ambao ulisomwa na ndugu mtangazaji...
Wakuu habar..!
Kwa umri wangu ninastahili kuitwa mzee, maana Nina zaidi ya miongo mitano tangu kuzaliwa kwangu,
Kila ninapokaa huwa nnaikumbuka sana nguo yangu niliyowah kuivaa miongo kadhaa...
Ukiona rais anayeingia madarkani anasema atakomesha wizi huyi ni mwongo wala ukweli haumo ndani yake.
Hata Mungu amesharuhusu wizi pale aliposema mwenye nacho ataongezewa na asiyenacho hata kile...
Yaani GENTAMYCINE niwe Rais tena wa nchi kama ya Puerto Rico ambayo najua kuwa Kwanza ina Wajinga na Wapumbavu wengi, Washamba wengi, Masikini ndiyo hawahesabiki, Maisha ya Wananchi wangu kuwa ni...
Kupitia ukurasa wao wa X, Jeshi la Polisi Tanzania, wametoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kuhusu binti aliyefanyiwa ukatili Yombo kuwa amekufa, na kusema taarifa hiyo ni uzushi usiokuwa na...
Kuna kazi ambazo kuna umri ukifika ni lazima uiache kila kazi na umri wake.
Mfano mpira wa miguu mara nyingi ni mwisho miaka 38
Kuna kazi ambazo ni lazima utaicha mapema na kwenda kutafuta kazi...
Andika namba kwenye comments. Namba ambayo itatoa ufafanuzi halisi ya majibu ya swali lililoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu.
1: Kuongezeka upotoshaji katika dini
2: Kuongezeka kwa hali ngumu...
Leo nimekaa sehemu nikaona kundi la wachina, nikajiuliza hivi hawa jamaa huwa hawaoti ndevu au wananyoa kilasiku.
Ni utaratibu wao wa kiasili kukaa bila ndevu au hawapendi tu, maana binafsi...
Step into the thrilling world of "The Money Maze," where everyday people face their financial fears head-on. Watch as contestants navigate a larger-than-life labyrinth filled with challenges that...
Wandugu kwanini hao samaki wa baharini hawafiki huku mikoani. Huku sijawahi ona bucha linauza samaki wa baharini. Labda vibua kidogo. Ingekuwa poa sana na sisi tupate dagaa mchele tupige na ugali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.