Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
TRICHLOACETIC ACID. hiyo dawa naweza kuipata sehemu gani dsm ninauhitaji nayo wa haraka sana ni kwa ajili ya mtoto
1 Reactions
5 Replies
354 Views
Kama Lugha ya Kiingereza ipo kwako na unaielewa. Msome SALMAN RUSHDIE KATIKA KITABU CHAKE CHA AYA ZA KISHETANI.
0 Reactions
74 Replies
3K Views
Wakuu jana niliota nimekufa hadi msiba wangu ulitokea na nilikuja kukufuka na wakabomoa jeneza kunitoa kabla ya sijazikwa Kuna maana yoyote hapa au ni muvi tu za usiku? Mshana Jr Da'Vinci
4 Reactions
66 Replies
2K Views
KWENU WIZARA YA UJENZI, TANROAD NA TARURA pamoja na Mbunge wa Kibamba Awali ya yote niwashukuru kwa siku za nyuma kwa namna mlikua mnaisimamia barabara hii kwa ukarabati wa mara kwa mara. Kwa...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
ulipokuwa huna pesa wala hawakufuatilia chanzo cha umasikini wako iwe ni uvivu, kwenda kwa waganga, madeni, ulevi, kamari, n.k. watu hawana time kabisa wala kukupa ushauri, Mambo yanaanza kujipa...
6 Reactions
20 Replies
701 Views
Hata uwe mtu wa dini vipi kwa siku angalau utatenda mojawapo ya hizi dhambi. 1. Uongo 2. Uzinzi/uasherati 3. Dhuluma 4. Ubinafsi/Uchoyo 5. Chuki
14 Reactions
66 Replies
2K Views
Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 yanaonyesha mikoa ya Kilimanjaro, Mtwara na Lindi inaongoza kwa idadi kubwa ya wazee wenye umri zaidi ya miaka 65. Ripoti hiyo ilizinduliwa...
2 Reactions
63 Replies
2K Views
DAKTARI Bingwa wa Mifupa wa Hospitali ya Rufani ya Mkoa wa Tanga (Bombo), Dk. Said Nondo, amesema chanzo cha matatizo ya watu kuugua mgongo ni ukaaji mbaya kama chura na kobe kwa muda mrefu. Dk...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Hawa Mabwana Kwa Kushirikiana na matajiri wanunuzi wa zao la Kakao waliuza mazao ya mkulima yaliyohofadhiwa kwenye maghala ya Serikali Kwa bei ya sh.8,000 Kwa kilo ila wakawalipa Wakulima sh.1,600...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mahakama ya kijeshi la jeshi la polisi imewatia hatiani wakaguzi waandamizi wanne wa polisi mkoani Arusha kwa makosa matatu ikiwemo kushawishi na kuomba rushwa ya shilingi milioni 10 na kuachia...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Mgombea Urais wa Republican, Donald Trump anaendesha Mazungumzo na Mmliki wa Mtandao wa X (Twitter), Elon Musk na hadi kufikia Saa 10 Kasoro usiku wa leo Agosti 13, 2024 watu waliofanikiwa kujoin...
0 Reactions
6 Replies
499 Views
Salaam wakuu. Siku za hivi karibuni nimeona na kushuhudia wakazi wengi hapa Dar es salaam wametokwa na vipele na kuwashwa mwili. Hasa watoto nimeona wengi pia wanawashwa na vipele mwili mzima...
3 Reactions
65 Replies
5K Views
The Tanzanian authorities must urgently halt the mass arrests and arbitrary detention of government critics, Amnesty International said today, as intimidation of members of the political...
0 Reactions
4 Replies
459 Views
Upewe Neema ya UHAI kwa upya! Salama Nimejikuta nawaza kwa udogo Lakini nikaona Iko haja ya kuwa na mjadala mdogo tu na ndugu ZANGU wa jukwaa hili ambao kimsingi wanajadili jambo kwa utashi...
0 Reactions
1 Replies
225 Views
1. Mligo wa njombe 600000/= 2. Evodi wa kibaha 100000/= 3.Elibariki wa moshi kati ya 280000/= umenirudishia 15000/= 4. Dotto wa kibaigwa 45000/= 5. Mama Thadeo wa ilemela 68000/= Haya madeni yana...
34 Reactions
58 Replies
2K Views
Kutana na william Masvinu ambae ameshinda mara tano kwene shindano la mtu mbaya zaidi zimbabwe linaloenda kama Mr.Ugly William anasema anandoto ya kwenda kimataifa. Kama ni mpenzi wa meme utakua...
8 Reactions
109 Replies
3K Views
KWELI DUNIANI WATU WAWILI-WAWILI... Jamaa huyo ambaye ni moja ya cast kwenye series ya MONEY HEIST anaefahamika kwa jina la Denver anaonekana kufanana au mwenye mwonekano unaofanana na OVIDIO...
1 Reactions
2 Replies
797 Views
HOTUBA YA MWISHO ALIYOIANDIKA QADAFFI QADAFFI ANAANZA HIVI: "Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mungu mpaji, na mwenye rehema... Kwa miaka takribani 40 ama ilikuwa zaidi sikumbuki. Nachokumbuka ni kuwa...
16 Reactions
65 Replies
4K Views
Back
Top Bottom