International Forum

News and Stories from rest of the World
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko wa Corona unazidi kushika kasi na mpaka sasa zaidi ya watu 300,000 wameripotiwa kuwa na maambukizi duniani kote. Mkuu wa Shirika hilo, Tedros...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Mahakama ya juu nchini Israel imeamuru spika wa bunge aandae uchaguzi wa mrithi wake kufikia Jumatano ijayo, amri inayoongeza mkwamo uliopo kati ya wapinzani na wanaomuunga mkono waziri mkuu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
21 Greek pilgrims who visited Israel infected with coronavirus Health Ministry say the travelers stayed in the country between February 19 and 27; Israel and PA see thousands of visitors every...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
An awakening is happening in a country where Christianity is illegal. One of the world's darkest places is home to the fastest-growing underground church. A true Christian revival is taking place...
11 Reactions
62 Replies
5K Views
Tuungane pamoja kuwaombea pumziko la Milele Mapadre hawa ambao wamefariki Dunia nchini Italia kutokana na Virusi vya Corona. Mapadre hawa walipata maambikizi wakati wakitoa huduma ya Kiroho kwa...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Katika hali ya Kutisha iliyoikumba Nchi ya Iran... sasa Wameomba Po na kuomba Marekani iwaondolee Vikwazo katika idara ya Afya ili iweze kupambana na Gonjwa Jipya la Mafua linaloua kwa kasi raia...
7 Reactions
223 Replies
17K Views
Waziri wa maadili nchini Uganda ametangaza miango wa kuanzisha tena sheria inayopinga mahusiano ya jinsia moja, iliyofutwa na mahakama ya kikatiba mwaka 2014. Waziri Simon Lokodo amekiambia...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Giuseppe Berardelli, 72, priest from Italy's hard-hit north, died from coronavirus He had a respirator that was bought for him by concerned parishioners, but gave it to a younger patient who he...
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Mossad delivers 100,000 coronavirus test kits to Israel overnight Mossad, Israel’s espionage agency, delivered some 100,000 new coronavirus test kits collected overseas to Israeli laboratories...
11 Reactions
127 Replies
9K Views
Kama umekua mtazamaji na mfuatiliaji wa Italian Serie A, utapata jibu kua hawa watu ni wabaguzi sana, nina rafiki zangu wao kule wanalalamika kua kwasababu ni waafrica wanabaguliwa sana. Mungu...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Wachina hawajifunzi, mwanzo walijaribu kucoverup hili tatizo la kirusi cha Corona kwa wiki kadhaa. Ni mpaka Dr Li Wenliang alipolikisha kuwa kuna ugonjwa wa pnemounia huko Wuhan unaoua watu ndipo...
9 Reactions
97 Replies
10K Views
ni kuanzia usiku wa manane tarehe 26 Machi. ni taarifa rasmi ya Ikulu ya South Africa.
0 Reactions
1 Replies
643 Views
President Donald Trump signed an executive order on Monday to prevent hoarding and price gouging of supplies needed to fight the deadly coronavirus, a spokeswoman said. “This sends a strong...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
DAYOSISI ya Italia iliyo karibu na Milan, imeripoti vifo vya mapadri 30 wakati huu wa mlipuko wa virusi vya corona. Gazeti linalomilikiwa na mkutano wa maaskofu wa Italia, Avvenire, limetaja...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kiongozi mkuu wa kidini nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei amesema Iran haitopokea msaada wowote kutoka Marekani, katika kubadili hali ilivyo kutokana na wimbi la maambukizi ya virusi vya corona...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Every thing that happens in the physical world, represents something in the realm of the spirit. In other words, kila kinacho tokea katika ulimwengu wa damu na nyama huwa kinaanzia kwenye...
8 Reactions
98 Replies
10K Views
Hii imetokea leo Zimbabwe,baada ya tangazo la serikali kwamba mikusanyiko ya misikitini na makanisani pia imezuiwa, hapo watu wakalazimisha kwenda church,hicho ndo kilichotokea.
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Rais wa Botswana amewekwa Karantini kwa muda wa siku 14 baada ya kurudi nchini humo akitokea Namibia ambapo alienda kwa ajili ya uapisho wa Rais Hage Geingob. Taarifa iliyotolewa na Serikali...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
KAMPUNI ya LEAF Rwanda imesaini mkataba utakaoiwezesha kutengeneza dawa za saratani, LEAF- 1404 kuanzia mwaka kesho. Hatua hiyo itazifanya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na nyingine...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Boko Haram member, warn Nigerians soldiers to kill him, else he will go back and kill more people If you dont kill me, I will go back and kill more Christians in Africa - Unrepentant Boko Haram...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom