International Forum

News and Stories from rest of the World
New Zealand imepitisha Sheria inayochukulia utoaji mimba kuwa suala la kiafya kuliko uhalifu, katika mageuzi makubwa ya Sheria ambazo hazijabadilishwa kwa zaidi ya miongo minne Mabadiliko hayo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali ya Uingereza inatarajia kuwazuia wenye Nyumba kutowaondoa kwa miezi mitatu Wapangaji walioshindwa kulipa kodi ya pango kipindi hiki cha corona. • Serikali hiyo imesema kwamba inaelewa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
BORIS JOHNSON ANNOUNCES CLOSURE OF UK SCHOOLS IN WAKE The number of people who have died in the UK after testing positive for coronavirus has risen to 137 - with one in the North East. Officials...
0 Reactions
1 Replies
744 Views
Januari USA waliongea biashara na China. China kawaida yao wana shusha thamani ya pesa ili wauze bidhaa zao kwa wingi nje ya nchi. Kwa mbinu hii USA na dunia nzima wanapoteza kibiashara mshindi...
11 Reactions
120 Replies
10K Views
Dawa inayotumika kutibu mafua, ambayo imetengenezwa kule Japan imeonyesha matumaini makubwa kwa kujaribishwa kwa wagonjwa wa Corona ambao wamepona mmoja baada ya mwingine...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
MARS COLONIZATION Is It Important that We Colonize Mars "The Red Planet" ? === The question of colonizing Mars is definitely one of the more interesting issues of our time. It may not be as...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwandishi wa hii makala anaitwa Clare C, ni mtu aliyesoma China, anaelezea alivyokuwa akibaguliwa na wachina kwa mfano alikuwa akikaa kwenye seat kwenye chombo cha usafiri wachina wananyanyuka...
21 Reactions
47 Replies
8K Views
Kuna habari zimeibuka japo zimepingwa, kwamba China iliomba ridhaa kuwaua waathirika wote 20,000 baada ya kushindwa kuwatibu au kuzuia kusambaa kwa kirusi. ===== False: China Seeks Court Approval...
2 Reactions
85 Replies
12K Views
Sophie Wessex alimuakilisha Malkia South Sudan mwezi huu. Maofisa wa afya walimpima afya mara tu aliposhuka kwenye ndege. Sophie was in fact pictured being tested for the coronavirus on...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amesema leo kuwa haki ya kutafiti kinga ya virusi vya corona haiuzwi baada ya habari kuwa Rais Donald Trump alitaka Marekani inunue haki peke dawa inayoweza...
6 Reactions
77 Replies
10K Views
Anna Anders: Daniel Robert Dowell This morning at 4:30 a.m., Canadian Prime Minister Justin Trudeau was served a criminal indictment by the U.S. for corporate and financial crimes. Media owners...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Serikali ya Angola imepokea shehena ya ngombe kutoka serikali ya Chad. Angola inaidai Chad kiasi cha USD 82 milioni. Katika makubaliano yao Chad inatakiwa ipeleke Angola ng'ombe 75,000 katika...
2 Reactions
2 Replies
986 Views
Hii ni kwa mujibu wa Mamlaka ya afya ya nchi hiyo. Wengi wao walikuwa na Ugonjwa wa shinikizo la damu, kisukari na matatizo ya moyo. Chanzo: Bloomberg ==== 99% of Those Who Died From Virus Had...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Stocks tumbled on Wednesday as the markets remained highly volatile with the government response to the coronavirus fallout still unfolding. A violent reversal in Treasury yields in response to a...
0 Reactions
5 Replies
979 Views
Wednesday, 18 March 2020 11:01 AM [ Last Update: Wednesday, 18 March 2020 11:47 AM ] Secretary of Iran's Supreme National Security Council (SNSC) Ali Shamkhani Iran’s security chief says the...
0 Reactions
2 Replies
734 Views
Raia wa China, Jack Ma ambaye ni mmoja wa waanzilishi wa Kampuni ya Alibaba ametoa msaada huo ili kuziwezesha nchi za Afrika kupambana na Mlipuko wa Ugonjwa wa Corona Ametoa vifaa tiba milioni...
4 Reactions
19 Replies
4K Views
BY JASON LEMON ON 3/15/20 AT 4:26 PM President Donald Trump has reportedly attempted to convince a German research firm working toward a coronavirus (COVID-19) vaccine to produce the life-saving...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Serikali ya Saudi Arabia imezuia wageni wote wanaoingia nchini humo kwa safari za kidini, ikiwemo wanaotembelea miji mitakatifu katika dini ya Kiislamu - Makka na Madina. Mamilioni ya watu...
5 Reactions
309 Replies
17K Views
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Geng Shuang amesikitishwa na kauli iliyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani alipoita Corona virus "Chinese virus". Kauli hiyo haijawafurahisha...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom