Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nataka kuuliza je ni muda gani cheti cha kuzaliwa kinatoka baada ya kukiomba kutoka RITA.
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari! Leo mchana nikiwa ofisini kwangu somewhere in Dar amefika dada Mwenye umri wa miaka 24 Amekuja kwangu kimakosa alielekezwa aende kwa Afisa ustawi wa jamii wa kata yake kwani ana...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Kuna eneo la Vikunai ni kama bonde jirani na nyumba za NSSF, watu wameishi hapo kwa zaidi ya miaka 20, mwezi wa sita mwaka huu, ndipo tatizo lilianza, NSSF kusema ni eneo lao, kuwa hao ni...
1 Reactions
0 Replies
259 Views
Nssf ilikua na application ambapo mwanachama unawezo wa kuona taarifa za michango yako , Kama statement nk , Ila hivi karibuni wameitoa , sjajua kama play store bado ipo. Kulikoni, kwa nini...
0 Reactions
2 Replies
324 Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema Wizara wakati Mamlaka zikijiandaa kwa ajili ya utekelezaji wa Mtaala mpya ngazi ya Kidato cha Kwanza kuna tatizo la kiufundi...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Nyie watu mliosomeshwa kwa mkopo wa serikali elimu ya juu mlikuwa mnatutambia sana sie tulionyimwa mkopo. Mlikua mnajiona wajanja wenyewe 😂😂 mmepata kazi umefika mda wa kulipa deni mnaanza kulia...
0 Reactions
0 Replies
229 Views
Habari zenu Naomba nielezee kiufupi Nikisema sejayaelewa maisha ya huku naomba mnielewe hivi yaani sina furaha nayo na malengo yangu kiujumla kimaisha ya binafsi na kimaendeleo yangu yaani...
37 Reactions
83 Replies
11K Views
Patrick kijana kipofu amabaye pia ni mwalimu amemuoa mrembo ambaye pia ni kipofu kwa Jambo lisilotalajiwa wamepata mtoto ambaye pia ameziliwa kipofu. Patrick amesema "Nilikutana na mke wangu...
1 Reactions
3 Replies
211 Views
Matukio ya udhalilishaji kingono katika jamii yetu yanasababishwa na mambo yafuatayo: Wazazi/walezi tumeshindwa kutimiza wajibu wetu wa kuwalea watoto kwenye maadili mema. Wasichana na vijana...
3 Reactions
5 Replies
429 Views
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Tanganyika huru. Nilikuwa mapumziko ya likizo ndefu nimerejea tena jukwaani na hii ndio mada yangu ya kwanza. Kwa sheria na kanuni za Kazi duniani kote kila...
42 Reactions
92 Replies
4K Views
Meditation ni nguzo muhimu sana katika maisha ambayo haizingatiwi, je ni namna gani nzuri ya kufanya meditation?
3 Reactions
3 Replies
278 Views
Nakumbuka niliwahi kuwa na kaduka kule barabara za namba Tanga mjini🤣🤦‍♀️ Mwanzoni kalinipa heshima kidogo angalau pesa ya mboga nyumbani haikukosekana, angalau kipindi mambo ya mishahara...
22 Reactions
29 Replies
1K Views
Inshu iko hivi: Kuna mwanangu mmoja kapanga chumba kawaida tu kama watu wengine wanavopanga Sasa kuna dada mmoja huyo ni mpangaji mwenzie ila chumba cha mbali Amekuwa na tabia ya kufua chupi...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Mchoraji wa katuni maarufu nchini Tanzania na kimataifa ambaye pia ni mbunifu na mtangazaji wa vipindi vya redio na televisheni vyenye mvuto mkubwa kwa jamii, Bw. Ally Masoud Nyomwa anayejulikana...
23 Reactions
119 Replies
7K Views
Pale Kibeho nchini Rwanda Bikira maria aliwatokea watu na mpka leo huwa mamia ya maelfu wanaenda kuhiji pale. Ikumbukwe Bikra maria ni mama wa bwana hata Elizabeth alikiri hilo baada ya kujazwa...
3 Reactions
102 Replies
2K Views
TUNALOJUKUMU LA KUDHIBITI HALI YA UKATILI NA UNYAMA UNAOJENGEKA KATIKA WENZETU Na Comrade Ally Maftah Nilipata kusikia tukio la dada aliyefanyiwa ukatili wa kijinsia nikajidhibiti sana...
1 Reactions
4 Replies
265 Views
1) Kama ingetakiwa paka awe na kitambulisho cha NIDA Basi asingesajili kwa alama za vidole bali angesaini kwa alama ya Pua kwa sababu kwa kupitia pua zao ndio utapata upekee wa kila paka...
35 Reactions
65 Replies
4K Views
Anonymous (1fdd)
Kabla ya nauli kupandishwa mwishoni mwa mwaka jana nauli ya daladala kutoka Kivule fremu 10 hadi Banana ilikuwa 500/=. Baada ya serikali kupandisha nauli toka 500/= kwenda 600/= daladala za huku...
0 Reactions
5 Replies
423 Views
Wengi tumekua tukielewa kuna mihimili 3 tu, BUNGE, SERIKALI, MAHAKAMA. hivi majuzi waandishi wa habari nao walijinasibu kwamba "UANDISHI WA HABARI" ni mhimili muhimu usio rasmi. ila kwa sasa...
7 Reactions
26 Replies
697 Views
Ukiwasikiliza kwa sikio la kusia wana hoja, japo wapo kinyume na imani zetu, wapo kinyume na uungu na dini na vyote vyenye mwelekeo huo. Nina nani haswa hawa , wamepata wapi elimu hio wanayo...
2 Reactions
14 Replies
676 Views
Back
Top Bottom