International Forum

News and Stories from rest of the World
Korea kaskazini imeeleza kwamba ndege za Marekani zimefanya zoezi la kutaka kuwashambulia kwa kushtukiza (surprise strike drill). B1-B bomber Marekani imerusha ndege zake B-1B zenye uwezo wa...
8 Reactions
67 Replies
12K Views
Wakati mapambano dhidi ya virusi vya Corona vilivyoua Watu 304 China yakiendelea, Serikali ya China imetangaza mlipuko mpya wa homa ya mafua ya ndege yanayosababishwa na kirusi cha H5N1, kuku 4500...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Rais wa Marekani Bw. Donald Trump leo ametangaza mpango mpya wa amani ya Mashariki ya kati baina ya Israel na Palestina. Katika mpango wake huo ambao ameuita "Deal of Century" Trump amesema...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Daaaah ugonjwa ni kitu kibaya ndugu zangu haswa huo unaokula umati Nchi haizalishi inakua busy kuhudumia mamilioni ya wagonjwa yaani unakua busy tu kupambana na ugonjwa Yaani hadi nimeionea...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kesi inayohusu uchaguzi wa Rais nchini Malawi iko hewani AZAM TV channel 0381 TIMES TV, kesi hii ni funzo kwa wanasheria, tume ya uchaguzi na wanasiasa wa Tanzania, siyo ya kukosa kuangalia...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Serikali za Uganda na Rwanda, Jumapili zilikubaliana kubadilishana wafungwa, katika juhudi za kupunguza uhasama baina yao, baada ya kushutumiana kwa mda mrefu na kufanyiana ujasusi unaotajwa na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hawa jamaa akili zao wanazijua wenyewe! Yaani wanatengeneza bendera za Marekani, Uingereza, na Israel purposely kwa ajili ya kuzigawa kwa supporters wa Serikali ili wazichome hadharani kwenye...
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Rais wa Mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas amesitisha mahusiano yote na Marekani na Israel, yakiwemo yanayohusiana na usalama, baada ya kuupinga mpango wa amani ya Mashariki ya Kati uliopendekezwa...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Mkuu wa CIA nyuma ya mauaji ya Soleimani na yeye auliwa katika ndege iliyodunguliwa huko Afghanistan. Vyanzo vya ujasusi vya Urusi vimedai kwamba Michael D'Andrea, Mkuu wa shughuli za CIA nchini...
19 Reactions
111 Replies
15K Views
Kwa wale mnaofuatilia case ya Trump kuondolewa madarakani .Senators voted no witness kwa hiyo wanakura za kutosha kutomhukumu Trump na kumuondoa .Kwa Democratic Party na media ni kilio maana...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Unajua buana kujifanya fanya na kujimwambafy sometime kuna faida ila sometime unaweza umbuka,..sasa china jeur zote hzo ..kua mnamfukuzia Mmarekan nyuma nin nanini..kudindishiana kila siku na...
11 Reactions
67 Replies
6K Views
Ule ukuta maarufa Kama Trump's wall border waezuliwa na upepo leo... Safari hii sidhan kama ni wamexico watalipia hii hasara iliyotokea Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Rais wa Nigeria ameunda tume ya kuchunguza kuhusu taarifa iliyotolewa na Marekani kuwa nchi hiyo inakiuka haki za Binadamu na kwamba Itawekewa vikwazo vya raia wake kutoingia Marekani. Kwa mujibu...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Waanajeshi wa Marekani walioumia ktk shambulio la mako,bora ya balistic ya Waajemi huko Iraq imefikia 64 kwa taarifa ya jana Ijumaa, 31 January 2020. Hiyo inajiri baada ya idadi kuwa yabadilika...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
A nurse wearing a protective suit and face mask treating the sick in Wuhan has claimed that 90,000 people have already been infected by the coronavirus in China – far more than the figure of just...
19 Reactions
136 Replies
13K Views
An American film that was shown in 2011 speaks of a Coronavirus-like virus that begins spreading from China to spread to the rest of the world! The strangest thing is that at the end of the movie...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imesema itaendelea na kazi zake bila kuogopa baada ya Marekani kutishia kuwashtaki majaji na maofisa wake endapo raia yeyote wa Marekani atashtakiwa kwa...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Tensions between U.S. and Russia military forces over gaining control over key oil fields in northeastern Syria are intensifying, as American troops on Sunday blocked a Russian convoy trying to...
1 Reactions
132 Replies
10K Views
US President Donald Trump is set to be acquitted in his impeachment trial after senators voted against calling witnesses or admitting new evidence Senate will vote on Wednesday 5 February on...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
Back
Top Bottom